Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mwanzilishi wa Anglicana king Henry viii alioa mara sita,kwa taarifa yako.Hili litakaaje kwa waanglikana. Kwa kawaida mfalme au malkia wa Uingereza ndiye mkuu wa kanisa la Anglikana. Sasa huyu ndoa yake aliyopo leo haina baraka za kanisa. Atakuwaje kiongozi wa kanisa hilo?
Alikuwa ameshamtaliki. Na talaka haikubaliki ndiyo maana ndoa yake ya pili hakufunga church wala Malkia hakuhudhuria.Alioa baada ya kifo Cha Diane,,,ndoa haikufungwa wakati Diane yupo hai
Nikifikiri sana naona ni hekaya tu za wanaowaita wapaganiHaya ni makanisa ya kimila tu sawa na dini ya Rumi
Dini ya Rumi ndio ipi hio ?Haya ni makanisa ya kimila tu sawa na dini ya Rumi
Shukrani kwa taarifa. Usanii haujaanza leo.Mwanzilishi wa Anglicana king Henry viii alioa mara sita,kwa taarifa yako.
Dini ya warumi kabla ya hata Yesu kuzaliwa.Dini ya Rumi ndio ipi hio ?
Sijui, naomba unijulishe.Unajua kisa Cha King Edward!!? Mpaka kuvunja mahusiano na Roma na kuanzisha Anglican!!?
Tugusie hii kidogo mkuu , utuongezee maarifa !!Unajua kisa Cha King Edward!!? Mpaka kuvunja mahusiano na Roma na kuanzisha Anglican!!?
Mkuu unanitakia mapanga?Dini ya Rumi ndio ipi hio ?
Siyo Edward ni Henry VIII 1534.Aliomba kibali kwa Papa aoe mara ya pili papa akagoma.Unajua kisa Cha King Edward!!? Mpaka kuvunja mahusiano na Roma na kuanzisha Anglican!!?
Haijawahi kumuacha mtu salama.Hiyo ni 1534.Shukrani kwa taarifa. Usanii haujaanza leo.
Akaona papa anapendelea, maana amewahi kumruhusu mfalme wa Ufaransa kutaliki na kuoa tena.Siyo Edward ni Henry VIII 1534.Aliomba kibali kwa Papa aoe mara ya pili papa akagoma.
Tena wakaitwa wamisionariWaafrika akili hakuna kabisaa...wewe inakuuma kuoa na kuacha ...hujiulizi why mkuu wa kanisa alikuwa anasimamia utumwa na ukoloni?
Kwani utumwa na ukoloni ni dhambi au ni mwiko kikanisa?Waafrika akili hakuna kabisaa...wewe inakuuma kuoa na kuacha ...hujiulizi why mkuu wa kanisa alikuwa anasimamia utumwa na ukoloni?