balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 15,771 Reaction score 14,294 Sep 20, 2022 #21 Lycaon pictus said: Akaona papa anapendelea, maana amewahi kumruhusu mfalme wa Ufaransa kutaliki na kuoa tena. Click to expand... Naam,halafu papa akilindwa na jeshi la Charles wa holy Roman empire( Ujeruman na Austria) ambaye ana undugu na Catherin mke wa Henry viii.
Lycaon pictus said: Akaona papa anapendelea, maana amewahi kumruhusu mfalme wa Ufaransa kutaliki na kuoa tena. Click to expand... Naam,halafu papa akilindwa na jeshi la Charles wa holy Roman empire( Ujeruman na Austria) ambaye ana undugu na Catherin mke wa Henry viii.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Sep 20, 2022 #22 Mtoto wa nzi said: Unajua kisa Cha King Edward!!? Mpaka kuvunja mahusiano na Roma na kuanzisha Anglican!!? Click to expand... naomba kuelimishwa
Mtoto wa nzi said: Unajua kisa Cha King Edward!!? Mpaka kuvunja mahusiano na Roma na kuanzisha Anglican!!? Click to expand... naomba kuelimishwa
atug JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,786 Reaction score 3,522 Sep 20, 2022 #23 Lycaon pictus said: Akaona papa anapendelea, maana amewahi kumruhusu mfalme wa Ufaransa kutaliki na kuoa tena. Click to expand... Interesting
Lycaon pictus said: Akaona papa anapendelea, maana amewahi kumruhusu mfalme wa Ufaransa kutaliki na kuoa tena. Click to expand... Interesting
Kunguru wa Manzese JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 12,729 Reaction score 18,119 Sep 20, 2022 #24 The Boss said: Waafrika akili hakuna kabisaa...wewe inakuuma kuoa na kuacha ...hujiulizi why mkuu wa kanisa alikuwa anasimamia utumwa na ukoloni? Click to expand... Hili wanajikuta wamelisahau
The Boss said: Waafrika akili hakuna kabisaa...wewe inakuuma kuoa na kuacha ...hujiulizi why mkuu wa kanisa alikuwa anasimamia utumwa na ukoloni? Click to expand... Hili wanajikuta wamelisahau
Mwambwaro JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,309 Reaction score 3,522 Sep 20, 2022 #25 Waingereza n watu wa maadili na utaratibu
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,451 Sep 20, 2022 #26 Kwamba kanisa Anglikana halina Askofu mkuu wake wa kanisa hilo dunia nzima?
relis JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 3,336 Reaction score 5,217 Sep 20, 2022 #27 Ungefuatilia historia ya uanzishaji wa kanisa la Anglican hilo unaloshangaa lisingekuwa ajabu,hayo ni mambo ya Imani acha wafu wazikane.
Ungefuatilia historia ya uanzishaji wa kanisa la Anglican hilo unaloshangaa lisingekuwa ajabu,hayo ni mambo ya Imani acha wafu wazikane.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Sep 20, 2022 #28 Dini zote uanzilishwaji wake na uendelezeaji wake hatua za awali hadi sasa ukifatilia sana utazichukia mno.
Dini zote uanzilishwaji wake na uendelezeaji wake hatua za awali hadi sasa ukifatilia sana utazichukia mno.