Dini imeleta neema au ni mzigo kwa nchi za Afrika?

Dini imeleta neema au ni mzigo kwa nchi za Afrika?

Za kuambiwa unachanganya na zako.
Waafrika wakiambiwa hawachanganyi na zao, matokeo yake utumwa, ukoloni mkongwe na mamboleo.
Dini ni njia ya kumtisha, kudhibiti ili kumnyonya mfuasi.
Fumbo mfumbe mjinga mwerevu ang'amue.
Kwa sababu ya umasikini wa fikra, waafrika wanaishika kweli kweli kuliko hata waasisi.
 
Hatari sana
 
Dini zimeleta laana Africa. Wachina 90% siyo Wafuasi wa dini za Mashariki ya kati na wako poa kabisa kimaisha na kimaendeleo
Naunga mkono hoja, ila kuna mazuri na mabaya, mazuri ya hizi dini ni zimeleta modern covilization kwa jamii nyingi za Kiafrika, ubaya ni zime puuza mila zetu zote za kiasili na kuziita ni za kishenzi, na kulaani imani zote za asili kuziita ni za kipagani, wakati in reality kuna baadhi ya mila za kiasili ni nzuri, zio zote ni za kishenzi, moja ya mila yetu nzuri ya kiasili ni ile ya mwanaume kuoa as many women as he can, provided he can pay the bride price, and feed, shelter, and service them.

Mwanamume mwenye wake wengi, mfano Chief Burito, wake 22 na concubines 5, watoto wote wanaozaliwa na wake zako, ni watoto wako, hata kama ulisaidiwa!.

Mpaka leo, mpaka kesho, ni wanaume wachache sana wa Kanda ya Ziwa ambao wana mke mmoja tuu!.

Hivyo nilimshauri Blaza, tuanzishe the church of Africa, tuoe wake wengi, "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
P
 
Back
Top Bottom