WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ha ha ha nimekukubali asilimia kubwa ya Waafrika tumetoka kwenye hizo ndoa za Wake wengi na hilo halina ubishi.Ukiziba mto maji hutafuta sehemu nyingine pa kupita,Wazungu wanazuia sana hizo ndoa zetu kwa kisingizio cha maandiko lakini Ushoga wanaukubali hata kuubariki kwa kufungisha watu jinsia mmoja ndoa Kanisani,hii ni laana na balaa kubwa.Mimi sio kiboko tuu pia ni nyati, simba, tembo, tumbili etc
P
Tukumbuke kauli au maneno matukufu ya Mheshimiwa Rais Mstaafu Kikwete kuwa,"AKILI YA KUAMBIWA,CHANGANYA NA ZA KWAKO",Hayo ni maneno ya busara sana,hivi kama masaa yote tungekuwa tunashinda Kanisani au Misikitini,tungepata wapi muda wa kufanya kazi?