Makala josee
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 511
- 447
Fallacy au tuite false dilemma, mzee jitahidi utafafanulieDini zimeleta laana Africa. Wachina 90% siyo Wafuasi wa dini za Mashariki ya kati na wako poa kabisa kimaisha na kimaendeleo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fallacy au tuite false dilemma, mzee jitahidi utafafanulieDini zimeleta laana Africa. Wachina 90% siyo Wafuasi wa dini za Mashariki ya kati na wako poa kabisa kimaisha na kimaendeleo
Angeweza vipi nae alikuwa jasusi wa kikatoliki? Yaani Vasco da gama na uzindiki wake alipobombard mji wa kilwa (mji ulikuwa umestaarabika zaidi duniani) hakuweza seuse Mwl julius mtoto wa chifu aliekana uzanaki na kuuvaa ugalatia? Hivi huko shuleni huwa mnaenda kusoma ujinga?Hili hata halikupaswa kuwa swali....Nyerere alitakiwa kufuta dini zote kabla hazijaota mizizi kama sasa.
Sawa sheikh.Angeweza vipi nae alikuwa jasusi wa kikatoliki? Yaani Vasco da gama na uzindiki wake alipobombard mji wa kilwa (mji ulikuwa umestaarabika zaidi duniani) hakuweza seuse Mwl julius mtoto wa chifu aliekana uzanaki na kuuvaa ugalatia? Hivi huko shuleni huwa mnaenda kusoma ujinga?
Hivi wachina huwa wanadondoka kwa mapepo!?Je, dini imekuja kuikomboa Afrika au kuiangusha?
View attachment 2417824
Je, dini imekuja kuikomboa Afrika au kuiangusha?
View attachment 2417824
1.Boko Haram wanavyoua watu kwa kisingizio cha dini hiyo siyo laana?Fallacy au tuite false dilemma, mzee jitahidi utafafanulie
Ndio maana nikakwambia ni false dilemma au iite false dichotomy, huwezi kuwa limited kwa mifano kiasi hicho kisha ukatuwekea conclusion ya kidwanzi1.Boko Haram wanavyoua watu kwa kisingizio cha dini hiyo siyo laana?
2. Al Shabaab Somalia, Mozambique
3. Kibwetere
4. IS west Africa?
5. Hawa manabii fake hapa Tanzania wanaohubiri injili za mafanikio huku wakikusanya sadaka hizo siyo laana
Ukipewa jibu la "ndiyo" niite mbwaHivi wachina huwa wanadondoka kwa mapepo!?
Umeua mkuumfano hapa JF nyuzi zenye mashabiki wengi ni zile za ngono na udaku, nyuzi za maendeleo hazina watu.
Leta wewe maelezo mazuri Kisha uweke conclusion isiyo ya kidwanzi. Au wewe ndiyo mtoaji wa sadaka ya kujimaliza akili?Ndio maana nikakwambia ni false dilemma au iite false dichotomy, huwezi kuwa limited kwa mifano kiasi hicho kisha ukatuwekea conclusion ya kidwanzi
Sabato sio dini, ni siku ya kuabudu ambayo yaweza kua cku yoyote kwako ukaabud na kupumzika! Kwa maana Biblia ipo waz kbs imesema cku ya saba ni ya kuabudu na kupumzika. Pia kweny Biblia hakuna jumamosi wala jpili kama kuna mstari upo nauomba hapa, la mwisho... Ni nan alizipa majina hizi cku tulisonazo?Dini ndio kila kitu kwangu,shikamoo sabato
Hapa naunga mkono hoja 🤝!! Tumepewa vifungo bila sababu eti tuoe mke mmoja tu.Naunga mkono hoja, ila kuna mazuri na mabaya, mazuri ya hizi dini ni zimeleta modern covilization kwa jamii nyingi za Kiafrika, ubaya ni zime puuza mila zetu zote za kiasili na kuziita ni za kishenzi, na kulaani imani zote za asili kuziita ni za kipagani, wakati in reality kuna baadhi ya mila za kiasili ni nzuri, zio zote ni za kishenzi, moja ya mila yetu nzuri ya kiasili ni ile ya mwanaume kuoa as many women as he can, provided he can pay the bride price, and feed, shelter, and service them.
Mwanamume mwenye wake wengi, mfano Chief Burito, wake 22 na concubines 5, watoto wote wanaozaliwa na wake zako, ni watoto wako, hata kama ulisaidiwa!.
Mpaka leo, mpaka kesho, ni wanaume wachache sana wa Kanda ya Ziwa ambao wana mke mmoja tuu!.
Hivyo nilimshauri Blaza, tuanzishe the church of Africa, tuoe wake wengi, "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
P
Sasa angeweza je wakati kuwekwa kwake madarakani kulikua na msukumo huohuo wa kidini?Hili hata halikupaswa kuwa swali....Nyerere alitakiwa kufuta dini zote kabla hazijaota mizizi kama sasa.
KUIKOMBOA NA SI VINGINEVYOJe, dini imekuja kuikomboa Afrika au kuiangusha?
View attachment 2417824
Huo ni wehu tu wa fikra na uvivu wa kufikiri na si vinginevyo.Je, dini imekuja kuikomboa Afrika au kuiangusha?
View attachment 2417824
Wewe ni kiboko aisee.Naunga mkono hoja, ila kuna mazuri na mabaya, mazuri ya hizi dini ni zimeleta modern covilization kwa jamii nyingi za Kiafrika, ubaya ni zime puuza mila zetu zote za kiasili na kuziita ni za kishenzi, na kulaani imani zote za asili kuziita ni za kipagani, wakati in reality kuna baadhi ya mila za kiasili ni nzuri, zio zote ni za kishenzi, moja ya mila yetu nzuri ya kiasili ni ile ya mwanaume kuoa as many women as he can, provided he can pay the bride price, and feed, shelter, and service them.
Mwanamume mwenye wake wengi, mfano Chief Burito, wake 22 na concubines 5, watoto wote wanaozaliwa na wake zako, ni watoto wako, hata kama ulisaidiwa!.
Mpaka leo, mpaka kesho, ni wanaume wachache sana wa Kanda ya Ziwa ambao wana mke mmoja tuu!.
Hivyo nilimshauri Blaza, tuanzishe the church of Africa, tuoe wake wengi, "Pongezi Rais Magufuli Kuwa Mkweli Daima. Tuanzishe Church of Africa, Tuoe Wake Wengi, Tuzae Watoto Wengi?"
P
Bila dini Tanzania isingekuwepo,bila dini Biashara ya Utumwa isingeisha,Bila Dini nisingejua kusoma na kuandika,Bila dini nisingejua haki na wajibu katika maisha yangu ya kila siku(Marko 16:16)Wewe ni kiboko aisee.
Mimi sio kiboko tuu pia ni nyati, simba, tembo, tumbili etcWewe ni kiboko aisee.