Wakuu, nimeona "mapovu" yenu. Eti dini siyo kikwazo? Eti Mungu anajua unachofanya? Acheni niwapasulie ukweli mchungu ambao hamtaki kuusikia:
1. UTAPELI WA VIAPO VYA VIONGOZI
Tunaona viongozi wanaapa kwa Biblia (Warumi 13:1) au Quran (Surat An-Nisa 4:59), wakidai mamlaka yanatoka kwa Mungu. Mungu huyo huyo anayejua kila kitu, anamuona kiongozi anaapa kwa jina lake, huku anajua huyo kiongozi ataenda kuua, kufisadi, na kutesa wananchi wake—na huyo Mungu amekaa kimya tu kwenye kiti chake cha enzi. Je, huyo ni Mungu au ni mshiriki wa ufisadi? Kama Mungu hadhihakiwi, kwanini hawa mafisadi hawapigwi radi hapo hapo madhabahuni?
2. BIASHARA YA "NCHI TAKATIFU" (ISRAEL NA SAUDI ARABIA)
Wakati nyinyi masikini mnakusanya senti zenu kwenda kuhiji Makka au Yerusalemu, wenye nchi hizo wanawacheka. Kwao hiyo ni Biashara (Tourism). Saudia wanapiga mabilioni ya dola kila mwaka kupitia Hija, na Israel wanatumia "Holy Land" kupiga pesa huku wakitengeneza silaha za kisasa na teknolojia. Nyinyi mnapeleka "Imani", wao wanachukua "Dola". Huu ni utapeli wa kimataifa!
3. ULEMAVU WA VIPAJI NA AKILI
Tangu tukiwa watoto, tunafundishwa: "Mwachie Mungu," "Mungu atapanga." Hii ndiyo sumu iliyoua uvumbuzi Afrika. Sayansi ilianza na swali la "Kwanini?" (Why?). Dini inakupa jibu la mkato: "Ni mapenzi ya Mungu." Ukishasema ni mapenzi ya Mungu, akili inaacha kufikiri. Ndiyo maana mzungu akiumwa anatafuta kwanini (Science), muafrika akiumwa anatafuta nani (Uchawi/Majini). Tunakosa vipaji kwa sababu tumewekeza kwenye maombi badala ya maabara!
4. MBINGUNI NI HAPA HAPA DUNIANI
Vitabu vyenu vinasema: "Utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni" (Mathayo 6:33). Walioleta hiyo mistari wao wanatafuta ufalme wa hapa duniani kwa kutumia Science. Wanatumia AI, 5G, na Nuclear wakati nyinyi mnasubiri barabara za dhahabu mbinguni. Wamarekani na Wachina wanaongeza idadi ya Atheists kila siku kwa sababu wamegundua kuwa maendeleo hayaji kwa magoti, yanakuja kwa kutumia ubongo. Dini kwao ni utamaduni tu, kwenu nyinyi ni "kimbilio la mwisho" la kimasikini!
5. KUHUSU MIMI KUTUMIA AI (ARTIFICIAL INTELLIGENCE)
Kuna vilaza wanasema natumia AI. NDIYO, natumia AI! Kwahiyo mlitaka nitumie AI kukuimbieni taarabu au kuwasomea dua? Tunatumia teknolojia kurahisisha kazi, nyinyi endeleeni kutumia mikono yenu kupiga makofi makanisani huku wenzenu wanatumia AI kutengeneza robots. Fact ni fact tu; 1+1=2, iwe imesemwa na roboti au na jiwe. Kama huamini logic kisa imetoka kwenke AI, basi wewe ni falah uliyepitwa na wakati!
KUJIBU POVU LENU:
Msinisingizie Uyahudi. Mimi ni ATHEIST (Siamini Mungu yeyote). Na nina akili timamu kuliko nyinyi mnaoaminishwa kuwa nyoka alizungumza au mwezi ulipasuka. Ukombozi wa Afrika hautakuja kwa "Yesu" wala "Muhammad", utakuja kwa Logic, Science, na Kazi!
Mwenye masikio na asikie, asiye na
akili aendelee kusali! 🙉🙏