Dini kizunguzungu cha Waafrika: Kwanini hatutaendelea tukibaki na kwenye huu ujinga

Ukristo uliikuta Roman Empire,
Enlightenment/Age of reason ilikuwa ni kipindi ambacho dini ilipuuzwa na kutokupewa kipaumbele kikubwa tena katika Western world

embu funguka zaidi hiyo enlightment age ilikuwa ni lini? mwaka gani huo? ...
 
Mtoa mada umeiva mno. Watu wamelala kwenye usingizi wa dini. It will take ages kupata naendelea ya kweli kwa aina hii ya mindset za watu wanaoamini Yesu/Mungu na Muhammad ndo wenye majibu ya matatizo yao.
 
Hoja yako ya mbona wewe huleti maendeleo ni ya kitoto. Maendeleo hayaletwi na mtu mmoja, yanaletwa na Mifumo (Systems) inayozingatia uhalisia badala ya maombi. Angalia nchi kama Japan, China, na South Korea hawaamini huyo Mungu wako lakini wako mbele kimaendeleo kuliko nchi yoyote ya Kiafrika inayokesha kusali. Mimi kuhoji uongo wa dini ni hatua kubwa ya maendeleo ya kifikra. Maendeleo ya kweli yanaanza pale binadamu anapoacha kusubiri miujiza kutoka mbinguni na kuanza kutumia rasilimali zake. Unamtetea Mungu mkuu ambaye hawezi hata kutengeneza barabara moja ya lami mpaka muombe msaada kwa Wachina wasioamini Mungu? Huo ni uzumbukuku wa kiwango cha lami
we acha ulongo wewe, hao wana miungu yao na wanafanya mpk ibada kbs kikubwa ungenambia waafrika warudi kwny iman zao za kale kabla ya ujio wa ukristo na uislam, kuna majitu kama ng'wana marundi yalikuwa yanafanya maajabu ambayo hao wana sayansi wasngeweza leta ujanja wao wala kumsogelea.
 
embu funguka zaidi hiyo enlightment age ilikuwa ni lini? mwaka gani huo? ...
uko sawa ukristo / YESU KRISTO waliikuta roman empire ipo inatawala tena uko uko alikozaliwa YESU wale kna herode, pilato zlikuwa ni mamlaka za kirumi wkt huo hakukuwepo na taka iitwayo muhamad wala uislam ila uko kulikuwa na dini ya wayahudi na waarabu walikuwa na tamadun zao za iman siyo uislam.
 
we acha ulongo wewe, hao wana miungu yao na wanafanya mpk ibada kbs kikubwa ungenambia waafrika warudi kwny iman zao za kale kabla ya ujio wa ukristo na uislam, kuna majitu kama ng'wana marundi yalikuwa yanafanya maajabu ambayo hao wana sayansi wasngeweza leta ujanja wao wala kumsogelea.
UZunguni dini ni kama utamaduni tu secularism na logic zinatawala
Dini Sio msaada wa maisha
Na hata huko Uchina wengi ni atheists
Nchi zote zilizoendelea atheist ni wengi
Kuliko sisi maskini huku tunaomlilia mungu kila siku
 
Wakuu, nimeona "mapovu" yenu. Eti dini siyo kikwazo? Eti Mungu anajua unachofanya? Acheni niwapasulie ukweli mchungu ambao hamtaki kuusikia:

1. UTAPELI WA VIAPO VYA VIONGOZI

Tunaona viongozi wanaapa kwa Biblia (Warumi 13:1) au Quran (Surat An-Nisa 4:59), wakidai mamlaka yanatoka kwa Mungu. Mungu huyo huyo anayejua kila kitu, anamuona kiongozi anaapa kwa jina lake, huku anajua huyo kiongozi ataenda kuua, kufisadi, na kutesa wananchi wake—na huyo Mungu amekaa kimya tu kwenye kiti chake cha enzi. Je, huyo ni Mungu au ni mshiriki wa ufisadi? Kama Mungu hadhihakiwi, kwanini hawa mafisadi hawapigwi radi hapo hapo madhabahuni?

2. BIASHARA YA "NCHI TAKATIFU" (ISRAEL NA SAUDI ARABIA)

Wakati nyinyi masikini mnakusanya senti zenu kwenda kuhiji Makka au Yerusalemu, wenye nchi hizo wanawacheka. Kwao hiyo ni Biashara (Tourism). Saudia wanapiga mabilioni ya dola kila mwaka kupitia Hija, na Israel wanatumia "Holy Land" kupiga pesa huku wakitengeneza silaha za kisasa na teknolojia. Nyinyi mnapeleka "Imani", wao wanachukua "Dola". Huu ni utapeli wa kimataifa!

3. ULEMAVU WA VIPAJI NA AKILI

Tangu tukiwa watoto, tunafundishwa: "Mwachie Mungu," "Mungu atapanga." Hii ndiyo sumu iliyoua uvumbuzi Afrika. Sayansi ilianza na swali la "Kwanini?" (Why?). Dini inakupa jibu la mkato: "Ni mapenzi ya Mungu." Ukishasema ni mapenzi ya Mungu, akili inaacha kufikiri. Ndiyo maana mzungu akiumwa anatafuta kwanini (Science), muafrika akiumwa anatafuta nani (Uchawi/Majini). Tunakosa vipaji kwa sababu tumewekeza kwenye maombi badala ya maabara!

4. MBINGUNI NI HAPA HAPA DUNIANI

Vitabu vyenu vinasema: "Utafuteni kwanza ufalme wa mbinguni" (Mathayo 6:33). Walioleta hiyo mistari wao wanatafuta ufalme wa hapa duniani kwa kutumia Science. Wanatumia AI, 5G, na Nuclear wakati nyinyi mnasubiri barabara za dhahabu mbinguni. Wamarekani na Wachina wanaongeza idadi ya Atheists kila siku kwa sababu wamegundua kuwa maendeleo hayaji kwa magoti, yanakuja kwa kutumia ubongo. Dini kwao ni utamaduni tu, kwenu nyinyi ni "kimbilio la mwisho" la kimasikini!

5. KUHUSU MIMI KUTUMIA AI (ARTIFICIAL INTELLIGENCE)

Kuna vilaza wanasema natumia AI. NDIYO, natumia AI! Kwahiyo mlitaka nitumie AI kukuimbieni taarabu au kuwasomea dua? Tunatumia teknolojia kurahisisha kazi, nyinyi endeleeni kutumia mikono yenu kupiga makofi makanisani huku wenzenu wanatumia AI kutengeneza robots. Fact ni fact tu; 1+1=2, iwe imesemwa na roboti au na jiwe. Kama huamini logic kisa imetoka kwenke AI, basi wewe ni falah uliyepitwa na wakati!

KUJIBU POVU LENU:

Msinisingizie Uyahudi. Mimi ni ATHEIST (Siamini Mungu yeyote). Na nina akili timamu kuliko nyinyi mnaoaminishwa kuwa nyoka alizungumza au mwezi ulipasuka. Ukombozi wa Afrika hautakuja kwa "Yesu" wala "Muhammad", utakuja kwa Logic, Science, na Kazi!

Mwenye masikio na asikie, asiye na
akili aendelee kusali! 🙉🙏
Kama hamuna maeneleo ni Kwa sababu ya ujinga wenu sio dini

Mbona Iran ni full dini lakini wamepiga hatua sana ya kitecnologia
 
akili aendelee kusali! 🙉
📍📍📍
 
Quran 14:42

"Wala usidhani Mwenyezi Mungu ameghafilika na wanayo yafanya madhaalimu. Hakika Yeye anawaakhirisha tu mpaka siku yatapo kodoka macho yao."

Quran 16:61

"Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli wachukulia watu kwa mujibu wa dhulma zao, basi asingeli mwacha hapa hata mnyama mmoja. Lakini anawaakhirisha mpaka muda ulio wekwa. Na unapo fika muda wao hawatakawilia hata saa moja wala hawatatangulia."
 
Mwanadamu ameumbwa na pupa (haraka). Yaani unataka kutembea wakati bado hujaweza hata kutambaa.

Mungu ameumba kila jambo na Muda wake. Hao madhalimu pamoja na wewe na mimi..Wote tunamkosea Mungu kila siku lakini mbona hatuangamizi papo kwa hapo? Kwanini anatupa muda? ina maana hayaoni au hayajui haya tuyatendayo?

Jibu ni hapana...Mungu anajua,anaona na anasikia yote tunayoyafanya na kuyapanga usiku na mchana. Hakuna linalofichikana kwake..kila jambo kaliwekea muda wake ili anapokuja kukukamata usiwe na hoja wala kisingizio chochote kile.

Hakuna mwenye subira kumzidi Mungu.Watu wanamsingizia Mungu kuwa ana mwana/watoto lakini bado anaendelea kuwajaalia afya na riziki.

Abu Musa reported: The Prophet, peace and blessings be upon him, said, “No one, or nothing, is more patient with harmful words he hears than Allah. Verily, they ascribe children to him, yet he gives them wellness and provision.”

Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 5748

Pia Mungu ana kawaida ya kuwapa madhalimu uhai mrefu ila anapokuja kuwakamata wanakwenda kupata adhabu kali sana

Abu Musa reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Verily, Allah Almighty will give respite to the wrongdoer until He seizes him and they cannot escape.” Then, the Prophet recited the verse, “Such is the seizure of your Lord, when He takes hold of the cities while they are doing wrong. Verily, His seizure is agonizing and severe.” (11:102)

Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 4686, Ṣaḥīḥ Muslim 2583
 
Taifa la Saudi Arabia limeanzishwa mwaka 1932 ilihali ibada ya kuhiji ilikuwepo toka wakati wa Mtume Ibrahim na mwanawe Ismail.

Ibada ya kuhiji ilikuwepo toka mji wa Makka ukiwa ni jangwa hakuna hii mipaka ya mataifa unayoiona leo hii. Kwahiyo hoja yako ni dhaifu.

Tunakwenda kuhiji mji wa Makkah kwasababu ni amri ya Mungu aliyotufaradhishia waislam.
 
Mtoa mada unadai kuwa mbinguni ni hapahapa duniani...

Swali langu..

Je mbona wanaadamu tunakufa na kuzikwa udongoni?
 
Taifa la Saudi Arabia limeanzishwa mwaka 1932 ilihali ibada ya kuhiji ilikuwepo toka wakati wa Mtume Ibrahim na mwanawe Ismail.

Ibada ya kuhiji ilikuwepo toka mji wa Makka ukiwa ni jangwa hakuna hii mipaka ya mataifa unayoiona leo hii. Kwahiyo hoja yako ni dhaifu.

Tunakwenda kuhiji mji wa Makkah kwasababu ni amri ya Mungu aliyotufaradhishia waislam.
Hakuna ibada ya kuhiji Saudia kwa sasa, huo ni utalii tu watu wenye pesa/matajiri. Ibada ni kwa ajili ya watu wote, kuhiji ni kwa ajili ya wenye pesa tu au ambao watawezeshwa kupata pesa za kwenda huko.
 
Kuwepo kwa wanasayansi wanaoamini Mungu hakuifanyi dini iwe kweli, inathibitisha tu kwamba binadamu anaweza kuwa na akili upande mmoja na akabaki na hofu ya kizamani upande mwingine. Sayansi inafanya kazi kwa Ushahidi (Evidence), Dini inafanya kazi kwa Imani (Blind Faith). Mwanasayansi akiwa maabara hatumii Biblia kufanya majaribio, anatumia Methodolojia. Hata Newton aliamini mambo ya uchawi (alchemy), lakini hiyo haifanyi uchawi uwe sayansi. Wanasayansi wengi wakubwa wa sasa (zaidi ya 90% wa National Academy of Sciences) ni Atheists au Agnostics. Wanajua kuwa Hypothesis ya Mungu haina ushahidi wowote wa maana
Niongezee madini hapa.

Watu kutumia wanasayansi walio amini Mungu, kuhalalisha imani zao kwamba kweli kuna Mungu, Ni kufanya logical fallacy inaitwa celebrity fallacy, appeal to celebrity.

Celebrity Fallacy
Definition:The Celebrity Fallacy is committed when someone argues that something is right merely because it is accepted by some famous person(s).
Also Known As:Appeal to Celebrity fallacy.

Mfano mtu anaamini kwa vile Isaac Newton aliamini Mungu yupo, Basi ni ukweli Mungu yupo. Na yeye ana amini Mungu yupo, Kumbe ni imani tu isiyo na uthibitisho.

Source: Logically Fallacious Appeal to Celebrity
 
Religion is a business, God is the product, Believers are the customers, Religious leaders are the beneficiaries.
It's not a business, that view is overly simplistic and naive.
Watu wamekuwa na dini kabla hata mkondo wa kibiashara haujawa ni sehemu yake kubwa.
 
Back
Top Bottom