Dini kizunguzungu cha Waafrika: Kwanini hatutaendelea tukibaki na kwenye huu ujinga

Dini kizunguzungu cha Waafrika: Kwanini hatutaendelea tukibaki na kwenye huu ujinga

Mwanadamu ameumbwa na pupa (haraka). Yaani unataka kutembea wakati bado hujaweza hata kutambaa.

Mungu ameumba kila jambo na Muda wake. Hao madhalimu pamoja na wewe na mimi..Wote tunamkosea Mungu kila siku lakini mbona hatuangamizi papo kwa hapo? Kwanini anatupa muda? ina maana hayaoni au hayajui haya tuyatendayo?

Jibu ni hapana...Mungu anajua,anaona na anasikia yote tunayoyafanya na kuyapanga usiku na mchana. Hakuna linalofichikana kwake..kila jambo kaliwekea muda wake ili anapokuja kukukamata usiwe na hoja wala kisingizio chochote kile.


Hakuna mwenye subira kumzidi Mungu.Watu wanamsingizia Mungu kuwa ana mwana/watoto lakini bado anaendelea kuwajaalia afya na riziki.

Abu Musa reported: The Prophet, peace and blessings be upon him, said, “No one, or nothing, is more patient with harmful words he hears than Allah. Verily, they ascribe children to him, yet he gives them wellness and provision.”

Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 5748


Pia Mungu ana kawaida ya kuwapa madhalimu uhai mrefu ila anapokuja kuwakamata wanakwenda kupata adhabu kali sana

Abu Musa reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Verily, Allah Almighty will give respite to the wrongdoer until He seizes him and they cannot escape.” Then, the Prophet recited the verse, “Such is the seizure of your Lord, when He takes hold of the cities while they are doing wrong. Verily, His seizure is agonizing and severe.” (11:102)

Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 4686, Ṣaḥīḥ Muslim 2583

Ana subra au hayupo? Anasubiri kimya? Nani anajua na kupima kumkosea? Nini tunamkosea kila siku na kwa kipimo gani kwamba hayo unayofikiria ni makosa? Just curious shekhe...
 
Niongezee madini hapa.

Watu kutumia wanasayansi walio amini Mungu, kuhalalisha imani zao kwamba kweli kuna Mungu, Ni kufanya logical fallacy inaitwa celebrity fallacy, appeal to celebrity.

Celebrity Fallacy
Definition:The Celebrity Fallacy is committed when someone argues that something is right merely because it is accepted by some famous person(s).
Also Known As:Appeal to Celebrity fallacy.

Mfano mtu anaamini kwa vile Isaac Newton aliamini Mungu yupo, Basi ni ukweli Mungu yupo. Na yeye ana amini Mungu yupo, Kumbe ni imani tu isiyo na uthibitisho.

Source: Logically Fallacious Appeal to Celebrity
Umeongea sahihi mkuu💪
 
Back
Top Bottom