Dini na Madhehebu ya Mungu vs Dini na Madhehebu ya Shetani kujulikana kesho 29.10.2029

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
667
Reaction score
1,403
Tunapokaribia kufanya Misa na ibada za kuwaombea wafu na wahanga wote wa matukio ya October 29, 2025, tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Mungu pia tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Shetani.

Dini na Madhehebu ya Mungu watafanya Misa na ibada za kuwaombea wahanga wa matukio ya October 29 mwaka jana. Kama itatokea Dini au dhehebu lolote lisifanye ibada kesho kuwaombea wahanga wa matukio matukio ya October 29 mwaka jana, moja kwa moja hiyo ni Dini au dhehebu la kishetani.

Na kuanzia hapo, Mungu atashusha baraka kwa watu wake, lakini pia atashusha LAANA, BALAA na MIKOSI kwa wanafiki wote wanaojifanya wanamtumikia yeye kumbe wanamtumikia Shetani.
Tuombe Mungu atusaidie sana.
 
Balaa litawarejea na kuwashukia wale walio wanafiki, wanaofikiria Mungu ni WA kumchezea kwa matakwa yao ya chuki kwa mtu flani sababu Wanamchukia.
 
Mtashindana lakini hamtoshinda sababu Mungu anaangalia yaliyo nafsini mwenu. Na nafsini mwenu hakuna kitu Bali hisia na tamanio la kumkomoa na kumshindishwa Samia tu basi.....hilo ndo tamanio lenu kuu na si huruma kwa wahanga au ibada ya kweli kama ibada.
Ndugu yangu, hakuna mwenye shida huyo unayemtaja, shida ni watu waliouawa. Inawezekana huumii kwa sababu hakuna mtoto au ndugu yako yeyote aliyefumuliwa kichwa siku. Narudia tena, Issue ni MAUAJI, siyo kitu kingine chochote.
 
Balaa litawarejea na kuwashukia wale walio wanafiki, wanaofikiria Mungu ni WA kumchezea kwa matakwa yao ya chuki kwa mtu flani sababu Wanamchukia.
Kama mnaamini Mungu yupo, basi, mwogopeni huyo Mungu. Kwa hiyo nyie watu wale waliouawa hamna shida nao hata kidogo. Mnachowaza ni tu eti kuna watu wanamchukia mtu. Kumbukeni kuwa Mungu huwa hadhihakiwi. Hakuna mwenye chuki na mtu isipokuwa yale MAUAJI.
 
Tunapokaribia kufanya Misa na ibada za kuwaombea wafu na wahanga wote wa matukio ya October 29, 2025, tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Mungu pia tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Shetani.

Dini na Madhehebu ya Mungu watafanya Misa na ibada za kuwaombea wahanga wa matukio ya October 29 mwaka jana. Kama itatokea Dini au dhehebu lolote lisifanye ibada kesho kuwaombea wahanga wa matukio matukio ya October 29 mwaka jana, moja kwa moja hiyo ni Dini au dhehebu la kishetani.

Na kuanzia hapo, Mungu atashusha baraka kwa watu wake, lakini pia atashusha LAANA, BALAA na MIKOSI kwa wanafiki wote wanaojifanya wanamtumikia yeye kumbe wanamtumikia Shetani.
Tuombe Mungu atusaidie sana.
nonsense :1Head:
 
Ndugu yangu, hakuna mwenye shida huyo unayemtaja, shida ni watu waliouawa. Inawezekana huumii kwa sababu hakuna mtoto au ndugu yako yeyote aliyefumuliwa kichwa siku. Narudia tena, Issue ni MAUAJI, siyo kitu kingine chochote.
Kila la kheri mtumishi. Muwe na maombi mema na muliyemlenga aangamie kama mnavyotaka🙏🙏
 
Tunapokaribia kufanya Misa na ibada za kuwaombea wafu na wahanga wote wa matukio ya October 29, 2025, tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Mungu pia tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Shetani.

Dini na Madhehebu ya Mungu watafanya Misa na ibada za kuwaombea wahanga wa matukio ya October 29 mwaka jana. Kama itatokea Dini au dhehebu lolote lisifanye ibada kesho kuwaombea wahanga wa matukio matukio ya October 29 mwaka jana, moja kwa moja hiyo ni Dini au dhehebu la kishetani.

Na kuanzia hapo, Mungu atashusha baraka kwa watu wake, lakini pia atashusha LAANA, BALAA na MIKOSI kwa wanafiki wote wanaojifanya wanamtumikia yeye kumbe wanamtumikia Shetani.
Tuombe Mungu atusaidie sana.
Hicho ndo kipimo chako cha dini sahihi. Ama mmechanganyikiwa
 
Kama mnaamini Mungu yupo, basi, mwogopeni huyo Mungu. Kwa hiyo nyie watu wale waliouawa hamna shida nao hata kidogo. Mnachowaza ni tu eti kuna watu wanamchukia mtu. Kumbukeni kuwa Mungu huwa hadhihakiwi. Hakuna mwenye chuki na mtu isipokuwa yale MAUAJI.
Huelewi na hautokuja kuelewa, endelea kuishi na maagizo hayo mliyopewa Hadi 2030. Narudia, Mungu anajaji kwa kutumia kilichopo katika nafsi zetu na si maneno yanayopambwa na akili zetu Ili yasikike vizuri na hatimae kuonekana. Hata ukeshe 24/7, ikiwa maombi Yana Hila ya kumkamia mtu flani basi tusishangae akang'aa badala ya kuangamia kama tunavyotaka.

Kwa mazingira ya uchaguzi wa 2025 jinsi watu walivyojipanga makanisani kuupinga tangu awali na kumuunga mkono mtu wao Huku wakidhamini mapinduzi kabisa siku ya uchaguzi, ni ajabu Samia kuendelea kuwa pale.....mmepigwa butwaa hata hamuelewi ilikuaje. Jibu ni kuwa ni Mungu aliingilia kati kwa kuangalia yaliyojaa nafsini na kuamua kwa kuangalia hilo. Mna hasira Kali sana kwa Sasa najua. Mungu ataamua tena kwa haki na si kwa matakwa ya nafsi zetu ovu zilizojaa chuki, wivu na Shari.
 
Mithali 28:16-17

[16]Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana;
Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake.

[17]Aliyelemewa na damu ya mtu
Atalikimbilia shimo; wala mtu asimzuie
16. Kanisa karoliki (ni kongwe (kuu)), liache hiyo tabia kwa wasiyempenda mara Moja!
(B) Kanisa limeelewa na damu ya vijana waliowadhamini kwenye vurugu na Sasa wanahangaika kuhamisha goli.
 
Tunapokaribia kufanya Misa na ibada za kuwaombea wafu na wahanga wote wa matukio ya October 29, 2025, tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Mungu pia tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Shetani.

Dini na Madhehebu ya Mungu watafanya Misa na ibada za kuwaombea wahanga wa matukio ya October 29 mwaka jana. Kama itatokea Dini au dhehebu lolote lisifanye ibada kesho kuwaombea wahanga wa matukio matukio ya October 29 mwaka jana, moja kwa moja hiyo ni Dini au dhehebu la kishetani.

Na kuanzia hapo, Mungu atashusha baraka kwa watu wake, lakini pia atashusha LAANA, BALAA na MIKOSI kwa wanafiki wote wanaojifanya wanamtumikia yeye kumbe wanamtumikia Shetani.
Tuombe Mungu atusaidie sana.
Nani awaombee Hadi Leo usafiri wa kariakoo kimara mbezi ni shida Kwa ajili yao
 
Huelewi na hautokuja kuelewa, endelea kuishi na maagizo hayo mliyopewa Hadi 2030. Narudia, Mungu anajaji kwa kutumia kilichopo katika nafsi zetu na si maneno yanayopambwa na akili zetu Ili yasikike vizuri na hatimae kuonekana. Hata ukeshe 24/7, ikiwa maombi Yana Hila ya kumkamia mtu flani basi tusishangae akang'aa badala ya kuangamia kama tunavyotaka.

Kwa mazingira ya uchaguzi wa 2025 jinsi watu walivyojipanga makanisani kuupinga tangu awali na kumuunga mkono mtu wao Huku wakidhamini mapinduzi kabisa siku ya uchaguzi, ni ajabu Samia kuendelea kuwa pale.....mmepigwa butwaa hata hamuelewi ilikuaje. Jibu ni kuwa ni Mungu aliingilia kati kwa kuangalia yaliyojaa nafsini na kuamua kwa kuangalia hilo. Mna hasira Kali sana kwa Sasa najua. Mungu ataamua tena kwa haki na si kwa matakwa ya nafsi zetu ovu zilizojaa chuki, wivu na Shari.
Ujue hakuna dhambi kubwa kuzidi ile ya kumwaga damu isiyo na hatia.
Ni hivi, hata kama kwa mfano, wewe umeteketeza kwa moto mali zangu zote, pengine ni nyumba 100, magari 50 nk, mimi sitakiwi kukuua wewe kwa sababu thamani yako ni kubwa kuliko hata hizo mali zangu za mabilioni na mabilioni.
 
Vipi kama nahatarisha maisha Yako?!!! Nitabaki salama pia?
 
Kama umekuja na silaha kutaka kunidhuru, hapo lazima nijihami lakini kama huna silaha yoyote, mimi maanzaje kukuua?
Okay, turejee ya okt 29, mliwapa mashada ya maua ya rose wawapelekee askari au?
 
Ila KONDOO banah
Mnatapeliwa sana dini za watu hakuna cha Mungu wala nini.
Mungu mwenye uwezo na upendo anaachiaje viumbe wake wanauliwa na bunduki aliyotengeneza mwanadamu?
Yaani Mungu kashindwa wasaidia Kondoo wake halafu kondoo wanawaombea tena Kondoo kwa Mungu si utapeli kabisa.
 
...Adhabu ya mauaji hayo itakuwa juu ya muuaji na juu yd wazawa wake milele...
 
Back
Top Bottom