BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,799
- 9,892
Na hapa ndo utapeli unajidhihirisha.Ujue hakuna dhambi kubwa kuzidi ile ya kumwaga damu isiyo na hatia.
Ni hivi, hata kama kwa mfano, wewe umeteketeza kwa moto mali zangu zote, pengine ni nyumba 100, magari 50 nk, mimi sitakiwi kukuua wewe kwa sababu thamani yako ni kubwa kuliko hata hizo mali zangu za mabilioni na mabilioni.
Kwamba dhambi kubwa ni kumwaga damu halafu wakati huo huo Yesu mwana wa Mungu kauliwa msalabani kwa kumwaga damu ili wafutiwe wanadamu dhambi na babake...