Na hapa ndo utapeli unajidhihirisha.Ujue hakuna dhambi kubwa kuzidi ile ya kumwaga damu isiyo na hatia.
Ni hivi, hata kama kwa mfano, wewe umeteketeza kwa moto mali zangu zote, pengine ni nyumba 100, magari 50 nk, mimi sitakiwi kukuua wewe kwa sababu thamani yako ni kubwa kuliko hata hizo mali zangu za mabilioni na mabilioni.
Mimi nadhani kuhusu October 29, ni vema tungekubaliana kwamba, kuna sehemu tuliteleza hivyo, tujikite zaidi kufanya vitendo ambayo hata mtoto mdogo atajua kwamba tuna nia ya dhati ya kuirejesha Tanzania pale ilipokuwa au hata kuipeleka mbele zaidi na kwamba tumejua tatizo hivyo tunalutatua kwa vitendo. Mimi naamini tungefanya hivyo tu ndani ya hata mwezi mmoja tu, amani na utulivu vinaanza kurejea na tutajitengenezea historia moja nzuri sana.Okay, turejee ya okt 29, mliwapa mashada ya maua ya rose wawapelekee askari au?
Kuna dini ya kishenzi itakuwa ikiwaombea wauaji na watesi ili wadumu zaidi madarakani wakati waliua ili kutamalakiTunapokaribia kufanya Misa na ibada za kuwaombea wafu na wahanga wote wa matukio ya October 29, 2025, tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Mungu pia tunakwenda kuzijua Dini na Madhehebu ya Shetani.
Dini na Madhehebu ya Mungu watafanya Misa na ibada za kuwaombea wahanga wa matukio ya October 29 mwaka jana. Kama itatokea Dini au dhehebu lolote lisifanye ibada kesho kuwaombea wahanga wa matukio matukio ya October 29 mwaka jana, moja kwa moja hiyo ni Dini au dhehebu la kishetani.
Na kuanzia hapo, Mungu atashusha baraka kwa watu wake, lakini pia atashusha LAANA, BALAA na MIKOSI kwa wanafiki wote wanaojifanya wanamtumikia yeye kumbe wanamtumikia Shetani.
Tuombe Mungu atusaidie sana.
Huna ulijualo, pole.Kuna dini ya kishenzi itakuwa ikiwaombea wauaji na watesi ili wadumu zaidi madarakani wakati waliua ili kutamalaki
Kama kipi kwa mfano?!! Ndo hv wanavyoenda hawa jamaa wamchukiao Samia?!!Mimi nadhani kuhusu October 29, ni vema tungekubaliana kwamba, kuna sehemu tuliteleza hivyo, tujikite zaidi kufanya vitendo ambayo hata mtoto mdogo atajua kwamba tuna nia ya dhati ya kuirejesha Tanzania pale ilipokuwa au hata kuipeleka mbele zaidi na kwamba tumejua tatizo hivyo tunalutatua kwa vitendo. Mimi naamini tungefanya hivyo tu ndani ya hata mwezi mmoja tu, amani na utulivu vinaanza kurejea na tutajitengenezea historia moja nzuri sana.
Umeshaingia kwenye mfumoHii ni kati ya siku chache sana ambazo ungeweza kumuona Kiranga kanisani kapiga three piece suit nyeusi.
Katika kuonesha mshikamano na wapenda haki kifalsafa na kutambua waliouawa wamenyimwa haki yao ya kibinadamu kuishi.
Kimwili niko mbali lakini nihesabuni kati ya waliohudhuria misa ya kumbukumbu.
One love.
Hapana,Umeshaingia kwenye mfumo