stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 857 Reaction score 1,810 Apr 21, 2025 #1 Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation Mziki Movie Mochezo Uchoraji Media n.k Hivi vitu vinatumika sana tuweni makini kuna watu wanakaa wanaamua watu wengine wawaje wavaaje tena pasipo kukulazimisha
Dini na siasa ni moja ya njia kufanya human manipulation Mziki Movie Mochezo Uchoraji Media n.k Hivi vitu vinatumika sana tuweni makini kuna watu wanakaa wanaamua watu wengine wawaje wavaaje tena pasipo kukulazimisha
M Mosimo Senior Member Joined Aug 15, 2024 Posts 104 Reaction score 251 Apr 21, 2025 #2 Manipulator wa kwanza kabisa ni dini, ulichokisema ni sahihi,