Dini na wanasiasa ni mapacha wanaoshirikiana kuwanyonya na kuwaamgamiza WAAFRIKA

Dini na wanasiasa ni mapacha wanaoshirikiana kuwanyonya na kuwaamgamiza WAAFRIKA

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Huwezi ukatenganisha wanasiasa, na dini kwani hawa ndiyo vibaraka wa ukoloni mamboleo na wanyonyaji wakubwa kupitia zaka na kodi za Waafrika.

Makanisa na misikiti hawalipi kodi, serikali inawaacha tu ili wachungaji na masheikh waje kuwasaidia kuwahubiria Waafrika yaliyomo kwenye vitabu vya dini kwa lengo la kuwapumbaza.

Na chelea kusema Waafrika wakiweza kuwadhibiti hawa maadui basi watakuwa wamejikomboa.
 
Back
Top Bottom