Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Unaweza ukawa na awe and wonder bila kuamini dini uchwara.. next point plz
 
Kila unachokiona ni muujiza

Kama unaamini muujiza ni kitu kisicho cha kawaida ni ujinga wako binafsi
 
Mungu yupi huyo anayeonekana mkuu

Kuna miungu zaidi ya milioni moja dunia nzima
Nikikuona usoni tu naona mfano wa Mungu

Kama unatafuta miungu hiyo mingine milioni 1 endelea utaiona siku 1
 
Unajuaje tofauti?
Simply,..matatizo ya afya ya akili huwa yanatokana na environmental, biological na psychological factors ambazo zinapelekea shida kwenye afya ya akili ya muhusika.

Tofauti na mtu kuwa Demon possessed, ambapo utakuta vitendo vya mtu husika vinakua controlled au influenced na kiumbe mwingine....

So, hivyo vitu viwili haviendani kabisa.
 
Kila unachokiona ni muujiza

Kama unaamini muujiza ni kitu kisicho cha kawaida ni ujinga wako binafsi

Tatizo lenu watu wa “imani” kila kitu mnaona kinawezekana
 
Kuwa demon possessed na Tatizo la afya ya akili ni vitu viwili tofauti...

Au wewe ukiwaona wale walemavu wa afya ya akili ndiyo unawachukulia kama demon possessed?

Sizungumzii afya ya akili kwa maana ya kichaa hajitambui

Nabii wa Mungu walisema amekua possessed na demon

Waganga wa kienyeji wakasema the same

Wewe ni nani hadi ukatae mkuu?
 
Rubbish.

Life and its diversity is too intricate to be a result of Mindless and blind evolution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…