min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Wanaoamini uwepo wa M ungu wengi wao ni hopeless wamejaa matusi kutetea kitu kisichokuwepo.Km huna hoja, kuwa kimya, acha kujiaibisha hapa jukwaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaoamini uwepo wa M ungu wengi wao ni hopeless wamejaa matusi kutetea kitu kisichokuwepo.Km huna hoja, kuwa kimya, acha kujiaibisha hapa jukwaani.
[emoji2089]Wana maombi , mtu akiwa mgonjwa wanamsalia na kumlaumu shetani kumfanya aumwe na kumkemea , mtu huyo huyo akija kufa kwa huo ugonjwa wanasema ni mpango wa Mungu,kuna mda huyo shetani wa mchongo anawaangalia hivi[emoji57][emoji57][emoji57]
Miujiza ipo,..na Mimi ni miongoni mwa watu waliowahi kushuhudia muujiza Kwa macho yangu mawili.
Au unataka useme kwamba miujiza ni story tu?,..
Kumbuka kwamba miujiza ni elimu ya sayansi ambayo hatuna elimu juu ya utendaji kazi wake bali huwa tunaona matokeo yake tu.,
Kwa mantiki hiyo kitu ambacho ni muujiza kwetu,..Kwa mjuzi/wajuzi wenye elimu juu ya jambo husika inakua sio muujiza bali ni elimu tu inatumika.
🤸♂️🤸♂️🤸♂️[emoji2089]View attachment 2810710
Miujiza IPO, muujiza mmoja ni kama leo Karne ya 21 Bado waafrika wanaamini katika uchawi,Mungu nk.Mkuu some how nakubaliana na wewe inayoitwa miujiza inaweza kuwa ni mambo ambayo bado tuna elimu nayo
Lakini katika miujiza ya imani ni kama “kila kitu kinawezekana”
Miujiza IPO, muujiza mmoja ni kama leo Karne ya 21 Bado waafrika wanaamini katika uchawi,Mungu nk.
𝐾𝑤𝑒𝑛𝑦𝑒 𝑢𝑖𝑠𝑙𝑎𝑚 𝑛𝑖 𝑟𝑎ℎ𝑖𝑠𝑖 𝑠𝑎𝑛𝑎...𝑈𝑘𝑖𝑠ℎ𝑎𝑡𝑎𝑗𝑎 𝑡𝑜𝑓𝑎𝑢𝑡𝑖 𝑦𝑎 𝑆ℎ𝑖𝑎 𝑛𝑎 𝑆𝑢𝑛𝑛𝑖 𝑐𝑎𝑠𝑒 𝑐𝑙𝑜𝑠𝑒𝑑! 𝑀𝑖𝑐ℎ𝑎𝑛𝑔𝑎𝑛𝑦𝑜 𝑘𝑖𝑏𝑎𝑜...!Mimi ni Muislam, tuoneshe huo "mchanganyo" kwenye Qur'an, a,bacho ndicho muongozo kwa dini ya Kiislam, ukishindwa tuombe radhi.
Huyu mtoa mada hajui anachokiandika/alichokiandika.Mwache atumikie kafiriUngekuwa smart kama ungetoa mifano ya hiyo michanganyo kuliko kuandika vitu kama vile wote tumefundishwa na mwalimu mmoja au tumevisoma wote kwa pamoja hivyo vitabu
Ni dini gani inakufundisha kuikataa sayansi? Kwa nini unafikiri dini na sayansi vimepingana? Sayansi inaanza na ku observe nature, study it, experiment it na baadae kuja na uvumbuzi. Dini inajaribu kujibu maswali kama tumetoka wapi, kwa nini tuko duniani na hatima yetu kama binadamu ni nini? Hamna sayansi iliyo na majibu ya maswali haya mpaka leo
Hayo ya wafuasi wa dini kushabikia pande zinazogombana ni matatizo yao binafsi labda na viongozi wao vipofu, at least kwenye mafundisho ya Biblia nina uhakika hakuna mahali inatuambia kushabikia upande wa Israeli inapofanya mauaji ya wasio na hatia.
Lakini pia sijaona sayansi ikija na suluhisho la huo mgogoro. Halafu 86% ya wamarekani hawana dini umetoa wapi hizi takwimu. Yani hata kwa ku google tu from different sources utaona stats zao zinasema US has above 50% only Christians.
Hao wavumbuzi wa technologies mbalimbali wote hawana dini? Technologies nyingi za leo zimewezekana kwa sababu ya sayansi iliyofanyiwa kazi na wanasayansi walioamini katika uwepo wa Mungu kuanzia kina Isaac Newton mpaka kina Albert Einstein. Nimesema hivi kwa sababu umegusia Atheism, labda kama ungetofautisha dini na theism.
Leo hii kuna shule na vyuo vikuu vingi vilivyoanzishwa na taasisi za dini ambavyo vime produce wanasayansi wakubwa duniani.
Ungeweka hapa details kidogo tujifunze vizuri hoja yako lakini kukataa uwepo wa Mungu au dini jumla jumla bila hoja yoyote hakukufanyi wewe au watu wa aina yako kuwa na akili.
𝑁𝑎 𝑢𝑗𝑎𝑛𝑗𝑎 𝑢𝑗𝑎𝑛𝑗𝑎 𝑢𝑛𝑎 𝑚𝑤𝑖𝑠ℎ𝑜, 𝐾𝑎𝑘𝑜𝑏𝑒 𝑏𝑎𝑏𝑎 𝑤𝑎 𝑚𝑖𝑢𝑗𝑖𝑧𝑎 𝐹𝑒𝑘𝑖 𝑘𝑎𝑖𝑠ℎ𝑖𝑎 𝑤𝑎𝑝𝑖? 𝐺𝑤𝑎𝑗𝑖𝑚𝑎 𝑚𝑓𝑢𝑓𝑢𝑎 𝑚𝑖𝑠𝑢𝑘𝑢𝑙𝑒 𝑚𝑎𝑖𝑔𝑖𝑧𝑜 𝑦𝑎𝑘𝑒 𝑦𝑎𝑚𝑒𝑖𝑠ℎ𝑖𝑎 𝑤𝑎𝑝𝑖? 𝑖𝑙𝑎 𝑚𝑡𝑎𝑗𝑖 𝑤𝑎𝑜 𝑏𝑎𝑑𝑜 𝑢𝑝𝑜 𝑚𝑘𝑢𝑏𝑤𝑎 𝑎𝑠 𝑤𝑎𝑗𝑖𝑛𝑔𝑎 ℎ𝑎𝑤𝑎𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑇𝑧Mkuu umenikumbusha jambo. Hapo zamani kulikuwa na wajanja wanajiita rain makers. Walichokuwa wakifanya ni ujanjaujanja tu. Waliweza kufahamu dalili zote za kunyesha mvua kama vile dew on grass in the morning, singing of some birds (kama vile dudumizi), frog croaking, and high temperature at night.
Sasa 'rain maker' akishaona ishara zote hizi anajitokeza mbele ya jamii kuomba alipwe ng'ombe awaletee mvua. Basi anachangiwa kundi kubwa la ng'ombe; baada ya siku 3 mvua inanyesha watu wanamtukuza kumbe mtu mwenyewe ni mwanamazingaombwe tu.
Kuwakamua watu ni akili. Tazama jinsi wachungaji feki wanavyofanya miujiza ya mchongo bila aibu. Siku hizi utume na unabii umekuwa upigaji. Eti akina Masanja nao wanajiita maaskofu wakati hawajasoma bible school hata kidogo bali ni ujanjaujanja tu. Ifike wakati serikali iingilie kati utapeli huu. Watu wanapigwa sana kule kwa akina Mwamposa, Geodavie, Mwingira, Lusekelo, etc.
Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini. Nimegundua Serikali isipochukua maamuzi magumu kuwapiga marufuku hawa watu, miaka michache...www.jamiiforums.com
𝑆𝑚𝑎𝑟𝑡...𝑤𝑎𝑡𝑢 ℎ𝑎𝑤𝑎𝑡𝑎𝑘𝑖 𝑘𝑢𝑓𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑢𝑐ℎ𝑢𝑛𝑔𝑢𝑧𝑖, 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑡𝑎𝑘𝑎 𝑚𝑎𝑗𝑖𝑏𝑢 𝑚𝑒𝑝𝑒𝑠𝑖 𝑡𝑢...𝑒𝑡𝑖 𝑛𝑖 𝑚𝑢𝑢𝑗𝑖𝑧𝑎! 𝑙𝑜𝑤 𝑚𝑖𝑛𝑑𝑒𝑑 𝑘𝑎𝑏𝑖𝑠𝑎. 𝐻𝑎𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑚𝑖𝑢𝑗𝑖𝑧𝑎 𝑘𝑎𝑚𝑤𝑒...[emoji106]Muujiza ni tukio au kitu kinachovunja sheria za asili, kwa mfano, sheria za fizikia.
Kwa mfano, ukiona jiwe kubwa limenyanyuka lenyewe tu likaanza kupaa hewani, unaweza kufikiri huo ni muujiza, kwa sababu kikawaida, jiwe haliwezi kupaa hewani tu lenyewe.
Hakuna muujiza.
Kuna vitu ambavyo watu hawavielewi.
Sasa, wadadisi hutaka kuvifahamu, watavisoma na kuvielewa, watavielezea bila kuhitaji kuviita muujiza.
Halafu, kuna wazembe, ambao hawana utashi, hawana uchunguzi, wakiona kitu ambacho hawakielewi, moja kwa moja wanakiita muujiza.
Mfano.
Wazungu walivyokuja Afrika, tayari walikuwa na uwezo wa kutabiri eclipse of the sun, kupatwa kwa jua.
Waliweza kutabiri kwamba mwezi ujao jua litapatwa. Huu si muujiza. Hii ni sayansi tu, ukijua jinsi dunia inavyozunguka jua, mwezi unavyokwenda na jua linavyokwenda, unaweza kupiga mahesabu na kutabiri jua litapatwa lini wapi kwa mamia ya miaka.
Sasa, mababu zetu hawakuwa na elimu ya kujua utabiri huu. Wlipotabiriwa na wazungu hivi, waliona hizi habari ni muujiza, wakawaona hawa wazungu ni wachawi.
Kumbe hakuna muujiza wowote, ni sayansi tu.
Sasa, nauliza, hao wanaosema huu ni muujiza, wanajuaje huu ni muujiza kweli, na si kitu kinachofuata sheria za asili, lakini wao hawajajua tu?
Kwa kurejea mfano wetu wa hapo awali, wa jiwe kupaa hewani tu.
Ukiona jiwe linapaa hewani tu, utajihakikishiaje kuwa huo ni muujiza?
Ujajuaje kwamba, labda kuna mtu kachukua drone, kaitengenezea mkebe unaoonekana kama jiwe, halafu anairusha ile drone kwa remote control kutoka mbali, watu wanaona jiwe linaruka, lakini kumbe ndani kuna drone?
Ukifuatilia sana mara karibu zote watu wanaposema hapa kuna muujiza au uchawi, kuna ujanja fulani umetumika, au kuna kitu fulani ambacho hakijulikani, kinachofanya kuwepo na muonekano w amuujiza, wakati vitu vinafuata sheria za asili vizuri tu.
Ni kama hiyo sitiation ya mtu kuona jiwe linaruka hewani, kumbe ndani ya kinachoonekana kama jiwe kuna drone, hawajajua tu.
Sasa watu wetu wengi hawana utashi w akuchunguza, wakiona jiwe linaruka tu, wanasema uchawi.
Hawataki kulichunguza hili jiwe linarukaje? Wakifanya uchunguzi, watangundua kumbe hapa kuna drone ndani, hakuna uchawi, ni sayansi na hakuna muujiza.
𝐼𝑡 𝑖𝑠 𝑝𝑜𝑠𝑠𝑖𝑏𝑙𝑒...𝑦𝑎𝑙𝑒 𝑦𝑎𝑛𝑎𝑎𝑚𝑏𝑢𝑘𝑖𝑧𝑎 𝑖𝑛 𝑠𝑜𝑟𝑡 𝑜𝑓 𝑒𝑙𝑒𝑐𝑡𝑟𝑖𝑐𝑎𝑙 𝑤𝑎𝑣𝑒𝑠! 𝑛𝑖 𝑠𝑎𝑦𝑎𝑛𝑠𝑖 𝑛𝑑𝑜𝑔𝑜. 𝑁𝑖𝑚𝑒𝑤𝑎ℎ𝑖 𝑘𝑢𝑠𝑜𝑙𝑣𝑒 ℎ𝑖𝑖 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑠ℎ𝑢𝑙𝑒 𝑓𝑢𝑙𝑎𝑛𝑖 𝑏𝑎𝑎𝑑𝑎 𝑦𝑎 𝑣𝑖𝑜𝑛𝑔𝑜𝑧𝑖 𝑤𝑎 𝑑𝑖𝑛𝑖 𝑧𝑜𝑡𝑒 𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑔𝑎𝑛𝑔𝑎 𝑤𝑎 𝑗𝑎𝑑𝑖 𝑘𝑢𝑐ℎ𝑒𝑚𝑘𝑎!Watoto 15 au 20 au 30 wote waumwe Kifafa kwa wakati mmoja?
𝑘𝑤𝑎 𝑡𝑎𝑎𝑟𝑖𝑓𝑎 𝑦𝑎𝑘𝑜 ℎ𝑎𝑡𝑎 ℎ𝑖𝑧𝑖 𝑔𝑢𝑛𝑑𝑢𝑧𝑖 𝑘𝑢𝑏𝑤𝑎 𝑚𝑓 𝑆𝑖𝑚𝑢, 𝑛𝑑𝑒𝑔𝑒 ,𝐴𝐼 𝑤𝑎𝑡𝑢 𝑙𝑜𝑐𝑎𝑙 ℎ𝑢𝑢𝑖𝑡𝑎 𝑢𝑐ℎ𝑎𝑤𝑖 𝑤𝑎 𝑘𝑖𝑧𝑢𝑛𝑔𝑢!Uchawi ni uchawi tu na utaujua from early beginning, kwani Kuna matukio mangapi ambayo ni mapya ambayo hutokea na hatusemi ni uchawi? Katika zama zetu Kuna AI, 3D printing, wireless communication, Autonomous vehicles na mengine mengi na hatusemi ni uchawi hata kama tutaona Kwa mara ya kwanza. Lakini et mtu kajifungua kuku alaf useme ni kawaida!!
𝑁𝑎𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑢𝑢𝑡𝑎𝑗𝑒 ℎ𝑢𝑜 𝑚𝑢𝑢𝑗𝑖𝑧𝑎 𝑖𝑙𝑖 𝑡𝑢𝑗𝑖𝑓𝑢𝑛𝑧𝑒Miujiza ipo,..na Mimi ni miongoni mwa watu waliowahi kushuhudia muujiza Kwa macho yangu mawili.
Au unataka useme kwamba miujiza ni story tu?,..
Kumbuka kwamba miujiza ni elimu ya sayansi ambayo hatuna elimu juu ya utendaji kazi wake bali huwa tunaona matokeo yake tu.,
Kwa mantiki hiyo kitu ambacho ni muujiza kwetu,..Kwa mjuzi/wajuzi wenye elimu juu ya jambo husika inakua sio muujiza bali ni elimu tu inatumika.
Mambo ya MUNGU MWENYEZI yanahitaji uwe na NGUVU ZA MUNGU ndani yako( Kwasababu, wakati mwingine WAHUSIKA ( waamini) husukumwa KUAMINI siyo kutumia mantiki( LOGIC)Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!
Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.
Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!
Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.
Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?
Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?
Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!
Atheists make sense than who are not
Okay.,kama ukweli ulivyo kwamba muujiza ni jambo ambalo kiuhalisia hatuelewi ni Kwa namna gani limefanyika au limetokea,..isipokuwa kwa wale wenye elimu juu ya jambo husika huwa wanajua kinachofanyika...𝑁𝑎𝑜𝑚𝑏𝑎 𝑢𝑢𝑡𝑎𝑗𝑒 ℎ𝑢𝑜 𝑚𝑢𝑢𝑗𝑖𝑧𝑎 𝑖𝑙𝑖 𝑡𝑢𝑗𝑖𝑓𝑢𝑛𝑧𝑒
It is simply illusion, au call it trick za waganga. Hakuna muujiza hapo.Okay.,kama ukweli ulivyo kwamba muujiza ni jambo ambalo kiuhalisia hatuelewi ni Kwa namna gani limefanyika au limetokea,..isipokuwa kwa wale wenye elimu juu ya jambo husika huwa wanajua kinachofanyika...
Sasa ngoja nikupe hii kesi ambayo ilinitokea Mimi binafsi kisha uone ni Kwa namna gani nasema miujiza ipo ...
Ipo hivi, muda mrefu kidogo nikiwa kama na miaka 10 hivi nilienda kijijini Tanga hapo na mother,.sasa baada ya siku kadhaa nikaanza kuumwa tumbo hasa nyakati za usiku tumbo linauma balaa mpaka kuvimba... Ndiyo Mother akaelekezwa Kwa Mzee mmoja hivi mwenye elimu juu ya tiba asili(Mganga) kufika huko akafanya dawa zake kisha akaweka chungu kina kama majani na maji ya moto nikafunikwa nijifukize pale,....kilichotokea sasa wakati najifukiza ilinijia hali ya kutapika na nilichokuja kutapika ni kiumbe "CHURA" tena bado akiwa mzima kabisa.
Sasa jiulize maswali haya, ilikuaje mpaka huyo CHURA aingie tumboni kwangu na kufanya niumwe tumbo kiasi kile?
Je, nilikula CHURA? akiwa mzima? Au nilikula mayai yake? Odds za huyo CHURA kuwa mzima huko tumboni zipoje scientifically(kumbuka,Frogs can't survive in the acidic environment of the human stomach)
Lakini je,huoni kwamba tukio hilo limesababishwa na wajuzi wa elimu ya kichawi(wachawi)?
kimsingi hilo tukio halieleweki ndiyo maana mpaka leo nalichukulia kama muujiza pekee ambayo nimeushuhudia Kwa macho yangu tena ndani yangu.
Mimi sio mzuri wa kusimulia lakini nadhani umeelewa.....
Mambo ya MUNGU MWENYEZI yanahitaji uwe na NGUVU ZA MUNGU ndani yako( Kwasababu, wakati mwingine WAHUSIKA ( waamini) husukumwa KUAMINI siyo kutumia mantiki( LOGIC)
KUTUMIA LOGIC ni ISHARA YA KUKOSA ELIMU hiyo ya IMANI.
Okay.,kama ukweli ulivyo kwamba muujiza ni jambo ambalo kiuhalisia hatuelewi ni Kwa namna gani limefanyika au limetokea,..isipokuwa kwa wale wenye elimu juu ya jambo husika huwa wanajua kinachofanyika...
Sasa ngoja nikupe hii kesi ambayo ilinitokea Mimi binafsi kisha uone ni Kwa namna gani nasema miujiza ipo ...
Ipo hivi, muda mrefu kidogo nikiwa kama na miaka 10 hivi nilienda kijijini Tanga hapo na mother,.sasa baada ya siku kadhaa nikaanza kuumwa tumbo hasa nyakati za usiku tumbo linauma balaa mpaka kuvimba... Ndiyo Mother akaelekezwa Kwa Mzee mmoja hivi mwenye elimu juu ya tiba asili(Mganga) kufika huko akafanya dawa zake kisha akaweka chungu kina kama majani na maji ya moto nikafunikwa nijifukize pale,....kilichotokea sasa wakati najifukiza ilinijia hali ya kutapika na nilichokuja kutapika ni kiumbe "CHURA" tena bado akiwa mzima kabisa.
Sasa jiulize maswali haya, ilikuaje mpaka huyo CHURA aingie tumboni kwangu na kufanya niumwe tumbo kiasi kile?
Je, nilikula CHURA? akiwa mzima? Au nilikula mayai yake? Odds za huyo CHURA kuwa mzima huko tumboni zipoje scientifically(kumbuka,Frogs can't survive in the acidic environment of the human stomach)
Lakini je,huoni kwamba tukio hilo limesababishwa na wajuzi wa elimu ya kichawi(wachawi)?
kimsingi hilo tukio halieleweki ndiyo maana mpaka leo nalichukulia kama muujiza pekee ambayo nimeushuhudia Kwa macho yangu tena ndani yangu.
Mimi sio mzuri wa kusimulia lakini nadhani umeelewa.....