Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Miracles ni science mkuuEverything you see around is a miracle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miracles ni science mkuuEverything you see around is a miracle
Bado hujajibu "what is a miracle?".Everything you see around is a miracle
Simply, tunafahamu Kwa kuwa si matukio ya kawaida na hayaelezeki kisayansi.Wapi umejibu?
Unahakikishaje huu ni uchawi na si kitu kingine ambacho labda hujakijua tu, ila si uchawi?
Nipe nukuu ya ulipojibu swali hili.
Everything you see around is a miracle.Bado hujajibu "what is a miracle?".
Kitu kinachoifanya hiyo miracle iwe miracle ni kipi?
Hujajibu swali hili.
Ukisema "everything you see around is a miracle" bado hujajibu what makes a miracle a miracle.
Yani mwalimu anakuuliza "What is an atom?"
Unamjibu "Everything you see around is an atom".
Umefeli mtihani.
Kwa hivyo, leo ukiona tukio lisilo la kawaida na ambalo halielezeki kisayansi, huo ni uchawi?Simply, tunafahamu Kwa kuwa si matukio ya kawaida na hayaelezeki kisayansi.
Haya jibu hoja zangu
Bado hujajibu "what is a miracle?".Everything you see around is a miracle.
Hata wewe mwenyewe ni miracle.
Kitu kama kipo, kipo tu.Watu wanaongea hivi kwa kiburi wakiwa ameshiba na afya njema, subiri mambo yaende mrama wanavyohangaika kutafuta miujiza
Uchawi ni nini?Kwa hivyo, leo ukiona tukio lisilo la kawaida na ambalo halielezeki kisayansi, huo ni uchawi?
Kesho likiweza kuelezeka vizuri kisayansi bila kuhitaji theory ya uchawi utaendelea kusema huu ni uchawi au utakubali huu si uchawi, ni jambo linaloelezeka kisayansi tu?
Kwa nini mtu awe muhimu kuliko dhana?Ni mtu gani na kwa sababu zipi amepewa mamlaka ya kusema kitu hiki ni conspiracy na hiki siyo conspiracy? Mamlaka hayo alipewa na nani na lini?
UdongoDini inasema chanzo cha binaadamu ni nini??
Hata maana ya uchawi hujuwi.Uchawi ni imani.
What is your point?
acha ubishi soma vizuri nilichoandikaKitu kama kipo, kipo tu.
Na kitu kama hakipo, hakipo tu.
Bila kujali unakitafuta, au hukitafuti.
Kwa hivyo, hoja yako ya kwamba watu mambo yakienda mrama watatafuta miujiza, ni hoja mufilisi.
Kwa sababu, hata kama watatafuta miujiza kweli, kama miujiza haipo, huko kutafuta kwao miujiza hakuna maana yoyote kwenye hoja ya kama miujiza ipo au haipo.
Umeielewa hii hoja?
Tuangalie hoja, miujiza ipo au haipo.
Hizo habari za watu kutafuta miujiza, haina mashiko, kwa sababu ujinga wa watu hauna kipimo.
Wakitafuta miujiza, hilo halimaanishi miujiza ipo kweli.
Mara nyingine kutafuta miujiza ni psychological coping mechanism, desperation na kutapatapa kwa mfa maji tu.
So, that does not mean much.
Wewe mpaka sasa umeshindwa ku define muujiza, maliza hilo kwanza kabla ya kurukia uchawi.Hata maana ya uchawi hujuwi.
Unafikiri ni kupaa angani na ungo usiku au kuroga watu.
Usiku Mwema!!!
Uchawi ni uchawi tu na utaujua from early beginning, kwani Kuna matukio mangapi ambayo ni mapya ambayo hutokea na hatusemi ni uchawi? Katika zama zetu Kuna AI, 3D printing, wireless communication, Autonomous vehicles na mengine mengi na hatusemi ni uchawi hata kama tutaona Kwa mara ya kwanza. Lakini et mtu kajifungua kuku alaf useme ni kawaida!!Kwa hivyo, leo ukiona tukio lisilo la kawaida na ambalo halielezeki kisayansi, huo ni uchawi?
Kesho likiweza kuelezeka vizuri kisayansi bila kuhitaji theory ya uchawi utaendelea kusema huu ni uchawi au utakubali huu si uchawi, ni jambo linaloelezeka kisayansi tu?
Umeandika kwamba mambo yakienda mrama watu watatafuta muujiza.acha ubishi soma vizuri nilichoandika
Uchawi ni uchawi = tautology. Logical fallacy.Uchawi ni uchawi na utaujua from early beginning, kwani Kuna matukio mangapi ambayo mapya hutukea na hatusemi ni uchawi? Katika zama zetu Kuna AI, 3D printing, wireless communication, Autonomous vehicles na mengine mengi na hatusemi na uchawi hata kama tutaona Kwa mara ya kwanza. Lakini et mtu kajifungua kuku alaf useme ni kawaida!!