Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Amini katika Mungu na mwanaye yesu kristo lakini usiamini katika dini
 
Miracles ni nini na unajuaje hii ni miracle na si kitu kisicho miracle ambacho wewe hukifahamu tu?

Nitakupa mfano, mababu zetu ambao hawakujua sayansi ya wazungu, walipoletewa vitu vya umeme kama redio, wakaona hiki kiboksi kinatoa sauti ya mtu, waliona miracle.

Walivyoona magari yanakwenda bila kusukumwa na wanyama, waliona miracle.

Walipoona watu wanaweza kutabiri kupatwa kwa jua, waliona miracle.

Lakini, kiukweli, hakuna miracle hapo, ni sayansi tu inafanya kazi. Hakuna supernatural power, zote ni natural power.

Ni wao tu walikuwa hawajui hizo natural powers zinafanya kazi vipi.

Sasa, na wewe utakaposema hii ni miracle, hata kama hakuna mtu yeyote duniani anayejua hicho kitu kikoje, utajuaje hiyo ni miracle kweli, na si sayansi/natural power tu ambayo wewe bado hujaijua?

Yani unaweza kuona kitu ukafikiri ni miracle/supernatural power, kumbe ni natural science tu, ila wewe hujaijua.

Sasa, utajuaje kuwa, chochote unachokiita miracle ni miracle kweli, na si kitu kisicho na miracle ambacho wewe hujakijua tu?

Unaweza kuambiwa na mtu kuwa "mimi ni mchawi, ninaweza kumuua mtu bila kumgusa". Halafu huyo anayejiita mchawi akapita sehemu, akaua mtu kweli bila kumgusa.

Ukasema hiyo ni miracle, ni supernatural powers.

Kumbe huyo jamaa unayemuita mchawi ni mtu anayejua Chemistry tu, kaangalia upepo unaenda wapi, kanyunyuzia sumu ya hewani ya Cyanide, sumu ikampata mlengwa, mlengwa akafa bila kuguswa.

Wewe usiyejua Chemistry, ukiangalia unaona miracle. Unaona uchawi. Unaona supernatural power. Unaona this is beyond science, mtu kauawa bila kuguswa.

Kumbe hamna miracle yoyote, hakuna uchawi, hakuna supernatural power, ni Chemistry tu.

Sasa, wewe unaposema hii ni miracle, utajuaje ni miracle kweli na si natural power usiyoijua tu?

Bado naamini uchawi upo, Miujiza hipo na Mungu yupo bila ya shaka yeyote. Chukua muda wako nenda Kwa waganga, tembea vijijini huko utaona.

Shida watu wana-exagerate baadhi ya mambo mpaka wengine wanahisi kuwa hizi ni story za kutungwa but kabisa kabisa Kuna nguvu za Giza ambazo haziwezi kuelezewa kisayansi.

Ngoja tuangalie mifano hii ya kawaida ambayo huenda ikaonekana ya kipuuzi tu,

Wale watoto mashuleni wanaoanguka usidhani ni maigizo au matatizo ya kisaikolojia, ni nguvu za kichawi. Kwanini baadhi yao wawe na nguvu ya kuwashinda wanaume wengi? Kwanini hatujaona wale watoto wakitibiwa kisayansi? Yaani watoto wakianza kupandisha, suluhu huwa ni masheikh na mapadri. What is your comment on it?

Hivi ni kwanini baadhi ya maeneo huwa yanasifika sana Kwa uchawi, kwanini si maeneo mengine. Je ni 'tricks' tu wakazi wa maeneo hayo katika kuwazuru watu wengine? Jiulize tu kwanini cases za kujiua Kwa wahehe ni njingi? Unaweza ukasema ni genetic disposition, but je sayansi imeelezaje hutokeaji wa hiyo genetic disposition au ndio imeishia kusema tu ni 'genetic disposition'. Kwanini Salem, Massachusetts ni maarufu Kwa uchawi na si sehemu nyengine? Kwanini Misitu ya Romania inaogopwa sana Kwa matukio ya kichawi kuliko Misitu mingine? What makes this spatial variation?

Najaribu kufikiria baadhi ya mambo, nawaza ni coincidences au ni uchawi, miujiza au ni nguvu za giza. Wangapi huambiwa nitakuroga uwe chizi na hilo hutokea kweli?

Ngoja nikupe kisa hiki. Kuna kijana mmoja alisomasoma elimu ya uchawi wa kitabu (inahusishwa sana na masheikh). Basi huyu kijana akawa anatumia huu uchawi wake kuchukua wake za watu, na kuzini nao. Wengi walimuonya juu ya hilo ila kutokana na jeuri na kibri chake, huyu kijana hakuacha tabia hiyo. Baada ya muda huyu kijana alipatwa na uchizi then akafa.

Matukio kama haya ni mengi. Je uwingi wa matukio kama haya Huwa ni coincidences tu au Kuna kitu kingine.

Tunaishi katika Dunia ambayo inastaarabika, ni nadra sana kuona matukio ya uchawi hasa maeneo ya mjini kutokana na usasa. Lakini ukirudi vijijini Bado watu wanaishi Kwa kudumisha Mila zao na ni rahisi kuona miujiza. Sisi watu wa Quantum physics, sijui Geochemistry na fluid dynamics si rahisi kuexperience mambo hayo.

Wangapi ni madokta, maprofesa na wabobezi katika fani mbalimbali but still wanaamini katika hayo mambo ya miujiza na supernatural powers? Je, bado ni wajinga, elimu zao hazljawakomboa au ndio walisoma tu kujiingizia kipato?

Jamii Nyingi kote duniani kama Incas, Mayan, Aztecs, Mesopotamia, ancient Chinese, Nubian, Egyptians, Great Zimbabwe na nyengine nyingi zilikuwa Zina practice uchawi, je walikuwa wanawadangawa watu wao tu au uchawi ulikuwa una Practical uses.

Sheria za kupambana na uchawi ziliwekwa hasa nchi za Ulaya na bara la America na watu wengi waliuliwa baada ya kushukiwa kufanya uchawi, Historia inaeleza. Hivi jambo ambalo halina uhasilisia linaweza kusambaa kote duniani, tena likawa na athari zilezile?
 
Bado naamini uchawi upo, Miujiza hipo na Mungu yupo bila ya shaka yeyote. Chukua muda wako nenda Kwa waganga, tembea vijijini huko utaona.

Shida watu wana-exagerate baadhi ya mambo mpaka wengine wanahisi kuwa hizi ni story za kutungwa but kabisa kabisa Kuna nguvu za Giza ambazo haziwezi kuelezewa kisayansi.

Ngoja tuangalie mifano hii ya kawaida ambayo huenda ikaonekana ya kipuuzi tu,

Wale watoto mashuleni wanaoanguka usidhani ni maigizo au matatizo ya kisaikolojia, ni nguvu za kichawi. Kwanini baadhi yao wawe na nguvu ya kuwashinda wanaume wengi? Kwanini hatujaona wale watoto wakitibiwa kisayansi? Yaani watoto wakianza kupandisha, suluhu huwa ni masheikh na mapadri. What is your comment on it?

Hivi ni kwanini baadhi ya maeneo huwa yanasifika sana Kwa uchawi, kwanini si maeneo mengine. Je ni 'tricks' tu wakazi wa maeneo hayo katika kuwazuru watu wengine? Jiulize tu kwanini cases za kujiua Kwa wahehe ni njingi? Unaweza ukasema ni genetic disposition, but je sayansi imeelezaje hutokeaji wa hiyo genetic disposition au ndio imeishia kusema tu ni 'genetic disposition'. Kwanini Salem, Massachusetts ni maarufu Kwa uchawi na si sehemu nyengine? Kwanini Misitu ya Romania inaogopwa sana Kwa matukio ya kichawi kuliko Misitu mingine? What makes this spatial variation?

Najaribu kufikiria baadhi ya mambo, nawaza ni coincidences au ni uchawi, miujiza au ni nguvu za giza. Wangapi huambiwa nitakuroga uwe chizi na hilo hutokea kweli?

Ngoja nikupe kisa hiki. Kuna kijana mmoja alisomasoma elimu ya uchawi wa kitabu (inahusishwa sana na masheikh). Basi huyu kijana akawa anatumia huu uchawi wake kuchukua wake za watu, na kuzini nao. Wengi walimuonya juu ya hilo ila kutokana na jeuri na kibri chake, huyu kijana hakuacha tabia hiyo. Baada ya muda huyu kijana alipatwa na uchizi then akafa.

Matukio kama haya ni mengi. Je uwingi wa matukio kama haya Huwa ni coincidences tu au Kuna kitu kingine.

Tunaishi katika Dunia ambayo inastaarabika, ni nadra sana kuona matukio ya uchawi hasa maeneo ya mjini kutokana na usasa. Lakini ukirudi vijijini Bado watu wanaishi Kwa kudumisha Mila zao na ni rahisi kuona miujiza. Sisi watu wa Quantum physics, sijui Geochemistry na fluid dynamics si rahisi kuexperience mambo hayo.

Wangapi ni madokta, maprofesa na wabobezi katika fani mbalimbali but still wanaamini katika hayo mambo ya miujiza na supernatural powers? Je, bado ni wajinga, elimu yao hajawakomboa au ndio walisoma tu kujiingizia kipato.

Jamii Nyingi kote duniani kama Incas, Mayan, Aztecs, Mesopotamia, ancient Chinese, Nubian, Egyptians, Great Zimbabwe na nyengine nyingi zilikuwa Zina practice uchawi, je walikuwa wanawadangawa watu wao tu au uchawi ulikuwa una Practical uses.

Sheria za kupambana na uchawi ziliwekwa hasa nchi za Ulaya na bara la America na watu wengi waliuliwa baada ya kushukiwa kufanya uchawi, Historia inaeleza. Hivi jambo ambalo halina uhasilisia linaweza kusambaa kote duniani, tena likawa na athari zilezile.
Umeandika mengi sana, lakini swali langu dogo tu hujajibu.

Unajuaje hicho unachokiita uchawi au miujiza ni uchawi/ miujiza kweli, na si kitu cha kawaida tu ambacho wewe hujakielewa?

Nitumie mfano mmoja ulioutoa.

Mtoto kaanguka shuleni, tuseme si maigizo. Sawa. Wewe hujui kifafa, si daktari, unaona uchawi.

Unajuaje akija daktari akampima huyo mtoto hatamkuta na kifafa na kupata maelezo mazuri tu ya kibaiolojia kwamba huyo mtoto kaanguka kwa kifafa? Au alikuwa kakaa muda mrefu juani bila kula wala kunywa maji akaanguka kwa heatstroke na dehydration tu?

Hujajibu swali hili.
 
Kwanini kifo kiwe ending game? Do you believe that there is no chance of life after death?
Hakuna kitu kinachodumu milele kila kitu hurudia asili yake, na kitu asili yake ni udongo hivo vitu vyote ulimwenguni vimezaliwa na udongo
 
Umeandika mengi sana, lakini swali langu dogo tu hujajibu.

Unajuaje hicho unachokiita uchawi au miujiza ni uchawi/ miujiza kweli, na si kitu cha kawaida tu ambacho wewe hujakielewa?

Nitumie mfano mmoja ulioutoa.

Mtoto kaanguka shuleni, tuseme si maigizo. Sawa. Wewe hujui kifafa, si daktari, unaona uchawi.

Unajuaje akija daktari akampima huyo mtoto hatamkuta na kifafa na kupata maelezo mazuri tu ya kibaiolojia kwamba huyo mtoto kaanguka kwa kifafa? Au alikuwa kakaa muda mrefu juani bila kula wala kunywa maji akaanguka kwa heatstroke na dehydration tu?

Hujajibu swali hili.
Umeandika mengi sana, lakini swali langu dogo tu hujajibu.

Unajuaje hicho unachokiita uchawi au miujiza ni uchawi/ miujiza kweli, na si kitu cha kawaida tu ambacho wewe hujakielewa?

Nitumie mfano mmoja ulioutoa.

Mtoto kaanguka shuleni, tuseme si maigizo. Sawa. Wewe hujui kifafa, si daktari, unaona uchawi.

Unajuaje akija daktari akampima huyo mtoto hatamkuta na kifafa na kupata maelezo mazuri tu ya kibaiolojia kwamba huyo mtoto kaanguka kwa kifafa? Au alikuwa kakaa muda mrefu juani bila kula wala kunywa maji akaanguka kwa heatstroke na dehydration tu?

Hujajibu swali hili.
Mbona nimejibu humo au unakimbia kujibu hoja za msingi.

Soma tena utaona majibu lakini pia Kuna maswali ambayo ni vema ungejibu na wewe😅
 
Sayansi haiendani na miujiza, kimsingi kabisa. Sayansi inaendana na mambo yanayoweza kuelezeka, kupimika, kuthibitishika, kufanyiwa majaribio na kurudiwa, kwa kanuni za kisayansi ambazo hazina miujiza.

Ukishaingiza kitu chochote chenye muujiza, hicho kinapingana na sayansi.

Hivyo, Mungu wa miujiza anapingana na sayansi.

Huwezi kusema unaikubali sayansi, halafu hapo hapo unamkubali Mungu wa miujiza.

Hiyo ni contradiction.
Kwani muujiza ni kitu gani hasa kwa uelewa wako?
 
Mbona nimejibu humo au unakimbia kujibu hoja za msingi.

Soma tena utaona majibu lakini pia Kuna maswali ambayo ni vema ungejibu na wewe😅
Wapi umejibu?

Unahakikishaje huu ni uchawi na si kitu kingine ambacho labda hujakijua tu, ila si uchawi?

Nipe nukuu ya ulipojibu swali hili.
 
Haya ntajie mwanasayansi mkubwa mwislam nislim

Astronomers​

Physiologists​

Chemists and alchemists​

Economists and social scientists​

Geographers and earth scientists​

Mathematicians​

Philosophers​

Physicists and engineers​

Kwani muujiza ni kitu gani hasa kwa uelewa wako?
Muujiza ni tukio au kitu kinachovunja sheria za asili, kwa mfano, sheria za fizikia.

Kwa mfano, ukiona jiwe kubwa limenyanyuka lenyewe tu likaanza kupaa hewani, unaweza kufikiri huo ni muujiza, kwa sababu kikawaida, jiwe haliwezi kupaa hewani tu lenyewe.

Hakuna muujiza.

Kuna vitu ambavyo watu hawavielewi.

Sasa, wadadisi hutaka kuvifahamu, watavisoma na kuvielewa, watavielezea bila kuhitaji kuviita muujiza.

Halafu, kuna wazembe, ambao hawana utashi, hawana uchunguzi, wakiona kitu ambacho hawakielewi, moja kwa moja wanakiita muujiza.

Mfano.

Wazungu walivyokuja Afrika, tayari walikuwa na uwezo wa kutabiri eclipse of the sun, kupatwa kwa jua.

Waliweza kutabiri kwamba mwezi ujao jua litapatwa. Huu si muujiza. Hii ni sayansi tu, ukijua jinsi dunia inavyozunguka jua, mwezi unavyokwenda na jua linavyokwenda, unaweza kupiga mahesabu na kutabiri jua litapatwa lini wapi kwa mamia ya miaka.

Sasa, mababu zetu hawakuwa na elimu ya kujua utabiri huu. Wlipotabiriwa na wazungu hivi, waliona hizi habari ni muujiza, wakawaona hawa wazungu ni wachawi.

Kumbe hakuna muujiza wowote, ni sayansi tu.

Sasa, nauliza, hao wanaosema huu ni muujiza, wanajuaje huu ni muujiza kweli, na si kitu kinachofuata sheria za asili, lakini wao hawajajua tu?

Kwa kurejea mfano wetu wa hapo awali, wa jiwe kupaa hewani tu.

Ukiona jiwe linapaa hewani tu, utajihakikishiaje kuwa huo ni muujiza?

Ujajuaje kwamba, labda kuna mtu kachukua drone, kaitengenezea mkebe unaoonekana kama jiwe, halafu anairusha ile drone kwa remote control kutoka mbali, watu wanaona jiwe linaruka, lakini kumbe ndani kuna drone?

Ukifuatilia sana mara karibu zote watu wanaposema hapa kuna muujiza au uchawi, kuna ujanja fulani umetumika, au kuna kitu fulani ambacho hakijulikani, kinachofanya kuwepo na muonekano w amuujiza, wakati vitu vinafuata sheria za asili vizuri tu.

Ni kama hiyo sitiation ya mtu kuona jiwe linaruka hewani, kumbe ndani ya kinachoonekana kama jiwe kuna drone, hawajajua tu.

Sasa watu wetu wengi hawana utashi w akuchunguza, wakiona jiwe linaruka tu, wanasema uchawi.

Hawataki kulichunguza hili jiwe linarukaje? Wakifanya uchunguzi, watangundua kumbe hapa kuna drone ndani, hakuna uchawi, ni sayansi na hakuna muujiza.
 
Umeandika mengi sana, lakini swali langu dogo tu hujajibu.

Unajuaje hicho unachokiita uchawi au miujiza ni uchawi/ miujiza kweli, na si kitu cha kawaida tu ambacho wewe hujakielewa?

Nitumie mfano mmoja ulioutoa.

Mtoto kaanguka shuleni, tuseme si maigizo. Sawa. Wewe hujui kifafa, si daktari, unaona uchawi.

Unajuaje akija daktari akampima huyo mtoto hatamkuta na kifafa na kupata maelezo mazuri tu ya kibaiolojia kwamba huyo mtoto kaanguka kwa kifafa? Au alikuwa kakaa muda mrefu juani bila kula wala kunywa maji akaanguka kwa heatstroke na dehydration tu?

Hujajibu swali hili.
Watoto 15 au 20 au 30 wote waumwe Kifafa kwa wakati mmoja?
 
Hujaelewa somo.

Hata kama si kifafa, unawezaje kujiridhisha kuwa hakuna ugonjwa, au kemikali au kitu kingine chochote chenye maelezo mazuri tu ya kisayansi kilichowafanya waanguke?

Hao watoto wameanguka wapi? Lini? Habari za kuanguka kwao zimeandikwa wapi?
 
Muujiza ni tukio au kitu kinachovunja sheria za asili, kwa mfano, sheria za fizikia.

Kwa mfano, ukiona jiwe kubwa limenyanyuka lenyewe tu likaanza kupaa hewani, unaweza kufikiri huo ni muujiza, kwa sababu kikawaida, jiwe haliwezi kupaa hewani tu lenyewe.

Hakuna muujiza.

Kuna vitu ambavyo watu hawavielewi.

Sasa, wadadisi hutaka kuvifahamu, watavisoma na kuvielewa, watavielezea bila kuhitaji kuviita muujiza.

Halafu, kuna wazembe, ambao hawana utashi, hawana uchunguzi, wakiona kitu ambacho hawakielewi, moja kwa moja wanakiita muujiza.

Mfano.

Wazungu walivyokuja Afrika, tayari walikuwa na uwezo wa kutabiri eclipse of the sun, kupatwa kwa jua.

Waliweza kutabiri kwamba mwezi ujao jua litapatwa. Huu si muujiza. Hii ni sayansi tu, ukijua jinsi dunia inavyozunguka jua, mwezi unavyokwenda na jua linavyokwenda, unaweza kupiga mahesabu na kutabiri jua litapatwa lini wapi kwa mamia ya miaka.

Sasa, mababu zetu hawakuwa na elimu ya kujua utabiri huu. Wlipotabiriwa na wazungu hivi, waliona hizi habari ni muujiza, wakawaona hawa wazungu ni wachawi.

Kumbe hakuna muujiza wowote, ni sayansi tu.

Sasa, nauliza, hao wanaosema huu ni muujiza, wanajuaje huu ni muujiza kweli, na si kitu kinachofuata sheria za asili, lakini wao hawajajua tu?

Kwa kurejea mfano wetu wa hapo awali, wa jiwe kupaa hewani tu.

Ukiona jiwe linapaa hewani tu, utajihakikishiaje kuwa huo ni muujiza?

Ujajuaje kwamba, labda kuna mtu kachukua drone, kaitengenezea mkebe unaoonekana kama jiwe, halafu anairusha ile drone kwa remote control kutoka mbali, watu wanaona jiwe linaruka, lakini kumbe ndani kuna drone?

Ukifuatilia sana mara karibu zote watu wanaposema hapa kuna muujiza au uchawi, kuna ujanja fulani umetumika, au kuna kitu fulani ambacho hakijulikani, kinachofanya kuwepo na muonekano w amuujiza, wakati vitu vinafuata sheria za asili vizuri tu.

Ni kama hiyo sitiation ya mtu kuona jiwe linaruka hewani, kumbe ndani ya kinachoonekana kama jiwe kuna drone, hawajajua tu.

Sasa watu wetu wengi hawana utashi w akuchunguza, wakiona jiwe linaruka tu, wanasema uchawi.

Hawataki kulichunguza hili jiwe linarukaje? Wakifanya uchunguzi, watangundua kumbe hapa kuna drone ndani, hakuna uchawi, ni sayansi na hakuna muujiza.
Kumbe hata maana ya muujiza hujuwi!

Hayo yote uliyoeleza ni uelewa wako wa kizamani kuhusu muujiza

Napenda kukujulisha kuwa bado hujuwi muujiza ni nini.
 
Sawa, tuseme mimi sijui muujiza ni nini.

Nieleweshe basi na mimi nielewe kutokana na uelewa wako.

Muujiza ni nini?

Na unajuaje huu ni muujiza na huu si muujiza?
 
Hujaelewa somo.

Hata kama si kifafa, unawezaje kujiridhisha kuwa hakuna ugonjwa, au kemikali au kitu kingine chochote chenye maelezo mazuri tu ya kisayansi kilichowafanya waanguke?

Hao watoto wameanguka wapi? Lini? Habari za kuanguka kwao zimeandikwa wapi?
Kuna wakati fulani huko nyuma niliwahi kukuuliza kama unaamini kuna ugonjwa unaitwa UKIMWI na kwamba hauna dawa na unasababishwa na HIV na ulinijibu ndiyo unaamini hivyo, nikakuambia BADO HUJUWI LOLOTE. Sijuwi kama unakumbuka
 
Everything you see around is a miracle
 
Kuna wakati fulani huko nyuma niliwahi kukuuliza kama unaamini kuna ugonjwa unaitwa UKIMWI na kwamba hauna dawa na unasababishwa na HIV na ulinijibu ndiyo unaamini hivyo, nikakuambia BADO HUJUWI LOLOTE. Sijuwi kama unakumbuka
Naomba kwanza unijibu maswali yangu haya kabla hujaleta conspiracy theories na kuharibu mjadala.

Nimekuuliza hivi.

Hata kama si kifafa, unawezaje kujiridhisha kuwa hakuna ugonjwa, au kemikali au kitu kingine chochote chenye maelezo mazuri tu ya kisayansi kilichowafanya waanguke?

Hao watoto wameanguka wapi? Lini? Habari za kuanguka kwao zimeandikwa wapi?

Hujajibu maswali haya.
 
Back
Top Bottom