Wewe inaonenakana hata Google ikisema hujitambui,..lazima utaiamini HahhDefinition hizo hapo leteni upuuzi wenu asa wa sijui mudi cjui kiarabu
Pia walio push taarifa kutokea kwenye biblia na Qur'an ni watu tu , wewe ulitaka taarifa itoke wapi ili iwe sahihi?Wewe inaonenakana hata Google ikisema hujitambui,..lazima utaiamini Hahh
Nakumbuka kuna mjadala mmoja hivi nikakuambia hakuna jogoo wanaofanya homosexual ukaenda ku Google, kisha ukasema eti Google imesema wapo,... Hujioni kama una shida?
Kama hata vitu unavyoviona Kwa macho yako,unasubiri Google ikuambie kuvihusu basi una safari ndefu sana ya kujikomboa kifikra.
NB:- Wanao publish taarifa Google ni watu kama Mimi na wewe tu.
Hapana,.Tesla alikua Mserbia..Nicola tesla kutokea Croatia je
ukifa ndiyo utajua mwisho wa siku upoHakuna siku ya Mwisho.
No,. Marie curie alizaliwa tu Poland lakini sehemu kubwa ya maisha yake aliishi Ufaransa na mme wake Pierre Curie .,na hata uraia wake ni Ufaransa. Mfano discovery yake kubwa ya Polonium na Radium alifanyia akiwa Ufaransa.Una
Unafahamu Marie curie kutokea Poland?mshindi wa tuzo ya nobel mwaka 1903 na 1911
mababu zetu waliishi zama za giza hawakumjua Mungu wa kweli mpaka walipofikiwa na injili, nuru ikawaangazia.Unataka kusema kabla ya ujio wa wakoloni waafrika walikuwa hawasali kwa imani zao?
Kinacho kufanya uone imani za wazungu ni bora kuliko za mababu zako ni nini?
Hizo dini zenu za kuletwa, zime wapumbaza hizo akili zenu.
Kipindi cha ukoloni babu zako hawakupewa huduma nzuri za Afya, huduma nzuri za kielimu, huduma nzuri za makazi na chakula.
Kinacho fanya useme ulipewa Dini nzuri ni nini?
Mbona wao wenyewe walikwenda kinyume na mafundisho ya dini zao?
Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri injili kwa kila kiumbe. Hilo ndilo agizo wainjilisti walilofanya kuleta injili kwa wasioijuaUnataka kusema kabla ya ujio wa wakoloni waafrika walikuwa hawasali kwa imani zao?
Kinacho kufanya uone imani za wazungu ni bora kuliko za mababu zako ni nini?
Hizo dini zenu za kuletwa, zime wapumbaza hizo akili zenu.
Kipindi cha ukoloni babu zako hawakupewa huduma nzuri za Afya, huduma nzuri za kielimu, huduma nzuri za makazi na chakula.
Kinacho fanya useme ulipewa Dini nzuri ni nini?
Mbona wao wenyewe walikwenda kinyume na mafundisho ya dini zao?
Mpumbavu kama wewe ndiyo unaamini kuwa kunamaisha baada ya kufa,hujiulizi mbona mbwa,kuku,samaki,ngombe,punda,miti,mawe,nk havihubiliwi neno la Mungu ili viende mbinguni au viwe na maisha mengine baada ya kufa,si vinauhai pia?Kwanini kifo kiwe ending game? Do you believe that there is no chance of life after death?
Gravity has nothing to do with our conversation.Gravity ni theory...if it's false kajirushe ghorofani ujikute na bikra 72 mbinguni sawa...
Ndiyo maana amekwambia nyie wenye low minded hamjifikirishi hata kuhoji tu kuwa kama unafundishwa kuwa yesualikufa msalabani kwaajili yenu na kufuta dhambi zote sasa iweje leo dhamvi ziongezeke au atakuja yesu mwingine?Ungekuwa smart kama ungetoa mifano ya hiyo michanganyo kuliko kuandika vitu kama vile wote tumefundishwa na mwalimu mmoja au tumevisoma wote kwa pamoja hivyo vitabu
Ni dini gani inakufundisha kuikataa sayansi? Kwa nini unafikiri dini na sayansi vimepingana? Sayansi inaanza na ku observe nature, study it, experiment it na baadae kuja na uvumbuzi. Dini inajaribu kujibu maswali kama tumetoka wapi, kwa nini tuko duniani na hatima yetu kama binadamu ni nini? Hamna sayansi iliyo na majibu ya maswali haya mpaka leo
Hayo ya wafuasi wa dini kushabikia pande zinazogombana ni matatizo yao binafsi labda na viongozi wao vipofu, at least kwenye mafundisho ya Biblia nina uhakika hakuna mahali inatuambia kushabikia upande wa Israeli inapofanya mauaji ya wasio na hatia.
Lakini pia sijaona sayansi ikija na suluhisho la huo mgogoro. Halafu 86% ya wamarekani hawana dini umetoa wapi hizi takwimu. Yani hata kwa ku google tu from different sources utaona stats zao zinasema US has above 50% only Christians.
Hao wavumbuzi wa technologies mbalimbali wote hawana dini? Technologies nyingi za leo zimewezekana kwa sababu ya sayansi iliyofanyiwa kazi na wanasayansi walioamini katika uwepo wa Mungu kuanzia kina Isaac Newton mpaka kina Albert Einstein. Nimesema hivi kwa sababu umegusia Atheism, labda kama ungetofautisha dini na theism.
Leo hii kuna shule na vyuo vikuu vingi vilivyoanzishwa na taasisi za dini ambavyo vime produce wanasayansi wakubwa duniani.
Ungeweka hapa details kidogo tujifunze vizuri hoja yako lakini kukataa uwepo wa Mungu au dini jumla jumla bila hoja yoyote hakukufanyi wewe au watu wa aina yako kuwa na akili.
Anhaa,.. Nadhani Qur'an ipo tofauti kidogo, odds za Qur'an kuwa idea ya mtu tu ipo close to 0.00%Pia walio push taarifa kutokea kwenye biblia na Qur'an ni watu tu , wewe ulitaka taarifa itoke wapi ili iwe sahihi?
Sayansi ni vipaji anavyotoa MUNGU kwa wanadamu ili kugundua vitu mbalimbali wapate kuendesha maisha yao kirahisi na kwa ufanisi haipingani na MUNGU bwana,ni ujinga wako tu unaokuaminisha hivyo kuwa sayansi inapingana na Mungu baada ya binadamu anayeishi katika ulimwengu wa sayansi kuweza kufanya mambo makubwa kupitia ugunduzi na binadamu anayeamini katika dini kuishi maisha ya mipaka ya kuaminishwa ujinga ili watawaliwe kifira na kushindwa kuvumbua vitu vya kumsaidia kuendesha maisha yake kwa urahisi.Ukikubali Mungu wa miujiza ambaye hapingiki wala kuthibitishika kisayansi umeshapingana na sayansi.
Ukikubali Mungu anayepimika na kuthibitishika kisayansi, umeshamuondoa huyo Mungu kwenye uungu na kumuweka kwenye kanuni ya sayansi tu.
Anhaa,.. Nadhani Qur'an ipo tofauti kidogo, odds za Qur'an kuwa idea ya mtu tu ipo close to 0.00%
Lakini pia taarifa inaweza itokee popote na ikawa na usahihi,...ila ujinga ni pale unapoamini Google ina taarifa zote sahihi wakati kiuhalisia imejaa
1. Ukweli
2. Uongo
3. Propaganda za kila aina
Hivyo basi ukiingia Google unaweza ukatoka na moja Kati ya hivyo vitatu.
Tena sio idea ya mtu tu ni cope and paste na ku editi kidgo close rate yake ipo 100%Anhaa,.. Nadhani Qur'an ipo tofauti kidogo, odds za Qur'an kuwa idea ya mtu tu ipo close to 0.00%
Lakini pia taarifa inaweza itokee popote na ikawa na usahihi,...ila ujinga ni pale unapoamini Google ina taarifa zote sahihi wakati kiuhalisia imejaa
1. Ukweli
2. Uongo
3. Propaganda za kila aina
Hivyo basi ukiingia Google unaweza ukatoka na moja Kati ya hivyo vitatu.
Mungu yupiSayansi ni vipaji anavyotoa MUNGU kwa wanadamu ili kugundua vitu mbalimbali wapate kuendesha maisha yao kirahisi na kwa ufanisi haipingani na MUNGU bwana,ni ujinga wako tu unaokuaminisha hivyo kuwa sayansi inapingana na Mungu baada ya binadamu anayeishi katika ulimwengu wa sayansi kuweza kufanya mambo makubwa kupitia ugunduzi na binadamu anayeamini katika dini kuishi maisha ya mipaka ya kuaminishwa ujinga ili watawaliwe kifira na kushindwa kuvumbua vitu vya kumsaidia kuendesha maisha yake kwa urahisi.
Ni kanisa gani au msikiti upi umewahi kufanya uvumbuzi mkubwa kama viwandani au wanasayansi?
Sayansi inakwenda kwa uthibitisho.Sayansi ni vipaji anavyotoa MUNGU kwa wanadamu ili kugundua vitu mbalimbali wapate kuendesha maisha yao kirahisi na kwa ufanisi haipingani na MUNGU bwana,ni ujinga wako tu unaokuaminisha hivyo kuwa sayansi inapingana na Mungu baada ya binadamu anayeishi katika ulimwengu wa sayansi kuweza kufanya mambo makubwa kupitia ugunduzi na binadamu anayeamini katika dini kuishi maisha ya mipaka ya kuaminishwa ujinga ili watawaliwe kifira na kushindwa kuvumbua vitu vya kumsaidia kuendesha maisha yake kwa urahisi.
Ni kanisa gani au msikiti upi umewahi kufanya uvumbuzi mkubwa kama viwandani au wanasayansi?
Ina maana Mungu huyo au Yesu huyo hakujua kwamba anapaswa kufahamika na watu wote ulimwenguni kwa wakati mmoja?Enendeni ulimwenguni mwote mkaihubiri injili kwa kila kiumbe. Hilo ndilo agizo wainjilisti walilofanya kuleta injili kwa wasioijua
Una uthibitisho upi wa kwamba mababu zetu hawakumjua Mungu wa kweli?mababu zetu waliishi zama za giza hawakumjua Mungu wa kweli mpaka walipofikiwa na injili, nuru ikawaangazia.
Ulishawahi kufa, ukajua mwisho wa dunia upo?ukifa ndiyo utajua mwisho wa siku upo