Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Hi inaweza kuwa ni namna unavyotaka kutafsiri miracle nadhani. Sababu katika imani kuna miracle za aina mbili kuna za direct kama ile Yesu kutembea juu ya maji halafu kuna miracle za longterm ambazo Mungu anaingiza taratibu katika maisha ya mwanadamu kupitia watu mbali mbali. Kwa mfano amri kumi za Mungu alizepewa Mussa ilikuwa ni miracle lakini watu walijifunza na zikawa sehemu ya maisha yao. Au kuzaliwa kwa Yesu kulikuwa miracle kupitia kwa Mariam lakini watu waliishi nae miaka 33 na mafundisho yake yaliyokuwa miracle yanapoletwa nae akiwa hai ila tunaishi nayo hadi leo. Je huoni kuwa kitendo cha baadhi ya wanadamu kupewa neema ya kugundua nature inavyofanya kazi na kutuletea tuishi nayo katika maisha yetu ya kila siku kama vile umeme sio sehemu ya longterm miracles?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Let's be honest...
1. So wewe bila kitabu Cha muarabu au myahudi kukuambia usiue, usibake coz utaenda motoni so wewe utafanya hivyo au sio? If yes, then shida ipo kwako mwenyewe
2. Multiple studies shows that nchi zenye low levels of religiousness ndo zinaongoza kwa low crime rates, peace, democracy, various freedoms, women and minority rights, low levels of torture n unnecessary murders or conflicts(wars) na nchi zenye high levels of religiousness ni vice versa...which proves dini haimfanyi mtu awe mwema ila dini inaweza fanya mtu abake(mapadri na waislamu kwa wanawake), aue(magaidi wa kiislamu), na vingine
No one anaamua wat is right or wrong lakini wat matters is unachofanya hakileti unnecessary suffering to others
 
Asa ukiimagine justice ndo itatokea ama... Itabaki kwenye imagination yako tu...heaven n hell ni ideas tu kwenye imagination hazina reality yoyote what's so ever..ndo maana kila dini Ina mfumo wake Accord to story zao za mababu
 
😂😂😂Tuletee history bana sio hekaya za abunuasi eti bikra kazaa
 
Quran ni editing ya Vitabu vya wayahudi, imani za wachawi wa Uarabuni (mambo ya majini) na mawazo ya Muhammad, nothing new mle!

Vitabu vya dini ni ngano na stories za jamii za kale!
 
Okay define a miracle...na mfano wake..na inatofauti gani na a natural occurrence?
Twende kazi
Hilo swali si nimeuliza mimi ?

Na kumbuka haujamaliza kujibu maswali yangu niliyouliza hapo juu.

Kwangu mimi muujiza ni jambo la kiasili ambalo wengi hawajalizoea.
 
Na je vipi kwa mambo ambayo sayansi iliweka msingi wake kuwa jambo fulani haliwezekani ila likawezekana kwa wakati fulani kwa namna fulani? Kwa mfano mtu akathibitika kutembea juu ya maji au kukaa chini ya maji ya barafu kwa siku tatu bila vifaa vyovyote?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Brother I have already done my homework, Evolution and Bing-bang aren't news to me, have you read a book called "The world according to physics" by Prof. Jim Al-khalili?? Well Its a very fascinating book, lotsa interesting facts in it, I know these things to a very wider extent brother, and the more I read about them, the more i believe in God, I'm not sure which God, maybe it was Zeus(greek mythology), Odin(norse mythology), Allah(Islamic), Brahma(Hinduism) or Jesus(christians) I don't know, im not 100% sure, but what I'm 100% sure is that the universe was not a result of a chain of events, mindless and blind without any direction or purpose, that they will come and create what we have today, A PREFECTLY INTRICATE UNIVERSE GOVERNED BY PHYSICAL LAWS WITH SUCH PACE AND BALANCE.
Did you know that if the universal gravitational embrace was slightly higher the universe as we know will collapse and if it was slightly lower solar systems will cease to exist, galaxies will cease to exist, the expansion rate of the universe would be stupendous, formation of life would be unlikely on those conditions.
Did you know that if the strong and weak nuclear forces were slightly higher or slightly lower, atoms would not form(they would collapse), and if atoms can't form, what about the universe, of which everything in it is made of a atoms?
The ecosystem is so perfect, the processes and scenarios happening in front of our eyes, whether you acknowledge or not, the environment and the complex processes that were happening before you get food into your stomach are so majestic, I'M IN AWE.
I just can't explain everything I know, if you're interested allow me to your PM.

THESE THINGS CANT JUST RUN FOR THEMSELVES, THEY'RE SO PERFECTLY PUT TOGETHER, WORKING TOGETHER, ASSISTING ONE ANOTHER IN A VERY SPECIAL WAY, THERE IS NO MAGIC EVOLUTION OR MAGICAL CHAIN OF EVENTS THAT LED TO THESE AWESOME CONDITION, THERE MUST BE A BRILLIANT CREATOR, A SMART INSTRUCTOR, AN ORCHESTRATOR, A DESIGNER WITH SUCH AN AMAZING TASTE.....I WON'T FINISH.

I KNOW EVERYTHING I NEED TO KNOW ABOUT EVOLUTION, BING-BANG THEORY, ASTRONOMY AND ARTIFICAL BREEDING BUT EVERYTIME I CHOOSE TO BELIEVE IN THE CREATOR.
 
Mbona mjinga hapo ni wewe aisee. Ukiambiwa ueleze ni jinsi gani dini inampa mtu umasikini huwezi hata kidogo. Nitajie sehemu katika uchumi imeandikwa religion kama kikwazo cha uchumi? Lete proof idadi ya masikini duniani iliyosababishwa na dini. Eti sijui china sijui vity gani unasahau kuwa hata kabla ya kuja mzungu wewe mwafrica hasa chini ya jangwa la sahara ulikuwa masikini fresh tu. Kwanini wazungu ambao kwa asilimia kubwa walijenga dini zao kama ucatholic hawakuwa masikini? Na kama utasema waafrica tuliletewa dini tutawaliwe kwanini kulikuwa na vita kama maji maji mkwawa merere na machief wengine? Na je waafrica walikuwa wanasali wapi wakati walikuwa hawawezi kusali kanisa moja na wazungu?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Tuambie ni maandiko gani yamekataza miujiza kugunduliwa na wanadamu? Kwa mfano muujiza namba moja katika mkristo ni uumbaji wa mbingu na nchi, je hakuna ugunduzi wowote wa uumbaji kama vile dunia?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Okay mganga kawezaje kufanya hizo illusion? Je huyo chura anakuwa kamficha wapi mpaka anaefanyiwa asimuone?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 

Katika uso wa Dunia hii, kiuhalisia hakuna watu wajinga na wenye kufikiria mambo kitoto kuwazidi Atheists. Yaani hakuna.
 
Hivi hizo sadaka ni shingapi watu wanatoa mbona mnaropoka sana vitu vya hovyo namna hiyo sababu ya chuki. Yani kweli elfu mbili elfu tano elfu 10 kwa wiki ndo imfirisi mtu duh. Ila mtu kunywa pombe za laki moja katika mshahara wa laki mbili safi sadaka ya elf mbili anafirisika. Bangi za elf 5 kila siku safi ila sadaka ya buku mbili hasara anafirisika. Hayo makanisa yana hela hujui tu kuna watu wanatoaga sadaka kubwa za kutisha na wengi kama hujui sio masikini kama wewe jpo sikujui. Nshawahi hudhuria kanisa la Nabii Flora pale mbezi beach alikuja dada mmoja toka uingereza alimkabidhi million 100 cash alitoa ushuhuda kapata mume. Na hapo kama wiki imepita kazawadiwa mashangingi manne zero kilomita toka kwa jmaa wa uingereza pia ambayo akauza yote na kuanza na ujenzi. Nenda kaangalie hata kwa Mwamposa aina ya watu wanaoingia endelea pigiwa story vijiweni.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ukikubali Mungu wa miujiza ambaye hapingiki wala kuthibitishika kisayansi umeshapingana na sayansi.

Ukikubali Mungu anayepimika na kuthibitishika kisayansi, umeshamuondoa huyo Mungu kwenye uungu na kumuweka kwenye kanuni ya sayansi tu.
Someni vitabu vya dini.
 
Tofautisha dini na nguvu za kiroho ,dunia hii mtu mwenye pesa ndo mwenye akili ,sasa ukiweza kawaulize jinsi nguvu za kiroho zinavyofanyakazi usitafute millionaire tafuta bilionea muulize atakueleza
Na bila kuwa na nguvu za kiroho, ni ngumu kuwa billionaire.

Watu wanadhani utajiri ni kuwa na utajiri, wanasahau utajiri ni kuulinda utajiri ulionao.
 
Na mbona kulikuwa kuna vita kama za maji maji na ile ya mkwawa na merere. Je , huoni dini ilikuokoa kuanza na kipigo direct?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Religion is an insult to human dignity. With or without it, you’d have good people doing good things and evil people doing bad things, but for good people to do bad things, it takes religion.
Who decides what is right and what is wrong? How do you call certain people evil people? Because If there is no greater power than humans in this world why shouldn't we let everyone do as it please them ?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Nmeshawahi kukwambia wewe ni mateka, ( Mtumwa wa kifikra )

Unatumia fikra za watu wengine kujenga hoja zako. ( Kwako elimu imekuharibu zaidi maana imeondoa uwezo wako wote binafsi wa kufikiri )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…