Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Kwani Africa ilitawaliwa na taifa la wayahudi?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Ikiwa wewe unaongea lugha ya wanyama na unajua wanaishije na wnaongea na nani wakati gani sio? Muwe mnatoa logic za msingi basi halafu kitendo cha kutofautiana kati yetu na wanyama ni moja ya maswali. Kwanini isingetokea baadhi ya wanyama wapige stori na wanadamu na kuna wanadamu wasielewe kabisa story za wenzao why is it so systematic?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kwanini pamoja na kujilinda kwao kwa silaha bdo wanakufa baadhi yao mpaka kesho? Silaha zingetosha kwanini waendelee kufa?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika gani hakufahamika na wengi we bwana? Nadhani ni maswala ya uelewa wa bible ndo changamoto kwa hapo. Kilichoandikwa kwenye bible ni kiini cha maisha ya wadanadamu nd maan kikawa centered katika taifa la Israel kama kielelezo kikuu. Lakini watu waliokuwa wanasali walikuwa dunia nzima ndo maana mfano mfalme wa Ethiopia enzi hizo za Yesu alisikia habari za Yesu na akafunga safari kwenda kuonana nae. Pia usichanganye na ramani za sahivi zitakupoteza dunia zamani ilikuwa tofauti kabisa.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Nmeshawahi kukwambia wewe ni mateka, ( Mtumwa wa kifikra )

Unatumia fikra za watu wengine kujenga hoja zako. ( Kwako elimu imekuharibu zaidi maana imeondoa uwezo wako wote binafsi wa kufikiri )
Hata kama hayo unayoandika ni kweli, huo uwezekano wa mtu yeyote kuwa mateka na mtumwa wa fikra nao ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, isingewezekana kwa mtu yeyote kuwa mtumwa wa fikra.

Unaona kwamba unaninyanyapaa na kuutusi uwezo wangu, lakini kwa akili yako ndogo, huoni kwamba hiyo hoja yako, hata kama ikiwa kweli, ndiyo inathibitisha zaidi Mungu hayupo na kuijenga zaidi hoja yangu ya msingi.
 
Kipi Bora umkubali Mungu au uikubali sayansi?
Kama Mungu hayupo, kumkubali Mungu ni kukubali uongo.

Kabla ya kumkubali Mungu, thibitisha kwamba yupo kwanza.

Usije kukubali hadithi za watu kwamba Mungu yupo, wakati kiukweli hayupo, kumkubali Mungu kutakuwa ni kuingizwa katika siasa za watu wanaokuchota akili na kukuibia sadaka na kukufanya mtumwa wao.

Kabla ya kumkubali Mungu, unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo kweli na kwamba habari za kuwapo kwake si hadithi za watu tu?
 
Sio mimi tu jamii zetu zilikuwa hivyo na madhara yalikuwa makubwa mfano adulterers wauaji mfano wachuna ngozi za binadamu sababu ya ushirikina mauaji ya albino upigaji wa nondo ukeketaji. Je hivi vitu bila kuambiwa nani angejua ni vibaya sababu hakuna ubaya bila sheria. Halafu unazungumzia dini as mfumo au matendo ya watu yanayotokana na kutoelewa dini? Na pia ambacho ujue shetani hushambulia sana watu wa dini kuliko wengine sababu ana uhakika na wafuasi wake na ndo maana hata wanafunzi wa Yesu na hasa Yesu mwenyewe walipitia mateso makali sana wakati huo.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Nmekumbuka jambo, Kuna wagonjwa huwa haijulikani anaumwa ugonjwa gani nini...Mtu anapelekwa hospitali kubwa huko India lakini haijulikani ugonjwa wake ni nini haswa, Ndugu wanaamua kumrudisha nyumbani wakisubiri kifo chake....EMU naomba unielezee hili jambo huwa kuna shida gani mpaka science inashindwa kung'amua ugonjwa kwa watu kama hawa ?
 
Asa ukiimagine justice ndo itatokea ama... Itabaki kwenye imagination yako tu...heaven n hell ni ideas tu kwenye imagination hazina reality yoyote what's so ever..ndo maana kila dini Ina mfumo wake Accord to story zao za mababu
Sasa kwanini nifuate msimamo wako mtu uliekosa hope katika maisha yako. Yani watu wafanye ubaya makusudi then tufe eti habari imeisha hapo na wakati watu wamepambana na nafsi zao waushinde ubaya. Kumbe nyinyi ni maiti zinazotembea sababu there is no eternal hope and you have no purpose in this world. Nyinyi then hamna tofauti na kumbi kumbi cause you are born to die usikute masikini ya Mungu na unateseka na maisha na huna purpose yyte kwanini usichukue njia random ya maisha fanya mauchafu yote bila kujali sababu it doesn't matter to you.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Nani kakwambia kuwa China haina dini? au wewe unafikiri dini ni ukristo na uislamu tu.
 
Bro jipe nafasi ya walau kusoma elimu ya Ubongo vzr, utaelewa kila kitu. Soma anatomy of the brain! kuna majibu yote
Anatomy of the brain hailezei ni Kwa namna gani mtu anaweza kuwa demonically possessed.

Labda kama una source tofauti uliyosoma.

NB:- hivi vitu vipo observed kwenye jamii hata Mimi nimeshuhudia mtu akiwa demonically possessed...utakuta mtu anakua na uwezo au ujuzi wa jambo ambalo yeye binafsi hana,. au wengine utakuta wanapokea maelekezo kabisa toka Kwa viumbe wengine kuhusiana na jambo Fulani.

Ndiyo maana wenzetu kwenye definitions zao wakasema ni hali ya matendo ya mtu kuwa controlled au influenced na kiumbe mwingine.
 
how do u know kuna kiumbe kingine kinamcontrol? unaweza kuthibitisha pasi na shaka uwepo wa kiumbe hicho?
Kuthibitisha vipi unamaanisha,,..nikuonyeshe huyo kiumbe kwa macho umuone au?

Sina uwezo wa kukuthibitishia Kwa namna hiyo.

Zipo njia nyingine zinazotumika kuthibitisha kwamba muhusika amekua demonically possessed...kama hukubaliani nazo upo free kuamini unachokitaka.
 
Hilo swali si nimeuliza mimi ?

Na kumbuka haujamaliza kujibu maswali yangu niliyouliza hapo juu.

Kwangu mimi muujiza ni jambo la kiasili ambalo wengi hawajalizoea.
😂😂Duu...so una appeal to popularity... skia have logical conversations with me... otherwise tunapotezeana mda...
 
😂 Umerudi kwenye fine tuning argument, ni argument nzuri buh fails to account
1. What if there r multiple universes with different universal constants?
2. Why would an all powerful deity need fine tuned, is he limited to certain parameters?
3. Doesn't answer who created the perfect tuner, he can't just appear out of nowhere?
And many more..
Hence u can't say u are sure there's a creator...anyone can say I feel lyk I'm in a ryt place at the ryt time coz of some outside force..😂buh if u can't explain how n why you'll just be making blind assumptions. The best answer is we don't know ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…