SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
😂Mwanangu hizi magic trick si hata YouTube na Instagram vipo...mbona unakuwa ka mtoto wa primaryOkay mganga kawezaje kufanya hizo illusion? Je huyo chura anakuwa kamficha wapi mpaka anaefanyiwa asimuone?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
😂😂Si subconscious mind jamani...mbona tunabishana utoto lakiniAnatomy of the brain hailezei ni Kwa namna gani mtu anaweza kuwa demonically possessed.
Labda kama una source tofauti uliyosoma.
NB:- hivi vitu vipo observed kwenye jamii hata Mimi nimeshuhudia mtu akiwa demonically possessed...utakuta mtu anakua na uwezo au ujuzi wa jambo ambalo yeye binafsi hana,. au wengine utakuta wanapokea maelekezo kabisa toka Kwa viumbe wengine kuhusiana na jambo Fulani.
Ndiyo maana wenzetu kwenye definitions zao wakasema ni hali ya matendo ya mtu kuwa controlled au influenced na kiumbe mwingine.
If u think it's ryt to rape and kill because there is no god to tell u not to....then stay away from us..u ain't a nice human u are just a puppet of cultureWho decides what is right and what is wrong? How do you call certain people evil people? Because If there is no greater power than humans in this world why shouldn't we let everyone do as it please them ?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
😴Jirushe ghorofani..mambo ya movement ya Nini tenaMbona gravity imekuwa proven na wana sayansi hao hao kuwa haina influence yyte kwenye movement za vitu au umechelewa kujua?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kuna uthibitisho gani, hata katika biblia, kuwa kuna maisha baada ya kifo?Kwanini kifo kiwe ending game? Do you believe that there is no chance of life after death?
😂So unataka waishi milele auKwanini pamoja na kujilinda kwao kwa silaha bdo wanakufa baadhi yao mpaka kesho? Silaha zingetosha kwanini waendelee kufa?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mungu yupi?Kipi Bora umkubali Mungu au uikubali sayansi?
Na mfalme wa wamasaai?Una uhakika gani hakufahamika na wengi we bwana? Nadhani ni maswala ya uelewa wa bible ndo changamoto kwa hapo. Kilichoandikwa kwenye bible ni kiini cha maisha ya wadanadamu nd maan kikawa centered katika taifa la Israel kama kielelezo kikuu. Lakini watu waliokuwa wanasali walikuwa dunia nzima ndo maana mfano mfalme wa Ethiopia enzi hizo za Yesu alisikia habari za Yesu na akafunga safari kwenda kuonana nae. Pia usichanganye na ramani za sahivi zitakupoteza dunia zamani ilikuwa tofauti kabisa.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Uchambuzi wako ni sahihi kabisa.... Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
...
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
...
Atheists make sense than who are not
😂Hayo Mambo sijui kuchuna ngozi sijui kuua albino yameondolewa coz of kusoma mambo ya haki sawa kwa binadamu wote...kwani civics ulifundishwa usiue albino kisa Allah au Yesu hapendi au kwa sababu na wao ni binadamu hawatakiwi kuteswa..😂acheni kuuchukulia utu wa kibinadamu ambao kila mtu anao naturally Kama kitu kidogo na kumpa credit jitu ambalo in his book kaua 2 million people (exclusively of great flood and Sodom), katengeneza an evil world with an evil justice system n forces everyone to love him and call him goodSio mimi tu jamii zetu zilikuwa hivyo na madhara yalikuwa makubwa mfano adulterers wauaji mfano wachuna ngozi za binadamu sababu ya ushirikina mauaji ya albino upigaji wa nondo ukeketaji. Je hivi vitu bila kuambiwa nani angejua ni vibaya sababu hakuna ubaya bila sheria. Halafu unazungumzia dini as mfumo au matendo ya watu yanayotokana na kutoelewa dini? Na pia ambacho ujue shetani hushambulia sana watu wa dini kuliko wengine sababu ana uhakika na wafuasi wake na ndo maana hata wanafunzi wa Yesu na hasa Yesu mwenyewe walipitia mateso makali sana wakati huo.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Hizo ni tamaduni tu na mila zao
😂1. Hizi ni story za waumini wa wachungaji matapeli, eti umeenda hospital zote.. hospital zote unazijua?Nmekumbuka jambo, Kuna wagonjwa huwa haijulikani anaumwa ugonjwa gani nini...Mtu anapelekwa hospitali kubwa huko India lakini haijulikani ugonjwa wake ni nini haswa, Ndugu wanaamua kumrudisha nyumbani wakisubiri kifo chake....EMU naomba unielezee hili jambo huwa kuna shida gani mpaka science inashindwa kung'amua ugonjwa kwa watu kama hawa ?
1. You make ur own purposeSasa kwanini nifuate msimamo wako mtu uliekosa hope katika maisha yako. Yani watu wafanye ubaya makusudi then tufe eti habari imeisha hapo na wakati watu wamepambana na nafsi zao waushinde ubaya. Kumbe nyinyi ni maiti zinazotembea sababu there is no eternal hope and you have no purpose in this world. Nyinyi then hamna tofauti na kumbi kumbi cause you are born to die usikute masikini ya Mungu na unateseka na maisha na huna purpose yyte kwanini usichukue njia random ya maisha fanya mauchafu yote bila kujali sababu it doesn't matter to you.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Je, kuna uthibitisho wa Mungu wa miujiza katika Biblia au Kuran?Haikubali kwa maneno tu au imewahi kuweka uthibitisho wa kisayansi kuwa Mungu wa miujiza hayupo?
Huo upendo huwezi kupata bila kuamini kuwa bikra kazaa?Kipi rahisi bikra kuzaa au nguvu ya upendo alioacha aliezaliwa na bikra kuweza kumneemesha mwanadamu mpaka leo? Unaishi na miracle zaidi ya bikra kuzaa ila unashangaa hilo duh
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Most people are irreligious kacheki data zao..Nani kakwambia kuwa China haina dini? au wewe unafikiri dini ni ukristo na uislamu tu.
Hakumfanyi awe na akili napigilia msumari,,,,sayansi imeshindwa kutuambia chanzo cha binaadam afu porojo kibao
Twende na mantiki.Nmekumbuka jambo, Kuna wagonjwa huwa haijulikani anaumwa ugonjwa gani nini...Mtu anapelekwa hospitali kubwa huko India lakini haijulikani ugonjwa wake ni nini haswa, Ndugu wanaamua kumrudisha nyumbani wakisubiri kifo chake....EMU naomba unielezee hili jambo huwa kuna shida gani mpaka science inashindwa kung'amua ugonjwa kwa watu kama hawa ?
Nilijua Sayansi imekuthibitishia. Kama hujui na unahisi wengine hawajui basi wewe ni mmoja ya wale wanaoishi kwenye ulimwengu wa peke yao. Kwa sababu hiyo, kuzungumzia hili jambo na wewe ni kujisumbua.I don't know...u don't know and we can't know...na just because of that doesn't mean ukubali tu jibu lolote ilimradi jibu
Unakubali kwamba, hata pale ambapo hujui jibu, inawezekana ukajua kwamba jibu fulani si sahihi?Nilijua Sayansi imekuthibitishia. Kama hujui na unahisi wengine hawajui basi wewe ni mmoja ya wale wanaoishi kwenye ulimwengu wa peke yao. Kwa sababu hiyo, kuzungumzia hili jambo na wewe ni kujisumbua.