Aliekuambia wamasai wote hakuna aliekuwa anasali ni nani? Mbona kuna kipindi mitume walidhani wanaosali kweli ni kabila lao tu pale Israel kumbe kabila la Samaria walikuepo pia watu waliomuamini Kristo.[emoji42]
Na mfalme wa wamasaai?
Mbona makanisani kuna watu wengi tu waliowazidi nyinyi uchumi na akili na elimu na maarifa ya kila aina. Mwiguru Nchemba Moshi kule alichangia ujenzi zaidi ya milion 25 cash kama sikosei na ni waziri wa fedha mpaka sasa na yuko wizarani muda mrefu kwanini hafirisiki na anaendelea kula vyeo?Uchambuzi wako ni sahihi kabisa.
Ni kweli waumini wa dini ni watu wenye akili ndogo (small minds) ambao hujadili watu (discuss people) na biblia ni hadithi za watu kuanzia Adam na Hawa hadi maisha ya Yesu. Kuran ni maisha ya Muhammad.
Viongozi wa dini hutumia ufukara wa fikra za waumini kama mtaji wao kula maisha bila jasho.
Na vita za dunia zimeua watu wangapi? Kule Nagasaki na Hiroshima pekee walikufa watu wangapi? Wasingekufa wale miungu watu waliozaliwa na malaika inawezekana kusingekuja kuwa na historia yako leo hii we endelea tu kulaumu utukufu na makufuru yako. Halafu kama hujui wazungu walioleta hizo haki ulizofundishwa mashuleni nyingi wamejifunza kwenye bible na ndo maan mataifa makubwa mengine mpaka miaka ya karibuni hapo walitumia bible kama katiba yao.[emoji23]Hayo Mambo sijui kuchuna ngozi sijui kuua albino yameondolewa coz of kusoma mambo ya haki sawa kwa binadamu wote...kwani civics ulifundishwa usiue albino kisa Allah au Yesu hapendi au kwa sababu na wao ni binadamu hawatakiwi kuteswa..[emoji23]acheni kuuchukulia utu wa kibinadamu ambao kila mtu anao naturally Kama kitu kidogo na kumpa credit jitu ambalo in his book kaua 2 million people (exclusively of great flood and Sodom), katengeneza an evil world with an evil justice system n forces everyone to love him and call him good
Acha kuruka ruka bwana mkubwa. Uyahudi ni dini na wanatumia biblia yao ambayo ni muunganiko wa agano la kale na tafsiri za marabbi. Huwezi utenganisha uyahudi na dini ya kiyahudi ndo maan sio wayahudi wote ni watu wa Israel pekee.Hizo ni tamaduni tu na mila zao
Kumbe unaamini maisha yetu jinsi tutakavyoishi yanalead somewhere always ndo maan inareflect duniani hata ukifa. Safi sana ndo maana tunakuambia huyo ni Mungu aliweka huo mtego kwamba ishi vizuri maisha yako yatareflect somewhere else na utahesabiwa kwa uliyoyafanya.1. You make ur own purpose
2. My purpose in life ni kuishi maisha mazuri ambayo yatakumbukwa kwa kuweza kusaidia kubadilisha maisha ya watu wengi, kupunguza mateso ya watu na kufanya jamii iwe sehemu Bora ya kuishi
3. Unachofanya wewe Unanipa black n white fallacy, unanipa two options either ni imagine Kuna heaven au mi ni kumbikumbi... [emoji23]It's a logical fallacy
4. Kwani we ukifanya mauchafu(whatever that means to u) hasara utapata wewe au watu wanaokuzunguka...so again kila action Ina equal and opposite reaction utaiona...
5..ndo maana kila kukicha wanadamu wanajaribu kutengeneza justice system ambayo ni fair yenye kuhukumu watu vizuri na pia sheria zinazotuweza tuishi vizuri Kama jamii..it's not perfect lakini it's better than justice system ya Mungu wa biblia au Quran kwamba uamini hekaya za mababu or else unakaangwa...
All in all..maisha ni yako.. purpose ni yako mwenyewe..mtu asikupangie eti u r purposeless kisa huamini imagination zake...buh ukiamini pia sawa Ila heshimu mitazamo ya watu pia
Upendo nyingine zote zina limit kasoro upendo wa Yesu ndo maan nakuambia hivyo. Mfano budhaa wameshindwa kutoa uhalisia wa binadamu akifa anaenda wapi. Pia monk mfuasi wa budha ukimchokoza analimit fulani ambayo baada ya hapo anakutandika ngumi na wanatumia uchawi. Sasa Yesu hana limit nd maan unamtukana kila siku na anaendelea kukupa nafasi ya kuishi mpaka hukumu yako ifike.Huo upendo huwezi kupata bila kuamini kuwa bikra kazaa?
Buddha ana same principles za sijui love ur neighbor etc Kama Yesu..[emoji23]mbona husemi Buddhism ni miujiza...au kisa haujatawaliwa nao...so hujui...Babu yako hajakuambia..
Halafu hakuna mkristo alienitawala mimi wala jamii yangu ya kitanzania kamwe. Kama unajua sifa za mitume wa Yesu na yale waliopitia nipe reference ni wapi tumetawaliwa na wakristo wa kweli. Maan Yohana mbatizaji mfano alikatwa kichwa wengine walichomwa na bible wamefungwa nayo . Yohana wa revelation alitupwa kisiwani alikopewa maono. Kuna wakristo wengi waliuawa kule Roma enzi hizo kwa kuchinjwa kama kuku. Ntajie ni mkristo gani kakutawala wewe kwa reference ya bible. Kama bible imeagiza mpende jirani yako kama nafsi yako mwenyewe je inawezekanaje mkristo wa kweli akamtawala mtu mwingine. Kwanini Yesu hakuamua kutawala kwa mabavu ila akauliwa yeye binafsi?Huo upendo huwezi kupata bila kuamini kuwa bikra kazaa?
Buddha ana same principles za sijui love ur neighbor etc Kama Yesu..[emoji23]mbona husemi Buddhism ni miujiza...au kisa haujatawaliwa nao...so hujui...Babu yako hajakuambia..
OkAcha kuruka ruka bwana mkubwa. Uyahudi ni dini na wanatumia biblia yao ambayo ni muunganiko wa agano la kale na tafsiri za marabbi. Huwezi utenganisha uyahudi na dini ya kiyahudi ndo maan sio wayahudi wote ni watu wa Israel pekee.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
πΎπ’ππ ππππ ππ€πππ§π ππππππππ πππ‘π 100 ππ€π ππβπ’πππππ πππππ§π ππ’πππ€π ππ ππ£π’π£π πππ§πππ’πππ’πππ§π πππ ππππ’π‘ 2 π¦ππ . ππβπ’πππππ πππ πππ ππ‘π π€ππ‘ππππππ§ππ€π ππ π΅π€πππ....βπππ π π ππ’π‘ππππ π’πππ πππππ???? πΎπππππ βππ¦π ππππ, πππ§π ππππ‘ππππ βπ€π ππ’πππ!Mbona mjinga hapo ni wewe aisee. Ukiambiwa ueleze ni jinsi gani dini inampa mtu umasikini huwezi hata kidogo. Nitajie sehemu katika uchumi imeandikwa religion kama kikwazo cha uchumi? Lete proof idadi ya masikini duniani iliyosababishwa na dini. Eti sijui china sijui vity gani unasahau kuwa hata kabla ya kuja mzungu wewe mwafrica hasa chini ya jangwa la sahara ulikuwa masikini fresh tu. Kwanini wazungu ambao kwa asilimia kubwa walijenga dini zao kama ucatholic hawakuwa masikini? Na kama utasema waafrica tuliletewa dini tutawaliwe kwanini kulikuwa na vita kama maji maji mkwawa merere na machief wengine? Na je waafrica walikuwa wanasali wapi wakati walikuwa hawawezi kusali kanisa moja na wazungu?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
π’πππ βππ‘πππ πππ‘π’ ππ’π’πππ§π π’π βπβπππ πππ π¦π π ππ¦πππ π...πππ’πππ’π§π π’π‘ππππππππ ππ ππ‘ππππππππ ππ’ππ‘π πππ’πππ§π, πππ ππ π πππππ‘ππππ ππππππππ π‘π’ ππ ππππ βππ‘π πππππππ π π€ππ‘ππ‘π’πππ...ππππππTuambie ni maandiko gani yamekataza miujiza kugunduliwa na wanadamu? Kwa mfano muujiza namba moja katika mkristo ni uumbaji wa mbingu na nchi, je hakuna ugunduzi wowote wa uumbaji kama vile dunia?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Kwahyo umewahi sikia mtu anaenda kuuza nyumba kutoa sadaka ya kujimaliza? Sasa kuishiwa nauli tu ndo uone mtu kafirisiwa aisee. Mi nakuambia nenda kwenye makanisa haya haya ya manabii uone watu wanaowatajirisha acha hizo za vijiweni. Kakobe alishawahi enda Congo kumhudumia waziri mkuu wa enzi hizo akapona sijui tatizo gani kaangalie alipewa kiasi gani na waziri mwenyewe rais na mke wa waziri mkuu pamoja na viongozi wengine. Mbona wazee wa zamani wengi wanasali na wana maisha mazuri na vijana wa siku hizi walioacha kusali nd maisha yanaendelea kuwatandika hasa hasa.Acha dharau mkuu. Ulishaenda kwa Mwamposa uone watu wanavyoshawishiwa kutoa SADAKA YA KUJIMALIZA hadi wanakosa naiuli za kurudia nyumbani. Kuwa na huruma na watanzania wenzako. Mifano unayotoa haina kichwa wala mguu.
βπ βπ βππππ, ππππππ§π π¦π πππππ πΉππππ πππ¦π ππππππππ? π βπ’βπ’ππ ππ¦ππππ ππ πππππππ πππ ππ’πππππ§π π€ππ‘πππ/π€ππ’ππππ.Hivi hizo sadaka ni shingapi watu wanatoa mbona mnaropoka sana vitu vya hovyo namna hiyo sababu ya chuki. Yani kweli elfu mbili elfu tano elfu 10 kwa wiki ndo imfirisi mtu duh. Ila mtu kunywa pombe za laki moja katika mshahara wa laki mbili safi sadaka ya elf mbili anafirisika. Bangi za elf 5 kila siku safi ila sadaka ya buku mbili hasara anafirisika. Hayo makanisa yana hela hujui tu kuna watu wanatoaga sadaka kubwa za kutisha na wengi kama hujui sio masikini kama wewe jpo sikujui. Nshawahi hudhuria kanisa la Nabii Flora pale mbezi beach alikuja dada mmoja toka uingereza alimkabidhi million 100 cash alitoa ushuhuda kapata mume. Na hapo kama wiki imepita kazawadiwa mashangingi manne zero kilomita toka kwa jmaa wa uingereza pia ambayo akauza yote na kuanza na ujenzi. Nenda kaangalie hata kwa Mwamposa aina ya watu wanaoingia endelea pigiwa story vijiweni.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
π€πππ ππππ’πππ πππ ππππ£ππ π ππ’πππ βπππ!Mbona gravity imekuwa proven na wana sayansi hao hao kuwa haina influence yyte kwenye movement za vitu au umechelewa kujua?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
ππππβπ πππ πππππ‘ πππ βπ’π¦π ππ’ππππππ‘π’πππ ππππππ’πππππ ππππ πππ βπππ πππππ‘ πππ ππππ π€πππ§πππ π€ππππππ π‘πππ π€πππππππππ πππππ βπ’ππ’ π€ππππ‘πππ ππππ ππππ....πππππππ πππ πππ£π π’ π ππ’πππ πππ ππππππ πππππ‘ ππ ππππ€π ππππ£ππ, ππ’π‘ βππβπ π’ππππππβπ ππ π ππ’πππ, ππ ππππ£π....βπππ πππ π’ππππ π’πππ‘ππ£π’Kwanini pamoja na kujilinda kwao kwa silaha bdo wanakufa baadhi yao mpaka kesho? Silaha zingetosha kwanini waendelee kufa?
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
ππππ ππππ’πππππ ππππ πππ‘π’ π ππππππ ππππ βπππππ’πππ’π ππ ππ’πππππππ§π? πΊπ’πππ’π§π π§ππππππππππ, ππ π‘πππ π¦π ππΎπΌπππΌ ππππ πππ πππππππ. ππ, π’πππππ€π ππ’π‘πππ’ππβπππππ βππππππππ βπ π ππππππ ππππ βππππ€π, ππππ ππππππππππ ππ’ππππ¦π π‘ππππ‘π ππ ππ‘ππππ‘π ππππππ’.Nmekumbuka jambo, Kuna wagonjwa huwa haijulikani anaumwa ugonjwa gani nini...Mtu anapelekwa hospitali kubwa huko India lakini haijulikani ugonjwa wake ni nini haswa, Ndugu wanaamua kumrudisha nyumbani wakisubiri kifo chake....EMU naomba unielezee hili jambo huwa kuna shida gani mpaka science inashindwa kung'amua ugonjwa kwa watu kama hawa ?
π»ππ£π π’πππππππ€π π€ππ πππππππ π’ππππππβπ ππππ π€ππππ‘ππππ€π ππ’ππππ¦π ππππ£π’? π’ππ£π’ ππ βπ’πππ π¦π ππ‘π’ π‘π’, ππ‘π’ ππππ€ππ§π ππ’π€π ππ ππππ π£π§π ππππ€π ππ’ππ£π’ ππ’ππππ ππ ππ¦π ππ ππππ. ππ ππππ πππππ π£ππππππ§ π€π ππππ π€πππππππ, π€ππππ’π, π€ππππππ ππ ππ’ππππ¦π π’π§πππππ’ π€ππ‘ π‘π¦π π€πππ π’ππππ πππππππππ??? πππ’ππ π€π ππππ βπ π πππ βππ’πππ§ππππ βπ π’π€π ππ ππππ, ππ πππ’ππ π€π ππ‘π’ π‘π’.Sasa kwanini nifuate msimamo wako mtu uliekosa hope katika maisha yako. Yani watu wafanye ubaya makusudi then tufe eti habari imeisha hapo na wakati watu wamepambana na nafsi zao waushinde ubaya. Kumbe nyinyi ni maiti zinazotembea sababu there is no eternal hope and you have no purpose in this world. Nyinyi then hamna tofauti na kumbi kumbi cause you are born to die usikute masikini ya Mungu na unateseka na maisha na huna purpose yyte kwanini usichukue njia random ya maisha fanya mauchafu yote bila kujali sababu it doesn't matter to you.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
πΆβπππ βππππ βππ§π ππππ π§ππ‘π’ π§π ππβππππ πππ ππ’ππ πππ€ ππππππ π€ππππππ’ππ’ βππ§π ππππ π§ππ‘π’...π π πππππππ‘π¦ βππ€πππ πππππ π¦π ππππ ππππ...Nani kakwambia kuwa China haina dini? au wewe unafikiri dini ni ukristo na uislamu tu.
ππππ βππ€πππ ππππ π·ππππ πππ π π’πππππ’π‘π π ππ¦πππ π. πΌππ π’πππ πππ π£π§π ππ ππππ π΄πππ‘πππ¦ ππ πππππ π’π‘ππ‘πππ’π π πππ π’ππππ€π ππ π’π‘ππππ βππ‘π βππ¦π π’πππ¦ππβπππ π€ππ‘π’ π€πππππππ¦π πππ¦πππ π¦ππ’π π’πππππ π‘ππππππ ππ’πππ π¦πππππππ€πππ π‘π’Anatomy of the brain hailezei ni Kwa namna gani mtu anaweza kuwa demonically possessed.
Labda kama una source tofauti uliyosoma.
NB:- hivi vitu vipo observed kwenye jamii hata Mimi nimeshuhudia mtu akiwa demonically possessed...utakuta mtu anakua na uwezo au ujuzi wa jambo ambalo yeye binafsi hana,. au wengine utakuta wanapokea maelekezo kabisa toka Kwa viumbe wengine kuhusiana na jambo Fulani.
Ndiyo maana wenzetu kwenye definitions zao wakasema ni hali ya matendo ya mtu kuwa controlled au influenced na kiumbe mwingine.
π π π‘πππ βππ£π π ππππ ππ’π’π‘πππ’π‘π βπ’π π’π€ππ§π π€π ππ’π‘βππππ‘ππ βπ, π’πππππ βππ’π€ππ§π πππ π βππβπ πππ‘π’ ππ βππππ ππ¦ π‘π’!Kuthibitisha vipi unamaanisha,,..nikuonyeshe huyo kiumbe kwa macho umuone au?
Sina uwezo wa kukuthibitishia Kwa namna hiyo.
Zipo njia nyingine zinazotumika kuthibitisha kwamba muhusika amekua demonically possessed...kama hukubaliani nazo upo free kuamini unachokitaka.
π½ππππ πππππππππ’π βπ π πππ.[emoji23][emoji23]Si subconscious mind jamani...mbona tunabishana utoto lakini