Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Uchambuzi wako ni sahihi kabisa.

Ni kweli waumini wa dini ni watu wenye akili ndogo (small minds) ambao hujadili watu (discuss people) na biblia ni hadithi za watu kuanzia Adam na Hawa hadi maisha ya Yesu. Kuran ni maisha ya Muhammad.

Viongozi wa dini hutumia ufukara wa fikra za waumini kama mtaji wao kula maisha bila jasho.
Mbona makanisani kuna watu wengi tu waliowazidi nyinyi uchumi na akili na elimu na maarifa ya kila aina. Mwiguru Nchemba Moshi kule alichangia ujenzi zaidi ya milion 25 cash kama sikosei na ni waziri wa fedha mpaka sasa na yuko wizarani muda mrefu kwanini hafirisiki na anaendelea kula vyeo?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
[emoji23]Hayo Mambo sijui kuchuna ngozi sijui kuua albino yameondolewa coz of kusoma mambo ya haki sawa kwa binadamu wote...kwani civics ulifundishwa usiue albino kisa Allah au Yesu hapendi au kwa sababu na wao ni binadamu hawatakiwi kuteswa..[emoji23]acheni kuuchukulia utu wa kibinadamu ambao kila mtu anao naturally Kama kitu kidogo na kumpa credit jitu ambalo in his book kaua 2 million people (exclusively of great flood and Sodom), katengeneza an evil world with an evil justice system n forces everyone to love him and call him good
Na vita za dunia zimeua watu wangapi? Kule Nagasaki na Hiroshima pekee walikufa watu wangapi? Wasingekufa wale miungu watu waliozaliwa na malaika inawezekana kusingekuja kuwa na historia yako leo hii we endelea tu kulaumu utukufu na makufuru yako. Halafu kama hujui wazungu walioleta hizo haki ulizofundishwa mashuleni nyingi wamejifunza kwenye bible na ndo maan mataifa makubwa mengine mpaka miaka ya karibuni hapo walitumia bible kama katiba yao.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hizo ni tamaduni tu na mila zao
Acha kuruka ruka bwana mkubwa. Uyahudi ni dini na wanatumia biblia yao ambayo ni muunganiko wa agano la kale na tafsiri za marabbi. Huwezi utenganisha uyahudi na dini ya kiyahudi ndo maan sio wayahudi wote ni watu wa Israel pekee.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
1. You make ur own purpose
2. My purpose in life ni kuishi maisha mazuri ambayo yatakumbukwa kwa kuweza kusaidia kubadilisha maisha ya watu wengi, kupunguza mateso ya watu na kufanya jamii iwe sehemu Bora ya kuishi
3. Unachofanya wewe Unanipa black n white fallacy, unanipa two options either ni imagine Kuna heaven au mi ni kumbikumbi... [emoji23]It's a logical fallacy
4. Kwani we ukifanya mauchafu(whatever that means to u) hasara utapata wewe au watu wanaokuzunguka...so again kila action Ina equal and opposite reaction utaiona...
5..ndo maana kila kukicha wanadamu wanajaribu kutengeneza justice system ambayo ni fair yenye kuhukumu watu vizuri na pia sheria zinazotuweza tuishi vizuri Kama jamii..it's not perfect lakini it's better than justice system ya Mungu wa biblia au Quran kwamba uamini hekaya za mababu or else unakaangwa...
All in all..maisha ni yako.. purpose ni yako mwenyewe..mtu asikupangie eti u r purposeless kisa huamini imagination zake...buh ukiamini pia sawa Ila heshimu mitazamo ya watu pia
Kumbe unaamini maisha yetu jinsi tutakavyoishi yanalead somewhere always ndo maan inareflect duniani hata ukifa. Safi sana ndo maana tunakuambia huyo ni Mungu aliweka huo mtego kwamba ishi vizuri maisha yako yatareflect somewhere else na utahesabiwa kwa uliyoyafanya.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huo upendo huwezi kupata bila kuamini kuwa bikra kazaa?
Buddha ana same principles za sijui love ur neighbor etc Kama Yesu..[emoji23]mbona husemi Buddhism ni miujiza...au kisa haujatawaliwa nao...so hujui...Babu yako hajakuambia..
Upendo nyingine zote zina limit kasoro upendo wa Yesu ndo maan nakuambia hivyo. Mfano budhaa wameshindwa kutoa uhalisia wa binadamu akifa anaenda wapi. Pia monk mfuasi wa budha ukimchokoza analimit fulani ambayo baada ya hapo anakutandika ngumi na wanatumia uchawi. Sasa Yesu hana limit nd maan unamtukana kila siku na anaendelea kukupa nafasi ya kuishi mpaka hukumu yako ifike.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huo upendo huwezi kupata bila kuamini kuwa bikra kazaa?
Buddha ana same principles za sijui love ur neighbor etc Kama Yesu..[emoji23]mbona husemi Buddhism ni miujiza...au kisa haujatawaliwa nao...so hujui...Babu yako hajakuambia..
Halafu hakuna mkristo alienitawala mimi wala jamii yangu ya kitanzania kamwe. Kama unajua sifa za mitume wa Yesu na yale waliopitia nipe reference ni wapi tumetawaliwa na wakristo wa kweli. Maan Yohana mbatizaji mfano alikatwa kichwa wengine walichomwa na bible wamefungwa nayo . Yohana wa revelation alitupwa kisiwani alikopewa maono. Kuna wakristo wengi waliuawa kule Roma enzi hizo kwa kuchinjwa kama kuku. Ntajie ni mkristo gani kakutawala wewe kwa reference ya bible. Kama bible imeagiza mpende jirani yako kama nafsi yako mwenyewe je inawezekanaje mkristo wa kweli akamtawala mtu mwingine. Kwanini Yesu hakuamua kutawala kwa mabavu ila akauliwa yeye binafsi?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Acha kuruka ruka bwana mkubwa. Uyahudi ni dini na wanatumia biblia yao ambayo ni muunganiko wa agano la kale na tafsiri za marabbi. Huwezi utenganisha uyahudi na dini ya kiyahudi ndo maan sio wayahudi wote ni watu wa Israel pekee.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Ok
 
Mbona mjinga hapo ni wewe aisee. Ukiambiwa ueleze ni jinsi gani dini inampa mtu umasikini huwezi hata kidogo. Nitajie sehemu katika uchumi imeandikwa religion kama kikwazo cha uchumi? Lete proof idadi ya masikini duniani iliyosababishwa na dini. Eti sijui china sijui vity gani unasahau kuwa hata kabla ya kuja mzungu wewe mwafrica hasa chini ya jangwa la sahara ulikuwa masikini fresh tu. Kwanini wazungu ambao kwa asilimia kubwa walijenga dini zao kama ucatholic hawakuwa masikini? Na kama utasema waafrica tuliletewa dini tutawaliwe kwanini kulikuwa na vita kama maji maji mkwawa merere na machief wengine? Na je waafrica walikuwa wanasali wapi wakati walikuwa hawawezi kusali kanisa moja na wazungu?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
𝐾𝑢𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑚𝑎 𝑀𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎 𝑘𝑎𝑝𝑒𝑙𝑒𝑘𝑎 𝑏𝑎𝑡𝑖 100 𝑘𝑤𝑎 𝑚𝑐ℎ𝑢𝑛𝑔𝑎𝑗𝑖 𝑎𝑚𝑏𝑎𝑧𝑜 𝑚𝑢𝑚𝑒𝑤𝑒 𝑛𝑖 𝑚𝑣𝑢𝑣𝑖 𝑘𝑎𝑧𝑖𝑑𝑢𝑛𝑑𝑢𝑙𝑖𝑧𝑎 𝑓𝑜𝑟 𝑎𝑏𝑜𝑢𝑡 2 𝑦𝑟𝑠. 𝑀𝑐ℎ𝑢𝑛𝑔𝑎𝑗𝑖 𝑘𝑎𝑠𝑒𝑚𝑎 𝑒𝑡𝑖 𝑤𝑎𝑡𝑎𝑜𝑛𝑔𝑒𝑧𝑒𝑤𝑎 𝑛𝑎 𝐵𝑤𝑎𝑛𝑎....ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑠𝑖 𝑘𝑢𝑡𝑖𝑎𝑛𝑎 𝑢𝑚𝑎𝑠𝑖𝑘𝑖𝑛𝑖???? 𝐾𝑎𝑜𝑘𝑜𝑒 ℎ𝑖𝑦𝑜 𝑛𝑑𝑜𝑎, 𝑚𝑎𝑧𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑡𝑒𝑚𝑒𝑠ℎ𝑤𝑎 𝑏𝑢𝑛𝑔𝑜!
 
Tuambie ni maandiko gani yamekataza miujiza kugunduliwa na wanadamu? Kwa mfano muujiza namba moja katika mkristo ni uumbaji wa mbingu na nchi, je hakuna ugunduzi wowote wa uumbaji kama vile dunia?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
𝑢𝑘𝑖𝑠ℎ𝑎𝑡𝑎𝑗𝑎 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑚𝑢𝑢𝑗𝑖𝑧𝑎 𝑢𝑠ℎ𝑎ℎ𝑎𝑚𝑎 𝑛𝑗𝑒 𝑦𝑎 𝑠𝑎𝑦𝑎𝑛𝑠𝑖...𝑈𝑔𝑢𝑛𝑑𝑢𝑧𝑖 𝑢𝑡𝑎𝑒𝑛𝑑𝑒𝑙𝑒𝑎 𝑛𝑎 𝑚𝑡𝑎𝑒𝑛𝑑𝑒𝑙𝑒𝑎 𝑘𝑢𝑖𝑡𝑎 𝑚𝑖𝑢𝑗𝑖𝑧𝑎, 𝑖𝑙𝑎 𝑛𝑖 𝑠𝑐𝑖𝑒𝑛𝑡𝑖𝑓𝑖𝑐 𝑓𝑖𝑛𝑑𝑖𝑛𝑔𝑠 𝑡𝑢 𝑛𝑎 𝑏𝑎𝑑𝑜 ℎ𝑎𝑡𝑎 𝑚𝑎𝑘𝑎𝑛𝑖𝑠𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑎𝑡𝑢𝑚𝑖𝑎...𝑎𝑚𝑘𝑒𝑛𝑖
 
Acha dharau mkuu. Ulishaenda kwa Mwamposa uone watu wanavyoshawishiwa kutoa SADAKA YA KUJIMALIZA hadi wanakosa naiuli za kurudia nyumbani. Kuwa na huruma na watanzania wenzako. Mifano unayotoa haina kichwa wala mguu.
Kwahyo umewahi sikia mtu anaenda kuuza nyumba kutoa sadaka ya kujimaliza? Sasa kuishiwa nauli tu ndo uone mtu kafirisiwa aisee. Mi nakuambia nenda kwenye makanisa haya haya ya manabii uone watu wanaowatajirisha acha hizo za vijiweni. Kakobe alishawahi enda Congo kumhudumia waziri mkuu wa enzi hizo akapona sijui tatizo gani kaangalie alipewa kiasi gani na waziri mwenyewe rais na mke wa waziri mkuu pamoja na viongozi wengine. Mbona wazee wa zamani wengi wanasali na wana maisha mazuri na vijana wa siku hizi walioacha kusali nd maisha yanaendelea kuwatandika hasa hasa.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hivi hizo sadaka ni shingapi watu wanatoa mbona mnaropoka sana vitu vya hovyo namna hiyo sababu ya chuki. Yani kweli elfu mbili elfu tano elfu 10 kwa wiki ndo imfirisi mtu duh. Ila mtu kunywa pombe za laki moja katika mshahara wa laki mbili safi sadaka ya elf mbili anafirisika. Bangi za elf 5 kila siku safi ila sadaka ya buku mbili hasara anafirisika. Hayo makanisa yana hela hujui tu kuna watu wanatoaga sadaka kubwa za kutisha na wengi kama hujui sio masikini kama wewe jpo sikujui. Nshawahi hudhuria kanisa la Nabii Flora pale mbezi beach alikuja dada mmoja toka uingereza alimkabidhi million 100 cash alitoa ushuhuda kapata mume. Na hapo kama wiki imepita kazawadiwa mashangingi manne zero kilomita toka kwa jmaa wa uingereza pia ambayo akauza yote na kuanza na ujenzi. Nenda kaangalie hata kwa Mwamposa aina ya watu wanaoingia endelea pigiwa story vijiweni.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
ℎ𝑎 ℎ𝑎 ℎ𝑎𝑎𝑎𝑎, 𝑚𝑎𝑖𝑔𝑖𝑧𝑜 𝑦𝑎 𝑁𝑎𝑏𝑖𝑖 𝐹𝑙𝑜𝑟𝑎 𝑛𝑎𝑦𝑜 𝑚𝑛𝑎𝑎𝑚𝑖𝑛𝑖? 𝑠ℎ𝑢ℎ𝑢𝑑𝑎 𝑛𝑦𝑖𝑛𝑔𝑖 𝑛𝑖 𝑝𝑙𝑎𝑛𝑛𝑒𝑑 𝑖𝑙𝑖 𝑘𝑢𝑜𝑛𝑔𝑒𝑧𝑎 𝑤𝑎𝑡𝑒𝑗𝑎/𝑤𝑎𝑢𝑚𝑖𝑛𝑖.

𝑈𝑘𝑖𝑡𝑜𝑎 𝑠𝑎𝑑𝑎𝑘𝑎 𝑖𝑛𝑎𝑘𝑢𝑠𝑎𝑖𝑑𝑖𝑎 𝑛𝑖𝑛𝑖 𝑧𝑎𝑖𝑑𝑖 𝑦𝑎 𝑘𝑢𝑚𝑛𝑒𝑛𝑒𝑝𝑒𝑠ℎ𝑎 𝑚𝑐ℎ𝑢𝑛𝑔𝑎𝑗𝑖?

𝑆𝑎𝑑𝑎𝑘𝑎 𝑘𝑎𝑡𝑜𝑒 𝑘𝑤𝑎 𝑤𝑎𝑠𝑖𝑜𝑗𝑖𝑤𝑒𝑧𝑎 𝑎𝑢 𝑘𝑎𝑠𝑎𝑖𝑑𝑖𝑒 𝑢𝑗𝑒𝑛𝑧𝑖 𝑤𝑎 ℎ𝑜𝑠𝑝 𝑛𝑘, ℎ𝑢𝑘𝑜 𝑛𝑑𝑜 𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑢𝑝𝑜𝑛𝑦𝑎𝑗𝑖 𝑚𝑘𝑢𝑢.
 
Mbona gravity imekuwa proven na wana sayansi hao hao kuwa haina influence yyte kwenye movement za vitu au umechelewa kujua?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
𝑤𝑒𝑘𝑎 𝑔𝑒𝑛𝑢𝑖𝑛𝑒 𝑎𝑛𝑑 𝑝𝑟𝑜𝑣𝑒𝑑 𝑠𝑜𝑢𝑟𝑐𝑒 ℎ𝑎𝑝𝑎!
 
Kwanini pamoja na kujilinda kwao kwa silaha bdo wanakufa baadhi yao mpaka kesho? Silaha zingetosha kwanini waendelee kufa?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
𝑆𝑖𝑟𝑎ℎ𝑎 𝑖𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑚𝑖𝑡 𝑖𝑙𝑎 ℎ𝑢𝑦𝑜 𝑆𝑢𝑝𝑒𝑟𝑛𝑎𝑡𝑢𝑟𝑎𝑙 𝑚𝑛𝑎𝑒𝑚𝑢𝑎𝑚𝑖𝑛𝑖 𝑚𝑛𝑎𝑠𝑒𝑚𝑎 ℎ𝑎𝑛𝑎 𝑙𝑖𝑚𝑖𝑡 𝑖𝑙𝑎 𝑏𝑎𝑑𝑜 𝑤𝑒𝑛𝑧𝑎𝑘𝑜 𝑤𝑎𝑝𝑎𝑙𝑒𝑠𝑡𝑖𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑝𝑖𝑔𝑖𝑘𝑎 𝑏𝑎𝑙𝑎𝑎 ℎ𝑢𝑘𝑢 𝑤𝑎𝑘𝑖𝑡𝑎𝑗𝑎 𝑗𝑖𝑛𝑎 𝑙𝑎𝑘𝑒....𝑆𝑐𝑖𝑒𝑛𝑐𝑒 𝑐𝑎𝑛 𝑔𝑖𝑣𝑒 𝑢 𝑠𝑜𝑢𝑟𝑐𝑒 𝑎𝑛𝑑 𝑒𝑛𝑑𝑖𝑛𝑔 𝑝𝑜𝑖𝑛𝑡 𝑛𝑎 𝑖𝑘𝑎𝑤𝑎 𝑝𝑟𝑜𝑣𝑒𝑑, 𝑏𝑢𝑡 ℎ𝑖𝑐ℎ𝑜 𝑢𝑎𝑚𝑖𝑛𝑖𝑐ℎ𝑜 𝑛𝑜 𝑠𝑜𝑢𝑟𝑐𝑒, 𝑛𝑜 𝑝𝑟𝑜𝑣𝑒....ℎ𝑎𝑝𝑜 𝑛𝑑𝑜 𝑢𝑙𝑖𝑝𝑜 𝑢𝑝𝑜𝑡𝑒𝑣𝑢
 
Nmekumbuka jambo, Kuna wagonjwa huwa haijulikani anaumwa ugonjwa gani nini...Mtu anapelekwa hospitali kubwa huko India lakini haijulikani ugonjwa wake ni nini haswa, Ndugu wanaamua kumrudisha nyumbani wakisubiri kifo chake....EMU naomba unielezee hili jambo huwa kuna shida gani mpaka science inashindwa kung'amua ugonjwa kwa watu kama hawa ?
𝑁𝑎𝑛𝑖 𝑘𝑎𝑘𝑢𝑎𝑚𝑏𝑖𝑎 𝑘𝑖𝑙𝑎 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑠𝑐𝑖𝑒𝑛𝑐𝑒 𝑖𝑚𝑒𝑠ℎ𝑎𝑘𝑖𝑔𝑢𝑛𝑑𝑢𝑎 𝑛𝑎 𝑘𝑢𝑘𝑖𝑚𝑎𝑙𝑖𝑧𝑎? 𝐺𝑢𝑛𝑑𝑢𝑧𝑖 𝑧𝑖𝑛𝑎𝑒𝑛𝑑𝑒𝑙𝑒𝑎, 𝑚𝑓 𝑡𝑖𝑏𝑎 𝑦𝑎 𝑈𝐾𝐼𝑀𝑊𝐼 𝑏𝑎𝑑𝑜 𝑖𝑝𝑜 𝑚𝑎𝑎𝑏𝑎𝑟𝑎. 𝑆𝑜, 𝑢𝑔𝑜𝑛𝑗𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑡𝑜𝑘𝑢𝑓𝑎ℎ𝑎𝑚𝑖𝑘𝑎 ℎ𝑎𝑖𝑚𝑎𝑎𝑛𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑠𝑐𝑖𝑒𝑛𝑐𝑒 𝑖𝑚𝑒𝑠ℎ𝑖𝑛𝑑𝑤𝑎, 𝑏𝑎𝑙𝑖 𝑖𝑛𝑎𝑒𝑛𝑑𝑒𝑙𝑒𝑎 𝑘𝑢𝑓𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑡𝑎𝑓𝑖𝑡𝑖 𝑛𝑎 𝑖𝑡𝑎𝑙𝑒𝑡𝑎 𝑚𝑎𝑗𝑖𝑏𝑢.

𝐻𝑎𝑦𝑎, 𝐾𝑤𝑎 𝑛𝑖𝑛𝑖 ℎ𝑢𝑦𝑜 𝑠𝑢𝑝𝑒𝑟𝑛𝑎𝑡𝑢𝑟𝑎𝑙 𝑎𝑠𝑖𝑜𝑛𝑑𝑜𝑒 ℎ𝑎𝑦𝑎 𝑚𝑎𝑔𝑜𝑛𝑗𝑤𝑎 ℎ𝑎𝑠𝑎 𝑦𝑎𝑠𝑖𝑦𝑜𝑓𝑎ℎ𝑎𝑚𝑖𝑘𝑎? 𝑘𝑤𝑎 𝑛𝑖𝑛𝑖 𝑚𝑎𝑛𝑎𝑏𝑖𝑖 𝑚𝑛𝑎𝑜𝑤𝑎𝑎𝑚𝑖𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑠𝑖𝑚𝑝𝑒𝑙𝑒𝑘𝑒𝑒 ℎ𝑢𝑦𝑜 𝑚𝑔𝑜𝑛𝑗𝑤𝑎 𝑢𝑝𝑜𝑛𝑦𝑎𝑗𝑖 𝑎𝑠 𝑤𝑎𝑛𝑎 𝑆𝑢𝑝𝑒𝑟 𝑝𝑜𝑤𝑒𝑟 𝑖𝑠𝑖𝑦𝑜𝑠ℎ𝑖𝑛𝑑𝑤𝑎?
 
Sasa kwanini nifuate msimamo wako mtu uliekosa hope katika maisha yako. Yani watu wafanye ubaya makusudi then tufe eti habari imeisha hapo na wakati watu wamepambana na nafsi zao waushinde ubaya. Kumbe nyinyi ni maiti zinazotembea sababu there is no eternal hope and you have no purpose in this world. Nyinyi then hamna tofauti na kumbi kumbi cause you are born to die usikute masikini ya Mungu na unateseka na maisha na huna purpose yyte kwanini usichukue njia random ya maisha fanya mauchafu yote bila kujali sababu it doesn't matter to you.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
𝐻𝑖𝑣𝑖 𝑢𝑚𝑒𝑎𝑚𝑏𝑖𝑤𝑎 𝑤𝑎𝑠𝑖𝑜𝑎𝑚𝑖𝑛𝑖 𝑢𝑎𝑚𝑖𝑛𝑖𝑐ℎ𝑜 𝑛𝑑𝑖𝑜 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑡𝑎𝑘𝑖𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑓𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑚𝑎𝑜𝑣𝑢? 𝑢𝑜𝑣𝑢 𝑛𝑖 ℎ𝑢𝑙𝑘𝑎 𝑦𝑎 𝑚𝑡𝑢 𝑡𝑢, 𝑚𝑡𝑢 𝑎𝑛𝑎𝑤𝑒𝑧𝑎 𝑘𝑢𝑤𝑎 𝑛𝑎 𝑑𝑖𝑛𝑖 𝑣𝑧𝑟 𝑎𝑘𝑎𝑤𝑎 𝑚𝑢𝑜𝑣𝑢 𝑘𝑢𝑙𝑖𝑘𝑜 𝑎𝑠𝑖𝑦𝑒 𝑛𝑎 𝑑𝑖𝑛𝑖. 𝑁𝑖 𝑚𝑎𝑟𝑎 𝑛𝑔𝑎𝑝𝑖 𝑣𝑖𝑜𝑛𝑔𝑜𝑧 𝑤𝑎 𝑑𝑖𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑏𝑎𝑘𝑎, 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑢𝑎, 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑖𝑏𝑎 𝑛𝑎 𝑘𝑢𝑓𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑢𝑧𝑖𝑛𝑖𝑓𝑢 𝑤𝑘𝑡 𝑡𝑦𝑟 𝑤𝑎𝑛𝑎 𝑢𝑝𝑎𝑘𝑜 𝑚𝑛𝑎𝑜𝑎𝑚𝑖𝑛𝑖??? 𝑀𝑓𝑢𝑚𝑜 𝑤𝑎 𝑚𝑎𝑖𝑠ℎ𝑎 𝑠𝑎𝑓𝑖 ℎ𝑎𝑢𝑙𝑎𝑧𝑖𝑚𝑖𝑠ℎ𝑖 𝑢𝑤𝑒 𝑛𝑎 𝑑𝑖𝑛𝑖, 𝑛𝑖 𝑚𝑓𝑢𝑚𝑜 𝑤𝑎 𝑚𝑡𝑢 𝑡𝑢.
 
Nani kakwambia kuwa China haina dini? au wewe unafikiri dini ni ukristo na uislamu tu.
𝐶ℎ𝑖𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑖𝑛𝑎 ℎ𝑖𝑧𝑖 𝑑𝑖𝑛𝑖 𝑧𝑒𝑡𝑢 𝑧𝑎 𝑚𝑐ℎ𝑜𝑛𝑔𝑜 𝑖𝑙𝑎 𝑘𝑢𝑛𝑎 𝑓𝑒𝑤 𝑝𝑒𝑜𝑝𝑙𝑒 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑎𝑏𝑢𝑑𝑢 ℎ𝑖𝑧𝑖 𝑑𝑖𝑛𝑖 𝑧𝑒𝑡𝑢...𝑠𝑜 𝑚𝑎𝑗𝑜𝑟𝑖𝑡𝑦 ℎ𝑎𝑤𝑎𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑚𝑏𝑜 𝑦𝑎 𝑑𝑖𝑛𝑖 𝑑𝑖𝑛𝑖...

𝑊𝑎𝑙𝑒 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑜𝑎𝑏𝑢𝑑𝑢 𝑚𝑎𝑑𝑟𝑎𝑔𝑜𝑛 𝑠𝑖𝑗𝑢𝑖 𝑢𝑏𝑢𝑑ℎ𝑎 𝑛𝑎𝑜 𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑙𝑒 𝑤𝑎𝑙𝑒 𝑚𝑎𝑝𝑢𝑔𝑖!
 
Anatomy of the brain hailezei ni Kwa namna gani mtu anaweza kuwa demonically possessed.

Labda kama una source tofauti uliyosoma.

NB:- hivi vitu vipo observed kwenye jamii hata Mimi nimeshuhudia mtu akiwa demonically possessed...utakuta mtu anakua na uwezo au ujuzi wa jambo ambalo yeye binafsi hana,. au wengine utakuta wanapokea maelekezo kabisa toka Kwa viumbe wengine kuhusiana na jambo Fulani.

Ndiyo maana wenzetu kwenye definitions zao wakasema ni hali ya matendo ya mtu kuwa controlled au influenced na kiumbe mwingine.
𝑈𝑘𝑖𝑠ℎ𝑎𝑤𝑒𝑘𝑎 𝑛𝑒𝑛𝑜 𝐷𝑒𝑚𝑜𝑛 𝑏𝑎𝑠𝑖 𝑢𝑚𝑒𝑖𝑓𝑢𝑡𝑎 𝑠𝑎𝑦𝑎𝑛𝑠𝑖. 𝐼𝑙𝑎 𝑢𝑘𝑖𝑠𝑜𝑚𝑎 𝑣𝑧𝑟 𝑖𝑛 𝑑𝑒𝑒𝑝 𝐴𝑛𝑎𝑡𝑜𝑚𝑦 𝑜𝑓 𝑏𝑟𝑎𝑖𝑛 𝑢𝑡𝑎𝑡𝑎𝑛𝑢𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎 𝑢𝑒𝑙𝑒𝑤𝑎 𝑛𝑎 𝑢𝑡𝑎𝑜𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑡𝑎 ℎ𝑎𝑦𝑜 𝑢𝑛𝑎𝑦𝑜𝑑ℎ𝑎𝑛𝑖 𝑤𝑎𝑡𝑢 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑓𝑎𝑛𝑦𝑎 𝑏𝑒𝑦𝑜𝑛𝑑 𝑦𝑜𝑢𝑟 𝑢𝑛𝑑𝑒𝑟𝑠𝑡𝑎𝑛𝑑𝑖𝑛𝑔 𝑘𝑢𝑚𝑏𝑒 𝑦𝑎𝑛𝑎𝑒𝑙𝑒𝑤𝑒𝑘𝑎 𝑡𝑢

𝑁𝑜𝑡ℎ𝑖𝑛𝑔 𝑖𝑠 𝑎𝑏𝑜𝑢𝑡 𝐷𝑒𝑚𝑜𝑛𝑖𝑐𝑎𝑙𝑙𝑦 𝑝𝑜𝑠𝑠𝑒𝑠𝑠𝑒𝑑!
 
Kuthibitisha vipi unamaanisha,,..nikuonyeshe huyo kiumbe kwa macho umuone au?

Sina uwezo wa kukuthibitishia Kwa namna hiyo.

Zipo njia nyingine zinazotumika kuthibitisha kwamba muhusika amekua demonically possessed...kama hukubaliani nazo upo free kuamini unachokitaka.
𝑈 𝑠𝑡𝑖𝑙𝑙 ℎ𝑎𝑣𝑒 𝑎 𝑟𝑜𝑜𝑚 𝑘𝑢𝑢𝑡𝑎𝑓𝑢𝑡𝑎 ℎ𝑢𝑜 𝑢𝑤𝑒𝑧𝑜 𝑤𝑎 𝑘𝑢𝑡ℎ𝑖𝑏𝑖𝑡𝑖𝑠ℎ𝑎, 𝑢𝑘𝑖𝑜𝑛𝑎 ℎ𝑎𝑢𝑤𝑒𝑧𝑖 𝑛𝑎𝑠𝑖 ℎ𝑖𝑐ℎ𝑜 𝑘𝑖𝑡𝑢 𝑛𝑖 ℎ𝑒𝑎𝑟𝑠𝑎𝑦 𝑡𝑢!
 
[emoji23][emoji23]Si subconscious mind jamani...mbona tunabishana utoto lakini
𝐽𝑎𝑚𝑎𝑎 𝑎𝑛𝑎𝑗𝑖𝑎𝑛𝑔𝑢𝑠ℎ𝑎 𝑠𝑎𝑛𝑎.

𝑁𝑎𝑚𝑠ℎ𝑎𝑢𝑟𝑖 𝑎𝑡𝑎𝑓𝑢𝑡𝑒 ℎ𝑎𝑡𝑎 𝑘𝑖𝑡𝑎𝑏𝑢 𝑘𝑖𝑑𝑜𝑔𝑜 𝑡𝑢 𝑐ℎ𝑎 𝐵𝑟𝑖𝑎𝑛 𝑇𝑟𝑎𝑐𝑦 𝑘𝑖𝑛𝑎𝑖𝑡𝑤𝑎 𝐸𝑎𝑡 𝑡ℎ𝑎𝑡 𝐵𝑖𝑔 𝑓𝑟𝑜𝑔...𝑎𝑡𝑎𝑒𝑙𝑒𝑤𝑎 𝑣𝑧𝑟 𝑆𝑢𝑏𝑐𝑜𝑛𝑠𝑐𝑖𝑜𝑢𝑠 𝑀𝑖𝑛𝑑!
 
Back
Top Bottom