Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Sijasema naamini ila nimekupa mfano makanisa haya yanavyovuna pesa nyingi kwa watu wakubwa. Sasa wewe kumbe hujui hata sadaka zinafanya nini umemezeshwa vijiweni. Sadaka zinatumika asilimia kubwa kwa wahitaji sio kwamba kuna chumba Mungu anakuja kuchukua. Pia ni hazina ya kanisa hata likitokea jambo lolote linanyooka kiurahisi kama usafiri wa kanisa. Uandaaji wa mikutano na vitu vingine. Mashule yaliyojengwa na makanisa ni mangapi? Mahospitali yako mangapi? Au unadhani kanisa ni diambond linapotoa msaada liite wasafi tv kukutangazia limetoa wapi na kwa nani. Mkristo wa kweli hawezi kutangaza nimempa fulani msaada wa kiasi fulani ila hiyo hesabu ingia kanisani wanatoaga.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Unajuaje kama wanaemwita Palestina ndo mimi ninaemzungumzia hapa? Halafu watu wnalilia uzima wa milele sio huu temporary wa duniani ndo maan hata Yesu alikufa ila akafufuka tena kuonesha this life is only temporary.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Huu uhai ni wa muda tu ndo maan Yesu alipigiliwa misumari ila akafufuka kuonesha using'ang'ane na haya maisha sana sababu kuna maisha ya milele huko mbeleni. Hujiulizi kwanini Paul kawahi lishwa sumu na akapona ila still akafa baadae baada ya Mungu kumchukua alipomaliza huduma yake.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hivi wewe unaelewa hata maana ya mtu kuwa na dini? Sasa kiongozi wa dini nd maana ake ana dini au? Waliomshtaki Yesu hawakuwa viongozi wa dini? Hakuna mtu aliejuu katika dini zaidi ya Mungu sio kiongozi wa dini wala mtu yyte. Unadhani kwenye mpira kwanini kocha ambae ni kiongozi akipotosha mifumo wanamtimua haraka sana. Hata serikalini tu kiongozi anaweza geuka na kuwa muuaji je akikutwa na hatia inabidi aachwe?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Haijalishi we si umesema kuwa kanisani ni low minded people je hao wamejiongezaje? Je waliokuwa wanajenga masinagogi au hekalu la Solomon unahisi walikuwa hawasali? Je Yesu alivokuwa fundi seremala na baba yake waliwezaje na wakati wanasali? Nuhu alijenga saa ngap safina? Waliwezaje kujenga madaraja zamani hizo? Niambie kwanini Paul alimtibu Timothy tumbo kwa kumuandikia dawa kama sayansi ya matibabu hawakufanya watumishi wa Mungu. Kwanini Yesu alitumia fedha na wanafunzi wake kufanya manunuzi kama sayansi haikuepo kwao zaidi ya miujiza tu. Au kwasababu sehemu wameandika aliombea mikate na samaki vikatokea unahisi kila siku ni kuombea chakula kitokee wakati sehemu kibao zimeonesha wakifanya manunuzi. Niambie kuhusu wale wanajimu walioambiwa na Mungu waifuate nyota kumshuhudia Yesu kazaliwa walikuwa na imani gani? Yusuph aliwezaje kuwa mkuu wa majeshi Misri na kufanya biashara ya chakula kwa mataifa mengine. Niambie sayansi ya vipimo na uashi iliyopo kwenye ufunuo wa Yohana alijifunzia wapi?

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
𝐻𝑖𝑣𝑖 π‘˜π‘’π‘›π‘Ž π΅π‘–π‘π‘™π‘–π‘Ž π‘π‘–π‘™π‘Ž π΄π‘”π‘Žπ‘›π‘œ π‘—π‘–π‘π‘¦π‘Ž??
Si ndo hiyo ya kiyahudi. Bible tafsiri yake ni mkusanyiko wa vitabu haimaniishi agano jipya na kale ila inamaanisha vitabu kama vitabu vya Musa Daudi Yakobo Suleimani na wengineo ila biblia ya kikristo ndo ina muunganiko hadi wa vitabu kama vya kina warumi Wagalatia Mathayo n.k

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wana dini ni wajinga, Kuna wasio na dini ni wajinga.


Usichangaye ujinga wa mtu binafsi kuwa ni ujinga wa kundi fulani au dini fulani...
 
Ukitaka kujua maana ya mjinga ni kusoma maoni ya wakana Mungu.

Hao wenyewe au huyo mwenyewe unae mtaja naye ni kiumbe. Shida huwa mnafikiria kitoto sana na kutojua maana ya hivyo mnavyo viandika au kuviongelea.
Jibu kwa hoja
 
πŸ˜‚Me nimekuambia ni mkana Mungu...again bisha kwa hoja sio kelele
 
Sasa kumbe unafahamu science haijamaliza kugundua kila kitu, Kwanini mmeshahitimisha hakuna Mungu !?
 
πŸ˜‚Kwa Nini Mungu muweza yote atokee Kijiji kimoja huko jangwani afu dunia nzima tuwaamini hivyo hivyo...hivi we unaona ni sawa..kuambiwa bana nchi fulani huko miaka iliyopita ambapo kulikuwa hamna gazeti Wala camera alitokea mtu mfufua wafu ndo Mungu wa dunia nzima muamini..na wewe uko yes sir..πŸ˜‚kweli dini upofu
 
πŸ˜‚Kilichoandikwq si ndo kina errors and inconsistencies kibao mpaka Leo hii Kuna madhehebu kibao yanapishana Nini ni dhambi, Yesu alikuwaje, anataka, motoni na mbinguni kukoje coz bible ni mkusanyiko wa stories over time written by many anonymous authors...Kama unabisha nitajie Babu yake Yesu alikuwa nani, Jacob au Heli
 
Nionyeshe mahali biblia imetaja kwamba dunia inazunguka jua.. mahali imetaja magonjwa yanasababishwa na vijidudu..mahali imeongelea gravity..mahali imeongelea space kutokua na oxygen..πŸ˜‚
 
It is not my job kujua kila kitu ..ila ukisema demons haya wat is next
.how do we study it..how do we prevent it..how do u know the difference between demons n other mental stuff... how do you treat it .n.k ukishaweka supernatural beliefs ni kama guesses tu husulilishi chochote Bora nikubali sijui afu ndo tuanze kufuatilia tujue tatizo ni Nini na suluhisho ni Nini...tatizo watu wa dini mnapenda easy answers sijui god did it...au ni mashetani tu..n.k ndo maana mnaitwa low minded people...coz hamtaki kufikiria nje ya superstition
 
πŸ˜‚Kwani una ndugu wagonjwa peke yako...wewe ukoo wenu na jamii yenu imekua katika kuamini ushirikina ndo maana mnakuja na upuuzi eti hospitali hazijui anaumwa Nini..πŸ˜‚ila mchungaji akimshika na kumpigia kelele anapona..na wewe unaamini unampa sadaka ananunua magari anajenga maghorofa kwa uvivu wako wa kufikiria..mwisho wa siku ugonjwa ukimzidia akafa..ameenda mbinguni πŸ˜‚sijui mpango wa Mungu...ila jamani...bongo bado sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚bro I didn't say accident we unachofanya Unanipa two options...black n white..accident au god did it...why unanifunga..my answer is I don't know...even if ni Mungu kweli...u still have a long way to go kuniconvince huyo Mungu ni mwanaume mwenye feelings anayejibu maombi anayefuatilia watu Wanamwaga wapi etc, more importantly bado unasafari ndefu kuprove kwamba dini yako wewe ni ya ukweli...coz it's easy kwa kila dini kusema Mungu wake ndo kaumba ulimwengu afu pia religions say mbingu na ardhi...they didn't know abt universe sijui star system cjui gravity...so unachofanya unamove goalposts... kubali dini yako ni false Accord to it's account of creation maana umetaja BigBang cjui which is nowhere in the bible or Quran
 
Depends on ur definition of God ..Mungu Accord to religion who is all powerful all knowing all loving answers prayers and communicates through a 2000 years old book of desert fairytales hawezi exist...n we can prove that...πŸ˜‚ila wat we can't prove is hio supernatural power..ndo maana nimekuambia mada ni dini kuwa porojo...sio Mungu
 
Walau porojo za dini kwenye uumbaji zinaleta mantiki ila sayansi ina blabla nyingi kwenye swala hilo
Kwamba dunia iliumbwa kabla ya jua ndani ya siku 6...πŸ˜‚na pia binadamu tuliumbwa na udongo na mwanamke (wa pili) aliumbwa na mbavu..πŸ˜‚na baada ya kula tunda wakafukuzwa kwenye bustani yenye mimea yote na wanyama..😁haya bana mwanangu..bomba mantiki...πŸ˜‚bado Kuna nyoka anayeongea
 
Ila ukiambiwa kuhusu Big bang unaamini chap sana hata kama hauna elimu kuhusu big bang kwa undani na wala haujawahi kushuhudia wala kuona hata vifaa mnavyoambiwa hutumika kujua yote hayo[emoji16][emoji16], Ndio maana hapo juu kuna jamaa kasema nyinyi wapinga Mungu ni kama wajinga fulani hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…