Sijasema naamini ila nimekupa mfano makanisa haya yanavyovuna pesa nyingi kwa watu wakubwa. Sasa wewe kumbe hujui hata sadaka zinafanya nini umemezeshwa vijiweni. Sadaka zinatumika asilimia kubwa kwa wahitaji sio kwamba kuna chumba Mungu anakuja kuchukua. Pia ni hazina ya kanisa hata likitokea jambo lolote linanyooka kiurahisi kama usafiri wa kanisa. Uandaaji wa mikutano na vitu vingine. Mashule yaliyojengwa na makanisa ni mangapi? Mahospitali yako mangapi? Au unadhani kanisa ni diambond linapotoa msaada liite wasafi tv kukutangazia limetoa wapi na kwa nani. Mkristo wa kweli hawezi kutangaza nimempa fulani msaada wa kiasi fulani ila hiyo hesabu ingia kanisani wanatoaga.βπ βπ βππππ, ππππππ§π π¦π πππππ πΉππππ πππ¦π ππππππππ? π βπ’βπ’ππ ππ¦ππππ ππ πππππππ πππ ππ’πππππ§π π€ππ‘πππ/π€ππ’ππππ.
ππππ‘ππ π πππππ πππππ’π πππππ ππππ π§ππππ π¦π ππ’ππππππππ βπ ππβπ’πππππ?
ππππππ πππ‘ππ ππ€π π€ππ πππππ€ππ§π ππ’ πππ πππππ π’ππππ§π π€π βππ π ππ, βπ’ππ πππ ππ’ππ π’ππππ¦πππ πππ’π’.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app