Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Nionyeshe mahali biblia imetaja kwamba dunia inazunguka jua.. mahali imetaja magonjwa yanasababishwa na vijidudu..mahali imeongelea gravity..mahali imeongelea space kutokua na oxygen..[emoji23]
Kuna sehemu imeandika usimwache elimu aende zake, Elimu zilizozungumziwa ni maarifa, Maarifa ndio kama haya unayoyazungumzia hapo, Kuhusu Gravity, Magonjwa na mengine mengi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Tunakuja pale pale Mungu yupi... wahindu hawali nyama ya ng'ombe according to Mungu wao mbona unakula...mbona unatenda dhambi... Mungu Hana sheria yoyote hizo ni sheria za binadamu...turudi kwenye example yako
1. Being gay ni sexuality ya mtu..Kama wewe unavyopenda demu mwenye makalio makubwa for example..hamna mtu atakukataza kumla demu wa aina hiyo as long as haumbaki au hauli mtoto...same as being homosexual ni mambo ya chumbani so hamna mtu anaweza kukupangia unapokojoa
2. Eating human beings is wrong kwa sababu unamkosesha haki yake ya kuishi. Kwa sababu kwenye kumla utamuua, utamkosesha experience za maisha ambazo angepata... pia ukute Kuna watu walikuwa Wanamtegemea now umewapa wakati mgumu etc...
No maana most democracies zinaweka sheria kulinda haki za binadamu na sio sheria za wayahudi au waarabu wa kale waliojiamulia tu na kusema Mungu kasema
 
Ni bora ndugu Kiranga alijibu kwa hoja na sio kunishambulia mimi binafsi kidogo tunaelewana, Ila wewe ni mropo ropo...Badala ya kujibu ni kwanini na kivipi umekazana kumtaja mgonjwa mwenyewe na wanaomuuguza mgonjwa,, Unajitambua kweli wewe ? [emoji16]
 
πŸ˜‚Asa si hapo hapo...mwanangu mbona unabishana ujinga...so wamasaai walimuabudu Yesu kipindi hicho pia au sio
 
πŸ˜‚Unakuwa kama mtoto so hujui siasa na dini siku hizi zinavyoingiliana...au huku fuatilia sakata la bandari..au ushoga?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Taifa Gani la kidemokrasia linatumia bible kama katiba...bible imesema wapi usibake..bible imesema wapi usioe watoto...bible imesema wapi usitese mtu..bible imekataza wapi utumwa πŸ˜‚bado Kuna sheria za kipuuzi sijui kupiga mawe wazinzi na mashoga, kupiga mawe mtoto akimbishia mzazi, kuua mtu anayeokota Kuni siku ya sabato..πŸ˜‚bado hutaruhusiwa kuvaa nguo za material tofauti, huruhusiwi kupanda mazao tofauti shamba moja, πŸ˜‚ huruhusiwi kula kaa...πŸ˜‚niambie nchi gani inafata sheria za kipuuzi hizi...eti haki ndo hizi...hapa Kuna haki hapa...au upumbavu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sio baada ya kufa asa...ukifa ndo bac..usimweke Mungu..hata Leo hii ukimfanyia mtu ubaya huwezi expect uzuri kwake.. huhitaji kumweka Mungu hapo it's common sense...a
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Sijawahi mtukana Mimi usinisingizie...πŸ˜‚mi nikikuambia ukifa unaenda Venus kwa hiyo nimejibu swali lako la ukifa unaenda wapi..πŸ˜‚hivi mnachukulia kifo ni kama level 2 au...ukifa si umekufa jamani...mbona huulizi paka akifa anaenda wapi
 
Naongelea wakoloni
 
1. Mi sijasema anywhere napinga Mungu
2. Sijasema anywhere kuhusu BigBang
Nachouliza...how do u know ur particular version of ur religion is true?
 
Kuna sehemu imeandika usimwache elimu aende zake, Elimu zilizozungumziwa ni maarifa, Maarifa ndio kama haya unayoyazungumzia hapo, Kuhusu Gravity, Magonjwa na mengine mengi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bac elimu imesema kuhusu evolution haya iamini....case closed...kalale na achana na Mimi..
 
πŸ˜‚Nimeongea reality
 
πŸ˜‚Hana huo mda mwache amsikilize mwamposa
 
😁Mungu katokea wapi...coz hatujawahi ona Mungu katokea from nowhere, so explain plz...katokeaje
 
Read between the lines brother. Unajisumbua na homosexual person utakesha kutetea. Watu wana hasira na uwepo wa Mungu kwa kuwa amekataza hayo mambo yao.
 
πŸ˜‚Kwa nini amecheza hapo tu huyo Mungu huku Zambia Australia hakufika...πŸ˜‚afu kwa nini anamtokea mtu mmoja afu si ndo tusikilize porojo zake...yaani mtu mmoja ana unfair advantage coz yeye katokewa kaona live evidence afu sisi tuamini story afu wote tuko judged sawa..πŸ˜‚kweli huyu Mungu ni loving?
 
Read between the lines brother. Unajisumbua na homosexual person utakesha kutetea. Watu wana hasira na uwepo wa Mungu kwa kuwa amekataza hayo mambo yao.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mbona matusi bro nishawahi kukufira au
 
πŸ˜‚Bac na Thanos alikufa akarudishwa through time traveling...usipoamini tunakuchoma na gesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…