Kwanza thibitisha wapi huko alitokea Mungu. Maana tangu nakua na kusoma kwangu sijawahi kusoma sehemu ambapo kimeandikwa ya kuwa Mungu alitokea Kijiji fulani, hili kwanza naliona kwako.😂Kwa Nini Mungu muweza yote atokee Kijiji kimoja huko jangwani afu dunia nzima tuwaamini hivyo hivyo...hivi we unaona ni sawa..kuambiwa bana nchi fulani huko miaka iliyopita ambapo kulikuwa hamna gazeti Wala camera alitokea mtu mfufua wafu ndo Mungu wa dunia nzima muamini..na wewe uko yes sir..😂kweli dini upofu
Kingine katika hili ulilo andika ni miongoni mwa mambo ambayo huonyesha ya kuwa Wakana Mungu wote ni wagonjwa wa akili, huenda haya umeyasikia sehemu bila kuyatafiti ukaja kuyaweka hapa.
Kwahiyo kwako wewe kuwepo kwa picha na gazeti ni ushahidi wa kuonyesha uwepo wa kitu ? Aisee huna akili kijana.