Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Kwanza thibitisha wapi huko alitokea Mungu. Maana tangu nakua na kusoma kwangu sijawahi kusoma sehemu ambapo kimeandikwa ya kuwa Mungu alitokea Kijiji fulani, hili kwanza naliona kwako.

Kingine katika hili ulilo andika ni miongoni mwa mambo ambayo huonyesha ya kuwa Wakana Mungu wote ni wagonjwa wa akili, huenda haya umeyasikia sehemu bila kuyatafiti ukaja kuyaweka hapa.

Kwahiyo kwako wewe kuwepo kwa picha na gazeti ni ushahidi wa kuonyesha uwepo wa kitu ? Aisee huna akili kijana.
 
😂😂Si umesema mshike elimu sijui bible imesema...mbona unakimbia kimbia mkuu
 
😂Basi Thanos yupo
 
Brother I don't need to convince you anything, I just want you to open your eyes and acknowledge that evolution doesn't explain alot of things and it doesn't make sense.
Even if it doesn't make sense...it makes more sense than a naked couple in a garden with a talking snake...plus even if it doesn't make sense to u doesn't change the fact that it's ryt .nikikwambia nielezee how jet engines work n how planes fly, usipojua au usipoelewa the science behind it doesn't mean inapaa kimiujiza..ndo maana nasema I'm open to new info that's how science works..😂ila wewe ndo upo closed minded alichokuambia myahudi ndo hicho hicho Tena myahudi ambae hakujua jua linaenda wapi usiku
 
Sasa kumbe unabishana mpaka kuhusu vitu ambavyo huvijui?...

kama hujui how you can study it,..ni uzembe wako mwenyewe,..unamlaumu nani sasa?

Kama High-minded people ndiyo mnakua hivyo Bora nibaki nikiwa kilaza.

Be humble bro ujifunze,..
😂Asa u ain't humble...we unasema ni hivi coz an ancient book of desert fairytales told me so...Kati ya Mimi na wewe who's humble..Kuna information gani mpya umenipa nimeikataa..ila watu wa dini wanakataa all new info kutetea the stupidity of ancient people
 
😂😂😂😂Acha kututisha dogo ...
 
😂😂😂😂nyumba zinawajenzi hata wewe ukielekezwa ukipewa vifaa unaweza Jenga...tunaona nyumba zikijengwa... so mfano uliotoa ni mfu..😂Mbona nyasi zinaota zenyewe huulizi nani kazipanda...😂again acha kutisha watu na ulichotishiwa na wazee wako ukiwa na miaka 7
 
Sijasema hakuna Mungu...afu hapo tayari ushamake assumption
..hata Kama Mungu yupo why ni Allah na sio Yahweh, na sio Zeus na sio brahma, na sio Odin ..why Mungu ambao umekaririshwa na mama Ako aliyokaririshwa na mama ake ndo awe muumbaji...what's ur evidence?
 
😂😂😂😂Katokea Arabia, Mara Palestine Mara Canaan cjui Israel...why not Kenya...why not Australia...that's my point...mbona Mungu wenu ni kama katungwa na watu wa jamii fulani afu wamemsambaza dunia nzima..Mungu Kama yupo kote angemtokea kila mtu au kila mtu angezaliwa anamjua mmoja na anaelezea matakwa na sifa zake...ila all we see ni religion being an accident of geography... ukizaliwa familia ya kiislamu huko Afghanistan automatically utaamini Allah ni Mungu...this proves dini zote ni man made
 
Jinsi binadamu tulivyoumbwa tuna udhaifu mmoja tu wa matumani. Bila matumaini binadamu hatuwezi kufanya kitu chochote. Na kitu pekee kinachoweza kuleta matumanini ni imani. Hata usipoamini Mungu yupo kuna vitu katika maisha yako vimefanyika bila nguvu na akili zako. Ulivyolelewa ukiwa mdogo ulikuwa hauna nguvu ya kupanga unachotaka au kujua unachotaka. Ni mazingira ambayo haujapanga lakini umekuwa mtu mzima mpaka ukajitambua. Ninachosema sisi waafrika tusitilie mkazo sana kwenye dini na kusahau kuwa kuna facts za maisha inabidi tuzitilie mkazo pia. Lakini dini ina umuhimu wake katika mafanikio ya binadamu. Mambo ya kushinda kanisani na kusahau kuwa kuna kufanya kazi. Au muislamu kukubali kulipiwa mahari na taasisi aoe, halafu yeye mwenyewe kuna wiki inapita anashinda na njaa. Huu ni ujinga na sio dini .
 
Sasa unaona unavyokurupuka kujibu swali? Hapo umejiona mjanjaa! Kma umekiri ukiona nyumba ujue Kuna mjenzi vitu unavyoviona duniani Bado utaamini kwamba hakuna alievitengeneza et?🤣 Kama sio kukalia ubishi usio na msingi
 
Sasa unaona unavyokurupuka kujibu swali? Hapo umejiona mjanjaa! Kma umekiri ukiona nyumba ujue Kuna mjenzi vitu unavyoviona duniani Bado utaamini kwamba hakuna alievitengeneza et?🤣 Kama sio kukalia ubishi usio na msingi
Ninaamini Kuna wajenzi coz tunaona nyumba zikijengwa hazitamkwi tu kuwe na nyumba zikatokea..tofauti ya story zenu za kitoto ni kwamba instead of kuelewa how things got to be mnaamini tu lijitu lilisema kuwe na jua ikatokea kuwe na maji yakatokea etc ila evidence inaonyesha different...nimesema Mimi sio Mpinga Mungu Mimi ni Mpinga dini coz dini zote ni man made imagination ni uwongo tu...just because sijui the origin of the universe (na inaweza isiwe na origin kabisa) doesn't mean niamini any stupid story Babu aliyosema kisa kaaminishwa na myahudi... wat u said "watchmaker analogy" isn't proof of anything..ndo maana unaulizwa Kama kitu hakiwezi kujiumba huyo Mungu katokea wapi...mbona mnajikosha mkifika hii stage mnasema alikuwepo..bac universe ilikuwepo..case closed..bado hujaprove why Christianity or Islam or Hinduism is ryt? Bado hujaprove why god is the creator, why not aliens, why not simulation, why not a group of gods, why not a blueberry muffin...dini zinavyofanya ni "u don't know how it happened hence Mungu wetu ndo kafanya" unajisahau kila dini inatumia Chaka Hilo Hilo kujidhihirisha kwamba Mungu wao ni sahihi na yupo....shtuka bro
 
Tofautisha dini na nguvu za kiroho ,dunia hii mtu mwenye pesa ndo mwenye akili ,sasa ukiweza kawaulize jinsi nguvu za kiroho zinavyofanyakazi usitafute millionaire tafuta bilionea muulize atakueleza
HUyu ni type za akina Dr. Shika
 
😂Basi Thanos yupo
Unafananisha character wa kwenye movie na vitu ambavyo vinatokea kwenye uhalisia.

Hiyo sio namna ambayo high-minded people wanatakiwa kujadili vitu.


Atleast ungetuelimisha kwamba➡️ Demonic possession ni concept inayotumika kimakosa kuelezea hali ambayo inatokana na shida kwenye subconscious mind....kisha mtaalamu utuambie ni Kwa namna gani subconscious mind inapelekea mtu kuwa na hali ambayo sisi na ujinga wetu tunaiita Demonic possession,... simple👊
 
That's were you're wrong, hujui hata mchango waliofanya wakristo waliomwamini mungu kweny hii science.

Unadhani ukimwamini mungu ndo upo close minded?
 
hizo stories za kutoa kwenye kitabu cha masimulizi sioni ka zina mantiki...Halafu kuhudhuria kanisani c lazima ati ndo mtu wa dini, wengine ni projects za kuwapiga low minded!
Naona umeanza kubumba bumba maneno ambayo wewe mwenyewe hauelewi,, Tutajie mfano wa hao watu ( waumini ) ambao wanaenda kwajili ya projects za kuwapiga low minded ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…