Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

That's not my job... kama scientist waliofanya research na publication zenye peer review zikawa published kwenye mitandao na majarida mbali mbali.. na bado huamini unamuamini muarabu aliyoamka akasema ametumwa na Mungu Tena muarabu huyo aliishi kipindi hata yeye hajui jua linaenda wapi usiku anasema Mara tope Mara kumuomba Allah ruhsa..afu unakuja unasema unataka upewe elimu...Mimi ndo utanisikiliza Sasa? Hebu nitokee
 
That's were you're wrong, hujui hata mchango waliofanya wakristo waliomwamini mungu kweny hii science.

Unadhani ukimwamini mungu ndo upo close minded?
Mimi naweza kua mkristo kwa sababu
1. Nikisema mi ni atheist jamii itanipinga na katika society kipindi hicho walikuwa wanauwawa kabisa
2. Naweza nikawa Sina information za kutosha Kama walio nao saa hivi na baadae
3. Kuamini Mungu ni 47733 times different na kuamini Adam n eve creation myth
 
Walikuwa hawana freedom Kama saa Hivi acha ubishi... fuatilia..😂usibishane kwa hisia man
Hisia za nn??
Mzee mara useme walikuwa wachache kumbe ukweli ni kwamba walikuwa wengi, mara useme walikuwa hawana freedom, haya sawa ila tambua kwanza freedom inategemea unaishi wapi, hata 2023 ukiishi Vatican au Iran alaf uwe atheist lazima utapata wakati mgumu, kwaio sio tuu swala la muda.
 
Naona umeanza kubumba bumba maneno ambayo wewe mwenyewe hauelewi,, Tutajie mfano wa hao watu ( waumini ) ambao wanaenda kwajili ya projects za kuwapiga low minded ?
Kina Gwajiboy na Mwingira wanawapuna tu! hakuna wachungaji pale...
 
Kuna mahusiano yalivunjika eti mmoja hataki ndoa ya serikali, kwake ni kosa. Hayo ni mawazo finyo ya kukumbatia imani ambayo wala huijui kwani sio utamaduni wako. Imani bila kutumia akili ni utumwa.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
vyeti vyote vya ndoa ni vya serikali, so ndoa za dini ni utaratibu tu kama wa kimila...nothing tangible
 

We decided...... NOT GOD

Ni kosa kuvuta bangi Tz lakini ni halali kuvuta bangi USA
Ni kosa kuacha kichwa wazi mwanamke in islam lakini ni sahihi kwa mkristo.....just to mention the few
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…