Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Mambo yote unayopinga...starting with evolution..na all the evidence against the man made stories of the bible n quran
Mpaka sasa hivi tunavyoongea,..Evolution theory inaaminiwa na low minded people tu.


Ukiweza kumtaja Ancestor wa CHURA,..basi tutaweza kuendelea kujadili Evolution theory na huenda na Mimi nikaiamini Bro 👊
 
Kwahiyo tukubaliane hapa kwanza. Mungu yupo au hayupo ?

Kwanini Allah ? Sababu yeye ndio ameumba mbingu na ardhi na ndio muabudiwa wa haki.

Ushahidi ni akili, mazingira na ufunuo.
 
Hujathibitisha bado. Weka ushahidi hapa.
 
Hii point yako ya Mungu kutokujionesha kwa watu, inajulikana kama "divine hiddeness". Nami nitakujibu kama ifuatavyo


1. Huwezi kuuona uso wa Bwana na ukaendelea kuishi.

Kutoka 33:20-23
[20]Kisha akasema, Huwezi kuniona uso wangu, maana mwanadamu hataniona akaishi.

[21]BWANA akasema, Tazama, hapa pana mahali karibu nami, nawe utasimama juu ya mwamba;

[22]kisha itakuwa wakati unapopita utukufu wangu, nitakutia katika ufa wa ule mwamba, na kukufunika kwa mkono wangu hata nitakapokuwa nimekwisha kupita;

[23]nami nitaondoa mkono wangu, nawe utaniona nyuma yangu, bali uso wangu hautaonekana.


2. Kuna kitu kinaitwa Imani Hebrews 11:1 "Basi imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo, na ni bayana ya mambo yasioonekana.

3. Kama Mungu ndiye muumbaji wa kila kitu, basi keshajionesha kupitia ukuu wake wa uumbaji.

Warumi 1:18-22
[18]Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.

[19]Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia.

[20]Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru;

[21]kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza.

[22]Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika;

4. Yesu alifanya miujiza mbele za watu kabisa huku wakishuhudia, ila bado hawakumuamini. Waliukataa ujumbe wa Yesu.

5. Atajifunua kwa yeyote amtafutae kwa moyo.

Yeremia 29:13
[13]Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.
 
Mkuu umewafundisha kama chekechea kabisa ila cha kushangaza hawataelewa tena.
 
😂Haya bro... sibishani illogical ppo...maana unataka kuforce coming out as an atheist now na in 1200 CE sawa... Kuna mda watu walikuwa wanateswa for not being religious..na kuuwawa..fuatilia Spanish inquisition.. ndo maana nasema unabishana kihisia. Yaishe
 
Wengine wanaamua tu kutoelewa makusudi kutokana na kile saikolojia inachokiita "cognitive dissonance", lakini kwa mtu anayefuatilia mantiki, ataelewa tu.
Ili mtu avunje hizo psychological discomfort ,anapaswa awe na fikra huru sana.
 
Mpaka sasa hivi tunavyoongea,..Evolution theory inaaminiwa na low minded people tu.


Ukiweza kumtaja Ancestor wa CHURA,..basi tutaweza kuendelea kujadili Evolution theory na huenda na Mimi nikaiamini Bro 👊
😂😂😂Kaisome...halafu kwani evolution ni kitu gani..si branch to ya kuelewa biological history..mbona unaikamia Sana. Kisa it has evidence to back up it's claims.. mifupa, genetics, useless organs in current species etc.. wat is the evidence of the genesis creation myth ukitoa hekaya za wayahudi na waarabu...umeaminishwa ukiwa mtoto hujielewa ukakua na fear of hell ndo maana unaona it makes sense to u... for some ppo ni ngumu kuamka from the brainwash n chains za religions..najua unabishana tu ila we kuwepo kwenye mijadala hii tayari upo different in terms of knowledge kuliko mtu wa mtaani ambaye hajui mapungufu ya dini yake..😂so ni swala la mda
 
Kwahiyo tukubaliane hapa kwanza. Mungu yupo au hayupo ?

Kwanini Allah ? Sababu yeye ndio ameumba mbingu na ardhi na ndio muabudiwa wa haki.

Ushahidi ni akili, mazingira na ufunuo.
1. Mungu yupo au hayupo? I don't know... I don't know coz Sina evidence kuprove uwepo wake.. same as Sina evidence kuprove hayupo. But Mungu wa religion who is all powerful all knowing and all loving hawezi kuwepo coz hivyo vitatu vina contradict each other na pia vina contradict na uhalisia wa ulimwengu
2. We unasema Allah ni Mungu coz kaumba ulimwengu. Mhindi atasema brahma, kina classical Greeks watasema Zeus, kina Norse watasema Odin... na wao evidence Yao itakuwa hio hio sijui angalia jua cjui inaweza jitengeza yenyewe? No, hence "insert your god" is real . My question to u is... why u believe Allah is a real god na wengine ni false..nipe sababu outside the fact that umezaliwa location or/and familia ya kiislamu, au umeslim for personal gains such as ndoa, kazi au biashara.
 
1. Yesu ni Mungu...watu walimwona wakaishi...Adam na eve walimwona Mungu...na alikuwa anatembea nao in the garden...they lived..Jacob aliwrestle na Mungu..akaishi.. that's Accord to bible myth stories ambazo zinajicontradict..staki uje na upuuzi wa cjui mafumbo cjui interpretation zako uchwara
2. Bac mi na Imani kuwa tumeumbwa na Optimus prime ambae yeye hajaumbwa... prove me wrong
3. Hata wahindu na wagiriki miungu Yao inasemekana imeumba kila kitu na evidence Yao ni hivyo vitu vilivyoumbwa..mbona humuabudu Zeus, brahma etc?
4. There's no historical or scientific evidence to suggest that Jesus did miracles or/and resurrected.. the best evidence u have ni vitabu vinne out of more than 10 vilivyoandikwa about his life navyo vimechaguliwa tu na wahuni na bado vina contradictions na errors kibao...so bado it's nothing
5. 😂This is the most bullshit...Kama ni mmoja na anajifunua kwa anaemfata..mbona watu wote waliomfata au aliyejufunua kwao amekuja na sifa na sheria tofauti.. dini zote na madhehebu yote ni ufunuo wa huyo Mungu mmoja lakini ni kama kila mtu ana Mungu wa kwake... this shows hamna Cha ufunuo Bali ni kila mtu na fikra zake na mawazo yake juu ya dhana ya Mungu. And how do u know umefunuliwa and not ur brain doing wat u hoped it will do...mtu anaota, anaona hallucinations, coincidences anasema amefunuliwa...
6. Na in case ukisema, Mungu is hidden ili atupe freewill tumchague or not...😂mnasema shetani na mapepo walikuwa mbinguni ila wakaamua kumkataa Mungu na wao walimwona, Yesu nae unavyosema alikuwa Mungu mbele za watu na wakamkataa..it means hata akijitokeza now in real sight bado Kuna chance ya watu kuamini au kutoamini..so why don't he..😂
 
😂😂😂Kaisome...halafu kwani evolution ni kitu gani..si branch to ya kuelewa biological history..mbona unaikamia Sana. Kisa it has evidence to back up it's claims..
Evolution niisome mara ngapi sasa?

Tunarudi palepale kwamba,.. Evolution theory haina evidence kama ulivyokariri.

Nenda katafute evidences za Ancestor wa Human being, Chimpanzee na Apes..ukizipata zilete hata sasa hivi nitakuamini.


au mtihani huo mdogo nao unakushinda.?
 
u r moving the goalposts..😂again u being illogical...wamepata unasema unataka ancestor wake...wakimpata utataka kingine...😂we tunaomba evidence ya Adam na Eva in a garden with a talking snake,
 
Kina Gwajiboy na Mwingira wanawapuna tu! hakuna wachungaji pale...
Ona unavyojiaibisha sasa [emoji16], ushahamia kwa wachungaji, Yani ushasahau au pengine huelewi hata nini kilikua kinaongelewa.

Haya nakukumbusha,, Point na mada yako inazungumzia waumini ambao mnadai ni low minded tu..
 
Mkuu umewafundisha kama chekechea kabisa ila cha kushangaza hawataelewa tena.
Yani mimi nitegemee kufundishwa na Kiranga jambo pana kama hili na nkamuelewa just simple tu ?

Mnalazimisha tuelewe tu ?? Kama wewe unaweza ukafundishwa na yeye ni sawa upo sahihi.

Mnatumia mazao ya fikra za watu wengine kuwa ndio fikra zenu ( Ninyi ni watumwa wa hizi elimu ) zimewafunga msifikiri nje ya elimu mlizozipata.

Mimi namuamini Mungu, Na nkupe tu siri imenifanya kuwa na uwezo binafsi wa kuchimba mambo mengine mengi zaidi, ambayo mengine napata majibu ya hiki mnachokiita science, kwa maana hiyo kwa kutumia ufikiri wangu binafsi napata majibu ya kuhusu mambo mbali mbali yanayoshahabiana na hao mnaowaamini nyinyi ( science/scientists )...Utofauti Mimi nipo huru kifikra, nyinyi hampo huru.

Kwa kuongezea, Mimi namuamini Mungu kwa namna yangu peke yangu.
 
u r moving the goalposts..😂again u being illogical...wamepata unasema unataka ancestor wake...wakimpata utataka kingine...😂we tunaomba evidence ya Adam na Eva in a garden with a talking snake,
So, evidence huna?

Kwanini unasema kuna evidence sasa?

Kwa kuweka rekodi sawa,.. inakaribia mwaka sasa tokea nikuombe ulete evidence ya Common ancestor wa Apes, Chimpanzee na Human being kama isemavyo Evolution theory.,Kwa bahati mbaya mpaka leo umeshindwa kufanya hivyo na dalili za kufanikiwa hazionekani zaidi ya kuzunguka mbuyu tu.
 
.Utofauti Mimi nipo huru kifikra, nyinyi hampo huru.
 
😓Unazunguka..good day sir..msalimie mudi ukifika akhera na nibakshie bikra 4 na mito ya pombe😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…