Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Bhasi kwa Wewe tuko pamoja nilkuwa sijaelwa mwnzoni
Neno roho (spirit) kisayansi ndiyo energy na mungu mwenyewe kasema yeye pia ni roho tena ni mfalme wa ulimwengu wa roho (energy)maana yake pasipo roho(energy) hata mungu hawezi kuwako
 
Neno roho (spirit) kisayansi ndiyo energy na mungu mwenyewe kasema yeye pia ni roho tena ni mfalme wa ulimwengu wa roho (energy)
Unajuaje Mungu kasema, na si kwamba watu tu wameandika Mungu kasema?
 
Unajuaje Mungu kasema, na si kwamba watu tu wameandika Mungu kasema?
Kajifunze energy ni nini ....kisha jifunze matter ni energy au la...... kisha jiulize wewe ni energy au la.... utajua kuwa hata wewe siyo dhaifu ulikuwako milele na utakuwako milele
 
Kwanza mimi naamin juu ya uwepo wa mungu lakin huwa najiuliza vipi walio kufa kabla ya kufikiwa na hizi dini
Na maana hawaku silim wa kuokoka na pennine walikuwa na dhambi kwa mujibu wa sheria za dini hizi je watahukumiwa kwa kifungu gani cha sheria ibara ya ngapi
 
Hata mwanga ni energy.

Kwa hiyo ninapozima taa namzima Mungu?
Hata wewe ni energy...hata matakataka ni energy...hata funza ni energy...wewe ukifa unabadilika tu kwasababu you can't destroy energy even kuiumba
 
Mungu yupi
Mungu yupi?swali gani hilo la kijinga MUNGU ni mmoja tu duniani kote aliyeumba dunia na vitu vyote vilivyomo iwe china,india,korea,nk.

Ujinga wa waafrikana ni kuamini kuwa kuna MUNGU wa wazungu aliye wa kweli na siyo wa WAAFRIKA

Shit holes
 
Huwezi ukamlinganisha MUNGU na sayansi ni utovu wa kutokufikiri.

MUNGU yupo kabla ya sayansi na ndiyi maana hadi leo sayansi ina mabadiliko au mwendelezo lakini UUMBAJI hauna mabadiliko au mwendelezo.
 
Swali lako linaonyesha umeshindwa kutumia akili hata kwa asilimia moja ...niulize mimi nikujibu ....wewe ujui kitu kinachoitwa (pure dini )
 
Na je ni injili ya kikristo tu ndiyo ikahubiriwe kote duniani na wazungu na uislam na waarabu kwanini WAAFRIKA nao wasiende duniani kote wakaihubiri injili hiyo?
 
Dini sahihi ni ile unayoiamini kwa sababu zako, maana hata ndani ya hizo dini, kuna medhehebu, yanayopingana baadhi ya maeneo.
 
Swali lako linaonyesha umeshindwa kutumia akili hata kwa asilimia moja ...niulize mimi nikujibu ....wewe ujui kitu kinachoitwa (pure dini )
Naomba nikuulize mjuaji
Swali lako linaonyesha umeshindwa kutumia akili hata kwa asilimia moja ...niulize mimi nikujibu ....wewe ujui kitu kinachoitwa (pure dini )
Haya Mjuaji naomba nikuulize hiyo pure dini ni nn
 
Endeleeni... Kwa kigezo hakuna Mungu, watu wapumbavu huwaza kuwa hakuna Mungu(biblia )huu upuuzi wako biblia ilishauandika tiyari
Kwani kuna uhusiano gani wa kumuamini Mungu na hicho kitabu chenu. Dunia nzima walikuwa na bado wanamuamini Mungu ukiacha wale wachache. Na ujue kila utamaduni walikuwa na namna yao ya kumuamini na kumuabudu Mungu, so hata kwenda kanisani na kupoteza masaa kibao ni dalili kuwa upstair hauko sawa. Biblia ni kitabu kinachoelezea mahusiano ya huo utamaduni wa waliokiandika na Mungu wao. Wewe wala hakikuhusu kabisa ni kudandia treni kwa mbele tu. Asia walikuwa na namna yao ya kumuabudu Mungu, kama ilivyokuwa kwa Afrika na tamaduni zingine zote.
NB: Mungu hausiki na kuandikwa kwa Biblia, ni masimulizi ya hao walioandika juu ya mahusiano yao na huyo Mungu waliyekuwa wakimuamini.
 
Neno roho (spirit) kisayansi ndiyo energy na mungu mwenyewe kasema yeye pia ni roho tena ni mfalme wa ulimwengu wa roho (energy)maana yake pasipo roho(energy) hata mungu hawezi kuwako
Sasa hapo Ukisema Mungu kasema ndo unapoharibu..
 
Nakubaliana nawe kuwa DINI zipo kwa lengo la kudhibiti uwezo wa watu wa kufikiri.

Mungu hana na hajaleta dini. Dini ni zao la ulaghai.

Mimi ninamuamini Mungu katika Utatu wake Mtakatifu
 
Kajifunze energy ni nini ....kisha jifunze matter ni energy au la...... kisha jiulize wewe ni energy au la.... utajua kuwa hata wewe siyo dhaifu ulikuwako milele na utakuwako milele
Umeandika mengi, lakini, hujajibu swali nililokuuliza.

Unajuaje Mungu kasema, na si kwamba watu tu wameandika Mungu kasema?
 
Mwambie huyo jamaa aelewe kabisaa.

Wanasayansi wanaamini vizuri tu.

Mi mwenyewe hapa ni mwanasayansi mkubwa na nnaamini katika Mungu. Uhakika bro.
Wewe kuamini uwepo wa Mungu sio Justification ya uwepo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…