DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Bhasi kwa Wewe tuko pamoja nilkuwa sijaelwa mwnzoniNdiyo maana yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhasi kwa Wewe tuko pamoja nilkuwa sijaelwa mwnzoniNdiyo maana yake
Hata mwanga ni energy.Mungu ni energy hata mimi na wewe ni energy ...even matter is the ENERGY
Neno roho (spirit) kisayansi ndiyo energy na mungu mwenyewe kasema yeye pia ni roho tena ni mfalme wa ulimwengu wa roho (energy)maana yake pasipo roho(energy) hata mungu hawezi kuwakoBhasi kwa Wewe tuko pamoja nilkuwa sijaelwa mwnzoni
Unajuaje Mungu kasema, na si kwamba watu tu wameandika Mungu kasema?Neno roho (spirit) kisayansi ndiyo energy na mungu mwenyewe kasema yeye pia ni roho tena ni mfalme wa ulimwengu wa roho (energy)
Kajifunze energy ni nini ....kisha jifunze matter ni energy au la...... kisha jiulize wewe ni energy au la.... utajua kuwa hata wewe siyo dhaifu ulikuwako milele na utakuwako mileleUnajuaje Mungu kasema, na si kwamba watu tu wameandika Mungu kasema?
Hata wewe ni energy...hata matakataka ni energy...hata funza ni energy...wewe ukifa unabadilika tu kwasababu you can't destroy energy even kuiumbaHata mwanga ni energy.
Kwa hiyo ninapozima taa namzima Mungu?
Mungu yupi?swali gani hilo la kijinga MUNGU ni mmoja tu duniani kote aliyeumba dunia na vitu vyote vilivyomo iwe china,india,korea,nk.Mungu yupi
Huwezi ukamlinganisha MUNGU na sayansi ni utovu wa kutokufikiri.Sayansi inakwenda kwa uthibitisho.
Huyo Mungu wako hujathibitisha kwamba yupo, unapiga hadithi tu kwamba yupo.
Mpaka hapo sayansi ishapingana na Mungu wa hadithi zako ambaye hujamthibitisha kwamba yupo.
Kama unabisha, thibitisha huyo Mungu yupo, halafu tuuchambue huo uthibitisho wako kwenye mizani ya kisayansi kama unakubalika na sayansi ama haukubaliki.
Swali lako linaonyesha umeshindwa kutumia akili hata kwa asilimia moja ...niulize mimi nikujibu ....wewe ujui kitu kinachoitwa (pure dini )Kwanza mimi naamin juu ya uwepo wa mungu lakin huwa najiuliza vipi walio kufa kabla ya kufikiwa na hizi dini
Na maana hawaku silim wa kuokoka na pennine walikuwa na dhambi kwa mujibu wa sheria za dini hizi je watahukumiwa kwa kifungu gani cha sheria ibara ya ngapi
Na je ni injili ya kikristo tu ndiyo ikahubiriwe kote duniani na wazungu na uislam na waarabu kwanini WAAFRIKA nao wasiende duniani kote wakaihubiri injili hiyo?Ina maana Mungu huyo au Yesu huyo hakujua kwamba anapaswa kufahamika na watu wote ulimwenguni kwa wakati mmoja?
Kwa nini afahamike na wachache kisha hao wachache wawasambazie wengine habari hizo?
Mungu muumba wa vyote, Alishindwaje kutambulika duniani kote na viumbe wote kwa wakati mmoja?
Dini sahihi ni ile unayoiamini kwa sababu zako, maana hata ndani ya hizo dini, kuna medhehebu, yanayopingana baadhi ya maeneo.Mkuu miongoni mwa watu wenye upeo mkubwa wa kujibu maswali yanayotatiza miongoni mwa watu na kuonekana kana kwamba hayawezi kujibika ww umeweza kuyajibu kwa usahihi zaidi..
Kuhusu sayansi haiwezi kujibu mambo yote kuhusiana na maisha.
Ikiwa leo kila kitu kinajiendesha kwa utaratibu uliopangwa kwa maana yupo mpangaji(muanzilishi) itawezekanaje kila kitu kwa dunia?
Maana ukisema hakuna dini ni sawasawa na kusema hakuna muumba.
Swali la msingi ni kujua tu ni ipi dini sahihi na ipi sio sahihi, hapa ndipo panapohitajika tafiti za kielimu pasina kuendeshwa na utashi wa nafsi.
Naomba nikuulize mjuajiSwali lako linaonyesha umeshindwa kutumia akili hata kwa asilimia moja ...niulize mimi nikujibu ....wewe ujui kitu kinachoitwa (pure dini )
Haya Mjuaji naomba nikuulize hiyo pure dini ni nnSwali lako linaonyesha umeshindwa kutumia akili hata kwa asilimia moja ...niulize mimi nikujibu ....wewe ujui kitu kinachoitwa (pure dini )
Wewe ni mkristo au muislamu kwanza nataka kujuaNaomba nikuulize mjuaji
Haya Mjuaji naomba nikuulize hiyo pure dini ni nn
Kwani kuna uhusiano gani wa kumuamini Mungu na hicho kitabu chenu. Dunia nzima walikuwa na bado wanamuamini Mungu ukiacha wale wachache. Na ujue kila utamaduni walikuwa na namna yao ya kumuamini na kumuabudu Mungu, so hata kwenda kanisani na kupoteza masaa kibao ni dalili kuwa upstair hauko sawa. Biblia ni kitabu kinachoelezea mahusiano ya huo utamaduni wa waliokiandika na Mungu wao. Wewe wala hakikuhusu kabisa ni kudandia treni kwa mbele tu. Asia walikuwa na namna yao ya kumuabudu Mungu, kama ilivyokuwa kwa Afrika na tamaduni zingine zote.Endeleeni... Kwa kigezo hakuna Mungu, watu wapumbavu huwaza kuwa hakuna Mungu(biblia )huu upuuzi wako biblia ilishauandika tiyari
Sasa hapo Ukisema Mungu kasema ndo unapoharibu..Neno roho (spirit) kisayansi ndiyo energy na mungu mwenyewe kasema yeye pia ni roho tena ni mfalme wa ulimwengu wa roho (energy)maana yake pasipo roho(energy) hata mungu hawezi kuwako
Nakubaliana nawe kuwa DINI zipo kwa lengo la kudhibiti uwezo wa watu wa kufikiri.Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!
Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.
Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!
Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.
Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?
Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?
Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!
Atheists make sense than who are not
Ukisha kubali tu kuwa myngu yupo basi ujue huyo mungu anazo sera zake .....na sera za mungu ni haki na utakatifu basiSasa hapo Ukisema Mungu kasema ndo unapoharibu..
Umeandika mengi, lakini, hujajibu swali nililokuuliza.Kajifunze energy ni nini ....kisha jifunze matter ni energy au la...... kisha jiulize wewe ni energy au la.... utajua kuwa hata wewe siyo dhaifu ulikuwako milele na utakuwako milele
Wewe kuamini uwepo wa Mungu sio Justification ya uwepo wake.Mwambie huyo jamaa aelewe kabisaa.
Wanasayansi wanaamini vizuri tu.
Mi mwenyewe hapa ni mwanasayansi mkubwa na nnaamini katika Mungu. Uhakika bro.