Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Mbona kila mtu anamjua tofauti asa...au kila mtu ana Mungu wake ndani
Wanafunzi kuandika majibu tofauti kwenye mtihani haimaanishi hakuna jibu sahihi ni jukumu lako kutafuta kujua jibu sahihi ....ambalo lipo katika kweli na haki
 
Neno roho (spirit) kisayansi ndiyo energy na mungu mwenyewe kasema yeye pia ni roho tena ni mfalme wa ulimwengu wa roho (energy)maana yake pasipo roho(energy) hata mungu hawezi kuwako
Energy can be tested... sio lazma uone lakini it can be tested n proven...Kama heat ukichomwa unaskia, light unaona, sound unaskia, etc...huyo Mungu cjui roho tunajuaje yupo
 
Kwanza mimi naamin juu ya uwepo wa mungu lakin huwa najiuliza vipi walio kufa kabla ya kufikiwa na hizi dini
Na maana hawaku silim wa kuokoka na pennine walikuwa na dhambi kwa mujibu wa sheria za dini hizi je watahukumiwa kwa kifungu gani cha sheria ibara ya ngapi
Naskia Yesu alivyokufa siku tatu alienda kuwatoa motoni cjui...
 
Na wewe jibu swali unajuaje kuwa si mungu kasema bali ni watu tu wamesema ....maana ilo swali lako linakinyume chake
Mimi ndiye nimeanza kuuliza, nijibu kwanza, mimi nitakujibu. Swali hili nimelijibu mara nyingi sana.

Kama huna jibu, hujui jibu, kubali tu. Kukubali hilo si tatizo.
 
Mungu yupi?swali gani hilo la kijinga MUNGU ni mmoja tu duniani kote aliyeumba dunia na vitu vyote vilivyomo iwe china,india,korea,nk.

Ujinga wa waafrikana ni kuamini kuwa kuna MUNGU wa wazungu aliye wa kweli na siyo wa WAAFRIKA

Shit holes
Yupi asa...huyo mmoja yupi..kila jamii imeunda Mungu wake na kusema ndo muumba vitu vyote na miungu mingine ni feki...so huyo original ni yupi Yuko wapi na matakwa yake ni nini
 
Huwezi ukamlinganisha MUNGU na sayansi ni utovu wa kutokufikiri.

MUNGU yupo kabla ya sayansi na ndiyi maana hadi leo sayansi ina mabadiliko au mwendelezo lakini UUMBAJI hauna mabadiliko au mwendelezo.
Kwani Sayansi imeanza lini na Mungu kaanza lini
 
And how does that prove your claim?
We are the same brother.
Only a stupid person will believe we descended from apes just because of our genetical closeness/relationship.
Sam Harris alishawahi kuandika kwenye “The end of faith” kwamba
Tell a devout Christian that his wife is cheating on him, or that frozen yoghurt can make a man invisible, and he is likely to require as much evidence as anyone else, and to be persuaded only to the extent you give it. Tell him that the books he keeps by his bed was written by invisible deity who will punish him with fire for eternity and he seems to require no evidence whatsoever.

So what the difference the one claims we from apes and still people doing research or the one who read the antiquity story of Jews and Arabs that the creator shall not be criticized because it’s blasphemy?
 
Kwakweli izi dini nimezikuta na kibaya nimezaliwa kwenye dini ya kiislam lakini nina malezi ya kikristo hivyo hata mimi nilipo jielewa nikawa na wakati mgumu uliopelekea kuwa Mpagani nina miaka mingi siudhulii kwenye ibada za pamoja lakini huwa nasali kwa lugha yangu ya kiswahili nikimuomba mungu huku nikifata taratibu kadhaa ambazo naamini ni sahihi kwangu kama kutoa sadaka nk.
Sawa ni vizuri ni kama mimi ...jibu la swali lako ni ili ...kasome mwanzo wa dhambi mungu akamwambia mwanadamu tazama umejua mema na mabaya (siyo dini ) bali umejua mema na mabaya basi katende mema na si mabaya kwa kuwa ukitenda mabaya utahukumiwa hatia na ukitenda mema utapata pepo...hiyo ndiyo( pure religion ) hivyo kwa binadamu yoyote hata kama ajawai kujua habari za mungu ... ndiyo maana kuna maandiko yanasema watendee wengine jinsi wewe univyo penda kutendewa huo ndiyo msingi wa dini (pure) wao watahukumiwa kwa huo msingi
 
Sam Harris alishawahi kuandika kwenye “The end of faith” kwamba
Tell a devout Christian that his wife is cheating on him, or that frozen yoghurt can make a man invisible, and he is likely to require as much evidence as anyone else, and to be persuaded only to the extent you give it. Tell him that the books he keeps by his bed was written by invisible deity who will punish him with fire for eternity and he seems to require no evidence whatsoever.

So what the difference the one claims we from apes and still people doing research or the one who read the antiquity story of Jews and Arabs that the creator shall not be criticized because it’s blasphemy?
This is a very wide topic brother, and I don't have the strength.
 
Mimi ndiye nimeanza kuuliza, nijibu kwanza, mimi nitakujibu. Swali hili nimelijibu mara nyingi sana.

Kama huna jibu, hujui jibu, kubali tu. Kukubali hilo si tatizo.
Yamekuwa hayo tena [emoji115][emoji115][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe kuamini uwepo wa Mungu sio Justification ya uwepo wake.
Ni kweli, haithibitishi uwepo wa Mungu.

Inathibitisha tu kwamba mwanasayansi mwenye akili (jiniazi) anaweza kuamini Mungu yupo ☝
 
Hilo ndio la msingi mkuu, tatizo ni pale wanaomuamini Mungu kupitia hizo imani za kimagharibi wanaona wenzao kama wamepotoka.

Kila mtu ana haki ya kuwa na imani yake.

Hii ni haki ya kikatiba ya Tanzania (ibara ya 19)na kibinadamu (Universal Declaration of Human Rights).

Hata mimi nisiyeamini katika Mungu/dini, nitatetea watu wawe na haki hii, kwa maana, haki ya kuabudu unavyotaka na haki ya kutoabudu, kimsingi ni haki ile ile.

Ila, kwa upande mwingine, haki ya kuabudu unavyotaka ni faragha ya mtu binafsi. Ukishaleta mambo ya dini yako JF, ambako watu wanajivunia uhuru wao wa kuhoji, watu wataihoji dini yako.

Kwa sababu, JF "Where We Dare To Talk Openly" dini yake ni kuhoji.

Kwa hivyo, hata ukisema kila mtu abaki na dini yake, utahojiwa, kwa nini unawafunga watu midomo wasieneze dini zao?

Waache wazilete hapa tuzichambue, kama wanataka.

Tuone mbivu zipi na mbichi ni zipi.
 
Back
Top Bottom