MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Kitendo Cha kusema mlipuko wa uumbaji inaonyesha wazi hujui unalo lizungumziaWewe aujaelewa wao wanakataa kuwa vitu vimeumbwa na mungu ila awakatai kuwa vitu vimeumbwa ..ndiyo maana unasikia wakisema bigbang yaani mlipuko wa uumbaji
Bwana mdogo hata nikiijua itanisaidia nini..
Kwa sasa nijifunze hayo maneno yatanisaidia nini!
Kwanza kabisa bwana mdogo sipo katika kubishana hata kidogo cha kwanza hicho ukielewe
Sasa kwa muktadha huo wa Dini Hiyo ndo ilikuwa Dini yao na njia yao..
Tofauti unalazmisha Ulichosoma katika uislamu kiwe sawa n kilichopo katika utahudi Mkuu Theology haiendi hivyo ingekuwa Rahidi hivyo ningesoma Hiindu halafu ningetaka kiwe sawa na cha Buddha.....
Ulisoma nilichoandika?Sasa hii ndio dini, niwekee hiyo minyororo ya masimulizi hata mmoja.
Hii Sasa ndio maana ya Talmud. Soma hapa :
Yaani wewe sasa ndo umenifnya nicheke kwa swali lako mdogo angu...Naam waandishi wake nawajua. Nimecheka sana, unaelewa unapoambiwa "Hati y Uthman" ?
Hii ndo Comment yangu ya mwisho kwako maana nimeona kwa akili yako hatutaweza kufika popote na Mjadala huu haunisaidii kitu..Ungejua maana ya dini usingekosea katika kuwaelezea Mayahudi, kwa kutokujua kwako Uyahudi ni dini ukajenga hoja ya kitoto kwamba ni kabila huku ukionyesha wazi ya kuwa ni dini. Mpaka hapa unalazimika kujua maana ya maneno.
Hakuna anayetaka hiki kiwe sawa na hiki, na ndio kila dini ina machimbuko yake, maisha yetu yote tunaishi kuutafuta ukweli. Ndio maana watu wanafanya utafiti, wanajua hiki Cha kweli na hiki Cha uongo. Sasa unapo kuja na marejeo ya uongo ambayo yapo wazi tangu zamani wewe unatoka katika ulimwengu wa wasomi.
Well saidYes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!
Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.
Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!
Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.
Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?
Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?
Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!
Atheists make sense than who are not
We niambie wamemaanisha niniIn God We Trust, Ni neno ambalo lipo kwenye pesa ya Taifa la marekani ( Dollar ), je huwa wanamaanisha nini kwa unavyoelewa ?
Kama hauelewi, Jibu tu kuwa hauelewi na kama unaelewa nasubiri majibu yako.
Sasa unajitia aibu wewe ndio maana nimekuwekea ukurasa wa miongoni mwa vitabu ninavyo soma kuhusu Historia ya UyahudiUlisoma nilichoandika?
Sasa nakushauri kama kaka Yako Maana unachokifanya Sasa nikujitia Aibu tu Mbele za watu.. na kwa bahati mbaya hata Talmud ziko Aina mbili unatakiwa ujue Asili yake na jinsi ilivyo
Sasa Kama utaweza tafuta Vitabu vifuatavyo...ili angalau uweze kuhadithia Historia ya wayahudi mbele za watu..
View attachment 2822101
View attachment 2822102
View attachment 2822103View attachment 2822100
View attachment 2822099
Unajua ku assume kama unajua kila kitu duniani ni kiwango cha juu sana cha Ego.
Wewe Kwa mawazo yako uchawi ni kitu ambacho hakipo,...lakini kama kweli upo serious,...nitakupeleka sehemu uchawi unauzwa sokoni na jamaa wa Kimasai wanauita "Ukubwa" cha msingi andaa nauli yako na 700k ya kunilipa Kwa ajili ya kukufungulia Dunia.
Alaa.
😂Eeeh I thought hayo Mambo ni conspiracy Kiranga...mbona unaamini conspiracies asaMarekani ni nchi iliyoanzishwa na ma Freemasons, sharti kubwa la ma Freemason ni kuamini katika Mungu, huwezi kujiunga na ma Freemasons kama huamini Mungu. Mtu kama mimi nisiyeamini Mungu siruhusiwi kujiunga na Freemasons, ila Mkristo, Muislamu au yeyote anayeamini Mungu anaruhusiwa kujiunga na Freemasons.
Hiyo US dollar si tu ina maneno hayo ya "In God We Trust" bali pia ina alama za Freemasons. Most of US presidents were Freemasons.
Hapo pote hakuna linalothibitisha Mungu yupo. Kuna linalothibitishabkuwa walioanzisha taifa la Marekani walikuwa na imani za ki Freemason mpaka kufanya hela yao iwe na alama za ki Freemason.
Jibu swali nililo kuuliza ili uendelee kucheka vizuri au nenda ka google kisha uje na majibu. Nimekuona wewe sio msomaji mpaka ugoogle kwanza.Yaani wewe sasa ndo umenifnya nicheke kwa swali lako mdogo angu...
Huwezi kuwa kama Mimi hata kwa bahati mbaya sababu sisi tunasoma na kusomeshwa, kisha tunaelewa na kuhoji na kisha tunayahifadhi mambo.Hii ndo Comment yangu ya mwisho kwako maana nimeona kwa akili yako hatutaweza kufika popote na Mjadala huu haunisaidii kitu..
Nimekujibu vizuri ila nafikiri akili yako ndo inatatizo kubwa sana japo sikulaumu kabla sijawa nilivyo nilikuwa kama wewe...
Thibitisha jibu lako.Narudia Tena..
Nilikujibu hivi Uyahudi Lilikuwa kabila la (Yahuda) au Yuda...>> Baadae ukawa ni Ufalme (Tawala ) Yaani Yuda au Judeans ambalo liliunganika makabila mawili Yuda na Benyamini...>>> Baadae ikawa ni mienendo yao ya kuishi yaani utamaduni wa kiyahudi na itikadi kadri walivyopewa na Mungu wao....(Kwa tafsiri Dini)...
Weka mfano sahihi. Eti kabila la Ethiopia.Mfano....Kabila la Ehiopia >>> Baadae Wawe n Taifa la ethipia >>>Badae wawe na utmaduni wa Kiiethiopia waliorithi kitoka kwa mababu..
Ukiona nimepuuza kitu sio kwamba sikukisoma Bwana Mdogo ila nimekiona hakijatosha kuwa na ukweli...Sasa unajitia aibu wewe ndio maana nimekuwekea ukurasa wa miongoni mwa vitabu ninavyo soma kuhusu Historia ya Uyahudi
Inamaana hujaona katika hiyo kurasa ikisema Talmud ziko za aina mbili ? Unakuja tena kuniambia Mimi ziko za aina mbili ?Kijana vipi ? Kumbe hata Kiarabu hukijui ?
Nukta ya pili kuhusu ombi langu au swali langu, ni kuwa niwekee hizo nyororo za masimulizi zifike mpaka kwa Musa wanae kinasibu nae.
Sasa bila shaka ushapona nani anajiaibisha kati yangu Mimi na wewe.
Ukiona Nimepuuza Swali ujue Kwangu ni swali la kitoto na huwa sijihisi kujibu Maana ni kama kuwa Mtoto tu Umri wangu...nikiona Mtu ananiuliza swali la kitoto ni kama ananitukanaJibu swali nililo kuuliza ili uendelee kucheka vizuri au nenda ka google kisha uje na majibu. Nimekuona wewe sio msomaji mpaka ugoogle kwanza.
Watu wawili tofaut
Ukiona Nimepuuza Swali ujue Kwangu ni swali la kitoto na huwa sijihisi kujibu Maana ni kama kuwa Mtoto tu Umri wangu...nikiona Mtu ananiuliza swali la kitoto ni kama ananitukana
Siwezi kuwa kama wewe Kwasababu Mnajazwa Ujinga na Uongo...Huwezi kuwa kama Mimi hata kwa bahati mbaya sababu sisi tunasoma na kusomeshwa, kisha tunaelewa na kuhoji na kisha tunayahifadhi mambo.
Hakuna watu wajinga na wavivu wa kifikra kuwazidi nyinyi.
Unatka nikuthibitishie kwa Mantiki ipi..Usiseme tu kwamba uliniambia ulitakiwa uthibitishe ya kuwa Uyahudi ni kabila. Unaleta porojo, kama kusema tu kila mtu anaweza kusema anachotaka, kazi inakuja hapa kwenye ushahidi. Weka hata ushahidi wa uongo kuonyesha ya kuwa Uyahudi ulikuwa kabila
Thibitisha jibu lako.
Benyamini pia unakataa 😅😅😅...Hii Historia umeusoma wapi kijana ? Hakuna mwanahistoria yoyote aliyesema Yuda na Bin Yamini yalikuwa makabila. Kwenye yale makundi mawili kilikuwa na makabila yaliyotokana na dhuria wa hao wawili.
Weka mfano sahihi. Eti kabila la Ethiopia.
Kwanza kwa Umri wangu sidhani kama napaswa kuitwa kijana ila Ukiprefer kuniita hivyo pia sio mbya..Thibitisha jibu lako.
Hii Historia umeusoma wapi kijana ? Hakuna mwanahistoria yoyote aliyesema Yuda na Bin Yamini yalikuwa makabila. Kwenye yale makundi mawili kilikuwa na makabila yaliyotokana na dhuria wa hao wawili.
Mkuu Mungu yupo, sema nini, tumeingia kwenye hizi dini tumeingia bila evidence, tulikuwa na mambo yetu, dini zilipokuja tukazama mazima bila kuuliza evidence za uwepo wa Mungu ,tuliingia kwa imani tu ,basiMarekani ni nchi iliyoanzishwa na ma Freemasons, sharti kubwa la ma Freemason ni kuamini katika Mungu, huwezi kujiunga na ma Freemasons kama huamini Mungu. Mtu kama mimi nisiyeamini Mungu siruhusiwi kujiunga na Freemasons, ila Mkristo, Muislamu au yeyote anayeamini Mungu anaruhusiwa kujiunga na Freemasons.
Hiyo US dollar si tu ina maneno hayo ya "In God We Trust" bali pia ina alama za Freemasons. Most of US presidents were Freemasons.
Hapo pote hakuna linalothibitisha Mungu yupo. Kuna linalothibitishabkuwa walioanzisha taifa la Marekani walikuwa na imani za ki Freemason mpaka kufanya hela yao iwe na alama za ki Freemason.
atakuambia uislam ulikuwepo tangu mwanzo wa dunia,Adam alikuwa muislam, wakati huohuo kuonyesha kuwa mtume ni wa maana sana kuliko sisi, tunaambiwa yeye ndo muislam wa kwanza.Basi huna ulijualo kuhusu Dini ya kiyahudi Ninayo barua ya Mwka 112 ambayo hata uislamu bado ulikuwa haujaanza kuwepo ila neno Iudaismos (Judaism) limetajwa..Vipi unazungumziaje hilo swala...