Sasa unajitia aibu wewe ndio maana nimekuwekea ukurasa wa miongoni mwa vitabu ninavyo soma kuhusu Historia ya Uyahudi
Inamaana hujaona katika hiyo kurasa ikisema Talmud ziko za aina mbili ? Unakuja tena kuniambia Mimi ziko za aina mbili ?Kijana vipi ? Kumbe hata Kiarabu hukijui ?
Nukta ya pili kuhusu ombi langu au swali langu, ni kuwa niwekee hizo nyororo za masimulizi zifike mpaka kwa Musa wanae kinasibu nae.
Sasa bila shaka ushapona nani anajiaibisha kati yangu Mimi na wewe.
Ukiona nimepuuza kitu sio kwamba sikukisoma Bwana Mdogo ila nimekiona hakijatosha kuwa na ukweli...
Wowote na nimeona hakina Worth mimi kukizungumzia..
Hayo maelezo yako kuhusu Talmud 😅😅 ni ya kitoto sana.. unaweza ukamnasa Mbumbumbu asiyezijua hizo Dini na Propaganda zake..
Kwanza Talmud haikuanza katika karne ya 11 AD, Ni mpuuzi tu ndo anayeweza kusema hivyo..
Na kama ndvyo wanavyowafundisha hivyo basi wanaongeza watu wasio na elimu huku mkijisifu mna elimu...
Nimekwambia kwanza huwezi kwenda kutafuta Historia ya Wayahudi kwa Warabu...😅😅
Kidogo ningekuona Una karibiana na Ukweli ungeniambia baada ya 70 AD 😅😅..
Kutaja aina za Talmud hakuifanyi hiyo Doccuments kuwa sahihi...
Sasa unakuja Kuzungumza kuhusu Karaite Jews watu ambao wamejitenga kwenye Jews karne ya 8..
Na hapo ndo niliona sina haja ya kuendelea kujibu hiyo Doccuments uchwara yenye Full of contradiction...
Sasa nisikilize
Karaite walijitenga karne ya 8 AD wakasema wao wanaweza kutafsiri Torah bila msaada wa Talmud na narrative yoyote..
Kijidoccument chako kinasema Talmud imeanza kuwa decided karne ya 11 AD na wayahudi..
Sasa hao Karaite walijitenga kabla ya Talmud halafu baadae Talmud ikaja baada ya kujitenga..
Full of contradiction...
Kwanza Talmud sio النِّظَام Al-Nizam Talmud ni masimulizi ya Torah..
Ningekuona Unajua kama ungetaja Aggadah na Halakhah kama النِّظَام..
Kuna sehemu Nimeona imeandikwa
"وقد
يخالف بعض نصوص التوراة"
(Wa qad yukhalifu ba'd nusus al-Torah)
Kabisa halafu unataka niiamini Authentification ya Doccument yako...
Hebu nionyeshe vipengele vinavyoenda kinyume na Talmud..Au Talmud mahaki inapoenda kinyume na Torah
Nenda ksome kuhusu Talmud Bado unatia Aibu sana kutaka kuelezea Talmud Kupitia wanazuoni wa Kiislamu..katafute Marabbi wakufundishe maana huna unalojua..