Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Bwana mdogo hata nikiijua itanisaidia nini..
Kwa sasa nijifunze hayo maneno yatanisaidia nini!
Kwanza kabisa bwana mdogo sipo katika kubishana hata kidogo cha kwanza hicho ukielewe
Sasa kwa muktadha huo wa Dini Hiyo ndo ilikuwa Dini yao na njia yao..

Tofauti unalazmisha Ulichosoma katika uislamu kiwe sawa n kilichopo katika utahudi Mkuu Theology haiendi hivyo ingekuwa Rahidi hivyo ningesoma Hiindu halafu ningetaka kiwe sawa na cha Buddha.....

Ungejua maana ya dini usingekosea katika kuwaelezea Mayahudi, kwa kutokujua kwako Uyahudi ni dini ukajenga hoja ya kitoto kwamba ni kabila huku ukionyesha wazi ya kuwa ni dini. Mpaka hapa unalazimika kujua maana ya maneno.

Hakuna anayetaka hiki kiwe sawa na hiki, na ndio kila dini ina machimbuko yake, maisha yetu yote tunaishi kuutafuta ukweli. Ndio maana watu wanafanya utafiti, wanajua hiki Cha kweli na hiki Cha uongo. Sasa unapo kuja na marejeo ya uongo ambayo yapo wazi tangu zamani wewe unatoka katika ulimwengu wa wasomi.
 
Sasa hii ndio dini, niwekee hiyo minyororo ya masimulizi hata mmoja.

Hii Sasa ndio maana ya Talmud. Soma hapa :
Ulisoma nilichoandika?
Sasa nakushauri kama kaka Yako Maana unachokifanya Sasa nikujitia Aibu tu Mbele za watu.. na kwa bahati mbaya hata Talmud ziko Aina mbili unatakiwa ujue Asili yake na jinsi ilivyo
Sasa Kama utaweza tafuta Vitabu vifuatavyo...ili angalau uweze kuhadithia Historia ya wayahudi mbele za watu..
Screenshot_20231123-010455.png

Screenshot_20231123-010338.png

Screenshot_20231123-010418.png
Screenshot_20231123-010612.png

Screenshot_20231123-010701.png
 
Ungejua maana ya dini usingekosea katika kuwaelezea Mayahudi, kwa kutokujua kwako Uyahudi ni dini ukajenga hoja ya kitoto kwamba ni kabila huku ukionyesha wazi ya kuwa ni dini. Mpaka hapa unalazimika kujua maana ya maneno.

Hakuna anayetaka hiki kiwe sawa na hiki, na ndio kila dini ina machimbuko yake, maisha yetu yote tunaishi kuutafuta ukweli. Ndio maana watu wanafanya utafiti, wanajua hiki Cha kweli na hiki Cha uongo. Sasa unapo kuja na marejeo ya uongo ambayo yapo wazi tangu zamani wewe unatoka katika ulimwengu wa wasomi.
Hii ndo Comment yangu ya mwisho kwako maana nimeona kwa akili yako hatutaweza kufika popote na Mjadala huu haunisaidii kitu..

Nimekujibu vizuri ila nafikiri akili yako ndo inatatizo kubwa sana japo sikulaumu kabla sijawa nilivyo nilikuwa kama wewe...

Narudia Tena..
Nilikujibu hivi Uyahudi Lilikuwa kabila la (Yahuda) au Yuda...>> Baadae ukawa ni Ufalme (Tawala ) Yaani Yuda au Judeans ambalo liliunganika makabila mawili Yuda na Benyamini...>>> Baadae ikawa ni mienendo yao ya kuishi yaani utamaduni wa kiyahudi na itikadi kadri walivyopewa na Mungu wao....(Kwa tafsiri Dini)...

Mfano....Kabila la Ehiopia >>> Baadae Wawe n Taifa la ethipia >>>Badae wawe na utmaduni wa Kiiethiopia waliorithi kitoka kwa mababu..

Nikiwaita waEthiopia unafikiri ntakuwa naita kabila Dini au utaifa wao...
Tumia sana Ubongo unapokuwa unajibu hoja
Asante sana ilikuwa vyema kukutna na ww

Japo nataraji siku moja utaondoka kwenye kifungo hicho
 
Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.

Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"

Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!

Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.

Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!

Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.

Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?

Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?

Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?

Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.

Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!

Atheists make sense than who are not
Well said
 
In God We Trust, Ni neno ambalo lipo kwenye pesa ya Taifa la marekani ( Dollar ), je huwa wanamaanisha nini kwa unavyoelewa ?

Kama hauelewi, Jibu tu kuwa hauelewi na kama unaelewa nasubiri majibu yako.
We niambie wamemaanisha nini
 
Ulisoma nilichoandika?
Sasa nakushauri kama kaka Yako Maana unachokifanya Sasa nikujitia Aibu tu Mbele za watu.. na kwa bahati mbaya hata Talmud ziko Aina mbili unatakiwa ujue Asili yake na jinsi ilivyo
Sasa Kama utaweza tafuta Vitabu vifuatavyo...ili angalau uweze kuhadithia Historia ya wayahudi mbele za watu..
View attachment 2822101
View attachment 2822102
View attachment 2822103View attachment 2822100
View attachment 2822099
Sasa unajitia aibu wewe ndio maana nimekuwekea ukurasa wa miongoni mwa vitabu ninavyo soma kuhusu Historia ya Uyahudi

Inamaana hujaona katika hiyo kurasa ikisema Talmud ziko za aina mbili ? Unakuja tena kuniambia Mimi ziko za aina mbili ?Kijana vipi ? Kumbe hata Kiarabu hukijui ?

Nukta ya pili kuhusu ombi langu au swali langu, ni kuwa niwekee hizo nyororo za masimulizi zifike mpaka kwa Musa wanae kinasibu nae.

Sasa bila shaka ushapona nani anajiaibisha kati yangu Mimi na wewe.
 
Unajua ku assume kama unajua kila kitu duniani ni kiwango cha juu sana cha Ego.

Wewe Kwa mawazo yako uchawi ni kitu ambacho hakipo,...lakini kama kweli upo serious,...nitakupeleka sehemu uchawi unauzwa sokoni na jamaa wa Kimasai wanauita "Ukubwa" cha msingi andaa nauli yako na 700k ya kunilipa Kwa ajili ya kukufungulia Dunia.

Alaa.

Aisee sikuisoma hii reply

Nipeleke haraka sana kuna mjinga mmoja kanidhulumu shamba ni deal naye kwa muktadha huu [emoji23]
 
Marekani ni nchi iliyoanzishwa na ma Freemasons, sharti kubwa la ma Freemason ni kuamini katika Mungu, huwezi kujiunga na ma Freemasons kama huamini Mungu. Mtu kama mimi nisiyeamini Mungu siruhusiwi kujiunga na Freemasons, ila Mkristo, Muislamu au yeyote anayeamini Mungu anaruhusiwa kujiunga na Freemasons.

Hiyo US dollar si tu ina maneno hayo ya "In God We Trust" bali pia ina alama za Freemasons. Most of US presidents were Freemasons.

Hapo pote hakuna linalothibitisha Mungu yupo. Kuna linalothibitishabkuwa walioanzisha taifa la Marekani walikuwa na imani za ki Freemason mpaka kufanya hela yao iwe na alama za ki Freemason.
😂Eeeh I thought hayo Mambo ni conspiracy Kiranga...mbona unaamini conspiracies asa
 
Yaani wewe sasa ndo umenifnya nicheke kwa swali lako mdogo angu...
Jibu swali nililo kuuliza ili uendelee kucheka vizuri au nenda ka google kisha uje na majibu. Nimekuona wewe sio msomaji mpaka ugoogle kwanza.
 
Hii ndo Comment yangu ya mwisho kwako maana nimeona kwa akili yako hatutaweza kufika popote na Mjadala huu haunisaidii kitu..

Nimekujibu vizuri ila nafikiri akili yako ndo inatatizo kubwa sana japo sikulaumu kabla sijawa nilivyo nilikuwa kama wewe...
Huwezi kuwa kama Mimi hata kwa bahati mbaya sababu sisi tunasoma na kusomeshwa, kisha tunaelewa na kuhoji na kisha tunayahifadhi mambo.

Hakuna watu wajinga na wavivu wa kifikra kuwazidi nyinyi.

Usiseme tu kwamba uliniambia ulitakiwa uthibitishe ya kuwa Uyahudi ni kabila. Unaleta porojo, kama kusema tu kila mtu anaweza kusema anachotaka, kazi inakuja hapa kwenye ushahidi. Weka hata ushahidi wa uongo kuonyesha ya kuwa Uyahudi ulikuwa kabila
Narudia Tena..
Nilikujibu hivi Uyahudi Lilikuwa kabila la (Yahuda) au Yuda...>> Baadae ukawa ni Ufalme (Tawala ) Yaani Yuda au Judeans ambalo liliunganika makabila mawili Yuda na Benyamini...>>> Baadae ikawa ni mienendo yao ya kuishi yaani utamaduni wa kiyahudi na itikadi kadri walivyopewa na Mungu wao....(Kwa tafsiri Dini)...
Thibitisha jibu lako.

Hii Historia umeusoma wapi kijana ? Hakuna mwanahistoria yoyote aliyesema Yuda na Bin Yamini yalikuwa makabila. Kwenye yale makundi mawili kilikuwa na makabila yaliyotokana na dhuria wa hao wawili.
Mfano....Kabila la Ehiopia >>> Baadae Wawe n Taifa la ethipia >>>Badae wawe na utmaduni wa Kiiethiopia waliorithi kitoka kwa mababu..
Weka mfano sahihi. Eti kabila la Ethiopia.
 
Sasa unajitia aibu wewe ndio maana nimekuwekea ukurasa wa miongoni mwa vitabu ninavyo soma kuhusu Historia ya Uyahudi

Inamaana hujaona katika hiyo kurasa ikisema Talmud ziko za aina mbili ? Unakuja tena kuniambia Mimi ziko za aina mbili ?Kijana vipi ? Kumbe hata Kiarabu hukijui ?

Nukta ya pili kuhusu ombi langu au swali langu, ni kuwa niwekee hizo nyororo za masimulizi zifike mpaka kwa Musa wanae kinasibu nae.

Sasa bila shaka ushapona nani anajiaibisha kati yangu Mimi na wewe.
Ukiona nimepuuza kitu sio kwamba sikukisoma Bwana Mdogo ila nimekiona hakijatosha kuwa na ukweli...
Wowote na nimeona hakina Worth mimi kukizungumzia..

Hayo maelezo yako kuhusu Talmud 😅😅 ni ya kitoto sana.. unaweza ukamnasa Mbumbumbu asiyezijua hizo Dini na Propaganda zake..

Kwanza Talmud haikuanza katika karne ya 11 AD, Ni mpuuzi tu ndo anayeweza kusema hivyo..
Na kama ndvyo wanavyowafundisha hivyo basi wanaongeza watu wasio na elimu huku mkijisifu mna elimu...

Nimekwambia kwanza huwezi kwenda kutafuta Historia ya Wayahudi kwa Warabu...😅😅
Kidogo ningekuona Una karibiana na Ukweli ungeniambia baada ya 70 AD 😅😅..

Kutaja aina za Talmud hakuifanyi hiyo Doccuments kuwa sahihi...

Sasa unakuja Kuzungumza kuhusu Karaite Jews watu ambao wamejitenga kwenye Jews karne ya 8..

Na hapo ndo niliona sina haja ya kuendelea kujibu hiyo Doccuments uchwara yenye Full of contradiction...

Sasa nisikilize
Karaite walijitenga karne ya 8 AD wakasema wao wanaweza kutafsiri Torah bila msaada wa Talmud na narrative yoyote..
Kijidoccument chako kinasema Talmud imeanza kuwa decided karne ya 11 AD na wayahudi..
Sasa hao Karaite walijitenga kabla ya Talmud halafu baadae Talmud ikaja baada ya kujitenga..
Full of contradiction...

Kwanza Talmud sio النِّظَام Al-Nizam Talmud ni masimulizi ya Torah..
Ningekuona Unajua kama ungetaja Aggadah na Halakhah kama النِّظَام..

Kuna sehemu Nimeona imeandikwa
"وقد يخالف بعض نصوص التوراة"

(Wa qad yukhalifu ba'd nusus al-Torah)

Kabisa halafu unataka niiamini Authentification ya Doccument yako...

Hebu nionyeshe vipengele vinavyoenda kinyume na Talmud..Au Talmud mahaki inapoenda kinyume na Torah

Nenda ksome kuhusu Talmud Bado unatia Aibu sana kutaka kuelezea Talmud Kupitia wanazuoni wa Kiislamu..katafute Marabbi wakufundishe maana huna unalojua..
 
Jibu swali nililo kuuliza ili uendelee kucheka vizuri au nenda ka google kisha uje na majibu. Nimekuona wewe sio msomaji mpaka ugoogle kwanza.
Ukiona Nimepuuza Swali ujue Kwangu ni swali la kitoto na huwa sijihisi kujibu Maana ni kama kuwa Mtoto tu Umri wangu...nikiona Mtu ananiuliza swali la kitoto ni kama ananitukana
 
Ukiona Nimepuuza Swali ujue Kwangu ni swali la kitoto na huwa sijihisi kujibu Maana ni kama kuwa Mtoto tu Umri wangu...nikiona Mtu ananiuliza swali la kitoto ni kama ananitukana

Mkuu huyo jamaa atakuchosha bure tu...... HAMNA MTU HAPO
 
Huwezi kuwa kama Mimi hata kwa bahati mbaya sababu sisi tunasoma na kusomeshwa, kisha tunaelewa na kuhoji na kisha tunayahifadhi mambo.

Hakuna watu wajinga na wavivu wa kifikra kuwazidi nyinyi.
Siwezi kuwa kama wewe Kwasababu Mnajazwa Ujinga na Uongo...
Nilikataa kuwa hivyo Siwezi kujazwa Ujinga na uongo wakati ukweli nauona na naujua na naishi nao fumbua macho mdogo wangu bado una nafasi...
Usiseme tu kwamba uliniambia ulitakiwa uthibitishe ya kuwa Uyahudi ni kabila. Unaleta porojo, kama kusema tu kila mtu anaweza kusema anachotaka, kazi inakuja hapa kwenye ushahidi. Weka hata ushahidi wa uongo kuonyesha ya kuwa Uyahudi ulikuwa kabila

Thibitisha jibu lako.
Unatka nikuthibitishie kwa Mantiki ipi..

Na hiyo inadhihirisha kwamba kutokutambua kabila la Yuda kunamaanisha hiyo elimu uliosoma yote Ni Bure..

Umeshindwa kujua Watawala.wote wa Waisrael walitoka kabila la Yuda?
Sauli,Daudi Suleiman na wengine?

Unataka uthibitisho wa kabila haya nitakupa...
Hapa chini Ni Aya ya Kwenye Torati Kipindi cha Musa akiambiwa Musa pamoja na mtoto wa Haruni Eliazari Akiambiwa kuhesabu makabila yote...
Inapatikana kwa wakristo HESABU 26:22
Kwa wayahudi Sefer Bemidbar (ספר במדבר) 26:22

וַיִּהְיוּ בְנֵי יְהוּדָה לְמִסְפָּרָם כָּל הַזְּכָרִים מִבֶּן עֶשְׂרִים שָׁנָה וָמַעְלָה כְּכֹל יֹצְאֵי צָבָאשְׁבַע וְאַרְבָּעִים אֶלֶף וְשֵׁשׁ מֵאוֹת

Na hivi ndo utamkwa..

vayihyu bene yehudhah lemisparam kol hazakhariym miben esrim shanah va'maalah kekol yotsei tzavahsheva va'arba'im elef veshesh me'ot

Umeona Neno Yehudhah hapo,..Ndiyo nadhani umeona..
Kwa kiswahili...

Hizi ndizo Kabila(Jamaa) za Yuda kama waliohesabiwa kwao, sabini na sita elfu na mia tano.

Sasa hii ndo sources ya kwanza kutoka kwenye Torah..
Zipo nyingi saaana ila kwa uelewa wako chukua hiyi kwanza..

Hii Historia umeusoma wapi kijana ? Hakuna mwanahistoria yoyote aliyesema Yuda na Bin Yamini yalikuwa makabila. Kwenye yale makundi mawili kilikuwa na makabila yaliyotokana na dhuria wa hao wawili.

Weka mfano sahihi. Eti kabila la Ethiopia.
Benyamini pia unakataa 😅😅😅...
Tatizo sijui mnasoma historia Ya wapi 😅😅
Ningekushauri chukua Reliable sources HAKUNA ISLAMIC SCOLAR ANAYEWEZA KUKUPA UKWELI KUHUSU HISTORIA YA UYAHUDI HATA MMOJA...

kwa sababu kwanza kabla ya kukupa Historia hiyo anachuki na anaowatolewa historia na anajiona bora kuliko Anayemtolea historia...
Na kama unajua kuchagua sources na unasema umesoma Historia mtu wa namna hiyo hawslezi kukuletea Story nzuri kuhusu mwenzake..

Hayo ndo makabila yaliyobaki baada ya ushambulio wa Ashuru
NARUDIA TENA FICHA AIBU YAKO
 
Thibitisha jibu lako.

Hii Historia umeusoma wapi kijana ? Hakuna mwanahistoria yoyote aliyesema Yuda na Bin Yamini yalikuwa makabila. Kwenye yale makundi mawili kilikuwa na makabila yaliyotokana na dhuria wa hao wawili.
Kwanza kwa Umri wangu sidhani kama napaswa kuitwa kijana ila Ukiprefer kuniita hivyo pia sio mbya..
Nimeshakuthibitishia kuhusu kabila...

Sasa nakuthibitishia kuhusu Utawala wao na enzi zao...
Yakobo kabla hajafa akitoa baraka kwa Yuda (Yahudha/Yahudi)...
Kuwa atakuwa kiongozi katika Israel yote na ndivyo ilivyokuwa...
Hizi ni moja ya Baraka za Yakobo kwa wanae 12..

Mwanzo 49:10

"Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda, Wala mfanya sheria kati ya miguu yake, Hata atakapokuja Yeye, mwenye milki, Ambaye mataifa watamtii."

kwahyo watawala wote walitka kabila la yuda sina haja ya kukutajia nafikiri unajua..

sasa kuhusu Makabila hayo kuungana nimeshakujibu na nilikupa reliabke source...Kuhusu Yuda kuwa Ufalme soma 1 Wafalme 14 yote ila ntakuonyesha kipassage kidogo...tu

Kwa wayahudi ספרי מלכים. א,
1 Sefer Melakhim 14:21
au kwa wakristo.
1 Wafalme 14:21
וַיִּמְלֹךְ רְחַבְעָם בֶּן שְׁלֹמֹה עַל
יְהוּדָה וְרְחַבְעָם בֶּן שְׁלֹמֹה מָלַךְ בִּירוּשָׁלִַם שָׁנָה אַחַת עֶשְׂרִים וְאַרְבָּעָה שָׁנָה וְשֵׁם אִמּוֹ נָעָמָה הָאֲמֹנִית

vayimlekh rehavoam ben shlomo al yehudhah verehavoam ben shlomo malakh birushalayim shanah eḥad esrim va'arba'im shanah veshemah immah naamah ha'ammonit

Kiswahili cha mama Samia

Naye Rehoboamu mwana wa Sulemani akatawala katika Yuda. Rehoboamu akaanza kutawala alipokuwa mwenye miaka arobaini na mmoja, akatawala miaka kumi na saba huko Yerusalemu, mji aliouchagua Bwana miongoni mwa kabila zote za Israeli, ili aliweke jina lake huko. Na jina la mamaye aliitwa Naama, Mwamoni...

maneno niliyowekea alama nyekundu humaanisha Yuda,Yehudi au Uyahudi au Yehudha..

nimekuonyesha Yahudi (Yehudha) kama Kabila nimekuonyesha kama Taifa..

CHA KUKUSHAURI MIMI SIO WATU WANAODANGANYIKA KWA VIPASSAGE VYA DOCCUMENTS BILA UTHIBITISHO..

SASA NAOMBA TURUDI KWENYE SWALI LANGU PENDWA,
NAOMBA UTHIBITISHE KUHUSU EXODUS..
TURUDI HUKO
 
Marekani ni nchi iliyoanzishwa na ma Freemasons, sharti kubwa la ma Freemason ni kuamini katika Mungu, huwezi kujiunga na ma Freemasons kama huamini Mungu. Mtu kama mimi nisiyeamini Mungu siruhusiwi kujiunga na Freemasons, ila Mkristo, Muislamu au yeyote anayeamini Mungu anaruhusiwa kujiunga na Freemasons.

Hiyo US dollar si tu ina maneno hayo ya "In God We Trust" bali pia ina alama za Freemasons. Most of US presidents were Freemasons.

Hapo pote hakuna linalothibitisha Mungu yupo. Kuna linalothibitishabkuwa walioanzisha taifa la Marekani walikuwa na imani za ki Freemason mpaka kufanya hela yao iwe na alama za ki Freemason.
Mkuu Mungu yupo, sema nini, tumeingia kwenye hizi dini tumeingia bila evidence, tulikuwa na mambo yetu, dini zilipokuja tukazama mazima bila kuuliza evidence za uwepo wa Mungu ,tuliingia kwa imani tu ,basi
Wengine tumefuata mkumbo kisa wazazi wetu ni waumini
Hoja zako zinatufikirisha sana
 
Basi huna ulijualo kuhusu Dini ya kiyahudi Ninayo barua ya Mwka 112 ambayo hata uislamu bado ulikuwa haujaanza kuwepo ila neno Iudaismos (Judaism) limetajwa..Vipi unazungumziaje hilo swala...
atakuambia uislam ulikuwepo tangu mwanzo wa dunia,Adam alikuwa muislam, wakati huohuo kuonyesha kuwa mtume ni wa maana sana kuliko sisi, tunaambiwa yeye ndo muislam wa kwanza.
yaani tunalishwa ujinga mwingi na tunaenda tu
 
Back
Top Bottom