Sasa kama hata kuandika hujui,. utajua vitu vikubwa kama hivyo?Ubajiaibisja mkuu huwezi kujaribu kuficha ujinga wako hata kidogo tu
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Genious huwa tunakosea kuandika maana akili iko fasta kuliko vidoleJitahidi ujue kuandika Kwanza.
Ahsante.
Anhaa kumbe wewe "Genious".. ndiyo maana unapata shida kwenye kuandika na kutofautisha Kati ya Genious na Genius.Genious huwa tunakosea kuandika maana akili iko fasta kuliko vidole
Sahihi kabisa, na ukisoma hilo andika limewataja watoto wa nabii Yakubu. Hoja yangu ipo pale uliposema Biblia imetaja Uyahudi kama kabila. Sijasema neno kabila, nimesema kabila la Wayahudi.Mwanzo 49:28 umeisoma au unaikwepa kuisoma ?
Neno Dhuria si miongoni mwa maneno yaliyotumika katika kiswahili wala kiebrania..
Kwahyo Ukislma Mwzo 49:28 INASEMA hayo ndyo makabila kumi na mbili..
Sasa umesema uonyeshwe neno kabila ila weww unaanza kulitafsiri utakavyo..
Umesema neno uyahudi au wayahudi alikuwepo nimekuonyesha unaleta mambo mengine mkuu mi naona nikuache uendelee na wengine naona unaniptezea muda tu
Sasa kwenye hayo makabila 12 yaliyotajwa Hakuna kabila la Yuda?Sahihi kabisa, na ukisoma hilo andika limewataja watoto wa nabii Yakubu. Hoja yangu ipo pale uliposema Biblia imetaja Uyahudi kama kabila. Sijasema neno kabila, nimesema kabila la Wayahudi.
Nilisema Uyahudi haukuwepo tangu anaondoka Musa, soma tena huko nyuma.
Mungu aliyetuumba mimi,wewe,mbingu,ardhi na kila kilichomo ndani ya ulemwengu huuMungu wa dini ipi?
Wewe uliumbwa au ulizaliwa!?Mungu aliyetuumba mimi,wewe,mbingu,ardhi na kila kilichomo ndani ya ulemwengu huu
NilizaliwaWewe uliumbwa au ulizaliwa!?
LakiniWewe uliumbwa au ulizaliwa!?
NimezaliwaWewe uliumbwa au ulizaliwa!?
Sasa huko unakosema Kuumbwa uliambiwa na nani?Lakini
Nimezaliwa
Niliumbwa na mwenyezi mungu alafu nikazaliwaSasa huko unakosema Kuumbwa uliambiwa na nani?
Sasa mbona unajichanganya Mwnyew..Niliumbwa na mwenyezi mungu alafu nikazaliwa
Naongelea kabila Uyahudi, kama ulivyosema. Hilo mosi lakini jalia Yuda lilikuwa ni kabila, kiuhalisia hapakuwa na kabila la Yuda kwa marejeo ya maandiko ulio weka yakitaja watoto 12 wa nabii Yakubu.Sasa kwenye hayo makabila 12 yaliyotajwa Hakuna kabila la Yuda?
Mkuu,Sasa kwenye hayo makabila 12 yaliyotajwa Hakuna kabila la Yuda?
😓Next up...utasema upepo hauonekani ila upo au sio..,😴hizi hoja za watoto wa la Saba si tushazikataa lakiniKuna msomi mmoja alishupaza shingo na kusema Mungu hayupo watu wakamwambia hana akili...msomi alikasirika sana kwa kuitwa hana akili akafoka na kusena anazo akili tena nyingi basi walewatu wakamwambia awaonyeshe akili zake jamaa akashindwa maana akili uthibitika kwa athari zake ndipo wakamwambia hata uwepo wa mungu unapimwa kwa kuangalia akili ya vitu vilivyo fanyika ...mfano mimekuambia ni biology ya viumbe hai ....tizama akili kubwa ya mfumo mzima wa biology ya binadamu umeumbika kwa mpangilio na akili kubwa je ....vipi vitu viumbike kwa mpangilio wenye akili kuwa kisha useme hakuna kitu chenye akili kubwa kilicho upangilia huo mpangilio ....
😴Alisema atarudi wakati wafuasi wake wapo wakafa..akasema atarudi kizazi kile..kikafa...unless aje na ukubwa wa Nini cjui ndo kila jicho litamwona..maana hata jua na ukubwa wote hauonekani kote..ila wenzako walijua dunia ni flat ndo maana wakasema hivyo..😅au ilikuwa mafumbo na walimaanisha kirohoHayo uliyo sema ...mbona kasema hatayafanya na kila jicho litaona na kila goti litapigwa .
Pata supu Kwa jibu zuri.Nadhani ingependeza zaidi ungetuambia wewe binafsi ni kitu gani umevumbua baada ya kuachana na hizo dini.
Ili tuamini kwamba kuna uhusiano hasi Kati ya dini na uvumbuzi.
😂Sio kazi yangu..mi sio mti..we unavyosema mungu kaumba Jani umeona akiliumba au umelikuta tu..na majani si yanakua naturally jamaniSahihisha namba 2, hakukuwa na haja ya kujibu ikiwa hoja zangu zimekulemea.
Umba Jani lenye uhai sio mtu unaanza KUONGEA mambo ya demu wangu!
Dogo acha undezi...
Nimemuuliza swali simple sijamtusi.. kama unadhani nimemtusi sawaWatoto wa siku hizi hawana uwezo wa Kujibu hoja..
Wakiona hana cha kujibu basi jiandae kwa Tusi, Kashfa, Dharau na kebei...
Ila ukiona Hivyo ujue Dawa imemuingia ipasavyo na ameshindwa kupangua