Niliumbwa na mwenyezi mungu alafu nikazaliwa
Sasa mbona unajichanganya Mwnyew..
Maana hakuna kilichoumbwa halafu kikazaliwa labda nikufahamishe kuwa...
Vyote hivyo ni vyanzo vya uhai wa kitu...
Kuumbwa ni sawa na kusema kutengenezwa....
Huwezi kuumbwa na Kuzaliwa kwa wakati mmoja lazma kilifanyika kimoja...
Kwa mfano kwa imani ya Ibrahimic zote..
Adam aliumbwa na hakuzaliwa, Hawa aliumbwa na hakuzaliwa..
Huwezi kusema Adam alizaliwa na Mungu..
Ila utasema Adam aliumbwa na Mungu...
So its either ujieleze kwa kimoja kati ya hivyo maybe utaamua kuwa mgumu wa kutaka kutoeleweka..
Kifupi hakuna hata mmoja ataniambia kwamba aliumbwa ....Hakuna mtu hufunyanga udongo Tumboni kwa mama yako Hata Mara moja vyote vinavyofanyika ni cells Generation inayopelekea Embryology mpaka unakuwa na unazaliwa...
Sasa niambie kini wwe uliumbwa