Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Genious huwa tunakosea kuandika maana akili iko fasta kuliko vidole
Anhaa kumbe wewe "Genious".. ndiyo maana unapata shida kwenye kuandika na kutofautisha Kati ya Genious na Genius.

Jitahidi ufike level ya kuwa "GENIUS".....🤝
 
Mwanzo 49:28 umeisoma au unaikwepa kuisoma ?
Neno Dhuria si miongoni mwa maneno yaliyotumika katika kiswahili wala kiebrania..
Kwahyo Ukislma Mwzo 49:28 INASEMA hayo ndyo makabila kumi na mbili..

Sasa umesema uonyeshwe neno kabila ila weww unaanza kulitafsiri utakavyo..

Umesema neno uyahudi au wayahudi alikuwepo nimekuonyesha unaleta mambo mengine mkuu mi naona nikuache uendelee na wengine naona unaniptezea muda tu
Sahihi kabisa, na ukisoma hilo andika limewataja watoto wa nabii Yakubu. Hoja yangu ipo pale uliposema Biblia imetaja Uyahudi kama kabila. Sijasema neno kabila, nimesema kabila la Wayahudi.

Nilisema Uyahudi haukuwepo tangu anaondoka Musa, soma tena huko nyuma.
 
Sahihi kabisa, na ukisoma hilo andika limewataja watoto wa nabii Yakubu. Hoja yangu ipo pale uliposema Biblia imetaja Uyahudi kama kabila. Sijasema neno kabila, nimesema kabila la Wayahudi.

Nilisema Uyahudi haukuwepo tangu anaondoka Musa, soma tena huko nyuma.
Sasa kwenye hayo makabila 12 yaliyotajwa Hakuna kabila la Yuda?
 
Niliumbwa na mwenyezi mungu alafu nikazaliwa
Sasa mbona unajichanganya Mwnyew..
Maana hakuna kilichoumbwa halafu kikazaliwa labda nikufahamishe kuwa...
Vyote hivyo ni vyanzo vya uhai wa kitu...

Kuumbwa ni sawa na kusema kutengenezwa....
Huwezi kuumbwa na Kuzaliwa kwa wakati mmoja lazma kilifanyika kimoja...

Kwa mfano kwa imani ya Ibrahimic zote..
Adam aliumbwa na hakuzaliwa, Hawa aliumbwa na hakuzaliwa..
Huwezi kusema Adam alizaliwa na Mungu..
Ila utasema Adam aliumbwa na Mungu...

So its either ujieleze kwa kimoja kati ya hivyo maybe utaamua kuwa mgumu wa kutaka kutoeleweka..

Kifupi hakuna hata mmoja ataniambia kwamba aliumbwa ....Hakuna mtu hufunyanga udongo Tumboni kwa mama yako Hata Mara moja vyote vinavyofanyika ni cells Generation inayopelekea Embryology mpaka unakuwa na unazaliwa...

Sasa niambie kini wwe uliumbwa
 
Sasa kwenye hayo makabila 12 yaliyotajwa Hakuna kabila la Yuda?
Naongelea kabila Uyahudi, kama ulivyosema. Hilo mosi lakini jalia Yuda lilikuwa ni kabila, kiuhalisia hapakuwa na kabila la Yuda kwa marejeo ya maandiko ulio weka yakitaja watoto 12 wa nabii Yakubu.
 
Sasa kwenye hayo makabila 12 yaliyotajwa Hakuna kabila la Yuda?
Mkuu,
Being fool it’s only pain to others. kila anayekufatilia ameona jinsi majibu yako yalivyo itoshe kusema ameamua kuwa mpumbavu kutoka katika ujinga wake. Tunashukuru kwa elimu hii.

Kama hataki kuelewa achana nae tushaona weupe wake kichwani.
 
Kuna msomi mmoja alishupaza shingo na kusema Mungu hayupo watu wakamwambia hana akili...msomi alikasirika sana kwa kuitwa hana akili akafoka na kusena anazo akili tena nyingi basi walewatu wakamwambia awaonyeshe akili zake jamaa akashindwa maana akili uthibitika kwa athari zake ndipo wakamwambia hata uwepo wa mungu unapimwa kwa kuangalia akili ya vitu vilivyo fanyika ...mfano mimekuambia ni biology ya viumbe hai ....tizama akili kubwa ya mfumo mzima wa biology ya binadamu umeumbika kwa mpangilio na akili kubwa je ....vipi vitu viumbike kwa mpangilio wenye akili kuwa kisha useme hakuna kitu chenye akili kubwa kilicho upangilia huo mpangilio ....
😓Next up...utasema upepo hauonekani ila upo au sio..,😴hizi hoja za watoto wa la Saba si tushazikataa lakini
 
Hayo uliyo sema ...mbona kasema hatayafanya na kila jicho litaona na kila goti litapigwa .
😴Alisema atarudi wakati wafuasi wake wapo wakafa..akasema atarudi kizazi kile..kikafa...unless aje na ukubwa wa Nini cjui ndo kila jicho litamwona..maana hata jua na ukubwa wote hauonekani kote..ila wenzako walijua dunia ni flat ndo maana wakasema hivyo..😅au ilikuwa mafumbo na walimaanisha kiroho
 
Nadhani ingependeza zaidi ungetuambia wewe binafsi ni kitu gani umevumbua baada ya kuachana na hizo dini.

Ili tuamini kwamba kuna uhusiano hasi Kati ya dini na uvumbuzi.
Pata supu Kwa jibu zuri.
 
Sahihisha namba 2, hakukuwa na haja ya kujibu ikiwa hoja zangu zimekulemea.

Umba Jani lenye uhai sio mtu unaanza KUONGEA mambo ya demu wangu!

Dogo acha undezi...
😂Sio kazi yangu..mi sio mti..we unavyosema mungu kaumba Jani umeona akiliumba au umelikuta tu..na majani si yanakua naturally jamani
 
Watoto wa siku hizi hawana uwezo wa Kujibu hoja..
Wakiona hana cha kujibu basi jiandae kwa Tusi, Kashfa, Dharau na kebei...
Ila ukiona Hivyo ujue Dawa imemuingia ipasavyo na ameshindwa kupangua
Nimemuuliza swali simple sijamtusi.. kama unadhani nimemtusi sawa
 
Back
Top Bottom