Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Nipe Evidence ya Uumbaji vinginevyo utakuwa unaongea Porojo tu..
Mpaka sasa Evidence zilizipo za kiumbe ni Proriferation of cells through cell division.. na Hapo ndo kuna maswala ya Meosis n Mitosis...
Sasa nataka nawewe uniambia nani anaweka mikono tumboni na kuunda..
Vitu vingine mviache kwenye Faith tu na sio mviingize kwenye uhalisia...

Story ya creation ipo kwenye Hizi dini zenu Tatu (Ibrahimic) tu kuwa kuna Mungu mmoja aliyeumba...

Ukienda kwenye Dini zingine kma samarian,Hindu ,Shinto,Buddha zenye umri mkubwa kuliko hata Dini zenu zote hawana Hizi mambo mlizoleta...

Sometime use even a single common sense uliyonayo ukiondoa hiyo faith
 
Katika swala la Ufanyikaji wa mwanadamu Ooh Yes nahisi Elimu ninayo tena kubwa sana na nakuruhusi Shoot any Swali kuhusu.. Embryology, Hata ukitaka pia Shoot kuhusu Cells na Physiology ya mwanadamu..
Huwezi kuingiza faith kwenye Reality hilo kaa ukijua
 
Hahah sasa Kama unaweza me nakuomba thibitisha Beyond Reasonable doubt kuwa kuna Uumbaji?
Mbona ni simple tu maana naona unaleta siasa zile tulizokuwa tunaongea kule kwenye Faith..
Huku tumekuja kwenye sayansi fanya hivyo
 
mwanzoni nilidhani mna hoja, kumbe ni kupinga tu hata vitu vilvyo wazi
 
Wewe ni stupid IQ....hata unachoongea ujui ...wanasayansi wote wanakubali kuwa vitu vyote vimeumbwa ila awakubali kuwa nguvu ya uumbaji inajitambua wao wanasema ni bahati tu... hivyo awakubali kuwa big bang ndiyo uumbaji wa mungu alio ufanya
 
Kakudanganya nani ?
 
Mwanasayansi gani huyo hebu nionyeshe...🤣🤣
Unatia huruma,punguza mihemko..

Nimekubali mimi kuwa Stupid IQ ila huoni ulichoandka kinakufanya uwe kama mimi?
 
[emoji29]Next up...utasema upepo hauonekani ila upo au sio..,[emoji42]hizi hoja za watoto wa la Saba si tushazikataa lakini
Wapumbavu kama nyinyi ndiyo mnasema hakuna mungu ila mmechanja chale za waganga wa kienyeji hadi matakoni ...unakuta mtu mshirikina wa waganga wa kienyeji(witchdoctor) ila anasema mungu hakuna
 
Mwanasayansi gani huyo hebu nionyeshe...[emoji1787][emoji1787]
Unatia huruma,punguza mihemko..

Nimekubali mimi kuwa Stupid IQ ila huoni ulichoandka kinakufanya uwe kama mimi?
Kwani dhana ya big bang maana yake nini wewe zuzu wa ccm...big bang maana yake ni kuumbika kwa vyote na mwanzo wa "time"
 
Kwani dhana ya big bang maana yake nini wewe zuzu wa ccm...big bang maana yake ni kuumbika kwa vyote na mwanzo wa "time"
Unajua tatizo lako kubwa Hta kama una hoja ni nini?
Haina ulazima kutukana kila unapowasilisha hoja zako...
Kutukana hakukufanyi kuonekana una hoja sana bali kuna kudhalilisha.....
Kuna wengine Sio watoto wala vijana kama wewe...
Tunachopenda ni kujibu hoja ya mtu mwenye staha na anayrjua kutoa hoja bila kutukana ...

So nakufunza kitu ukiwa kwenye kuwasilisha hoja Zuia Hisia kukutawala na Hasira Kuwa na Uvumilivu wa hoja ya mwenzako kama una la kuipinga jitahid kutumia Lugha nzuri...
Asante it was nice talking to you...
 
Mimi najua mafumbo yote ya biblia hayo maandiko ni fumbo tena yapo sahihi ...kuna jamaa aliuliza kitu kama chako hapa nikamjibu na hakuwa na hoja tena ...aliuliza je watu waliokufa kabla ya kufikiwa na dini watahukumiwa vipi nikampa jibu kamili
 
Basi kama unajibu hebu nijibu kwa hilo..

Ukitoka hapo nenda kwenye uzao wa yesu unijibu kwanini kuna contradiction
 
Basi kama unajibu hebu nijibu kwa hilo..

Ukitoka hapo nenda kwenye uzao wa yesu unijibu kwanini kuna contradiction
Sawa wewe umechanganya ufalme aliouleta yesu kristo na ufalme wa siku ya kiama ...kumbuka yesu aliulizwa wewe ni mfalme yeye akajibu...alizaliwa kwa ajili hiyo ila ufalme wake siyo wa dunia hii ...ndipo pilato akamwambia basi wewe ni mfalme ? Kitu usicho kijua wewe ni kwamba kuna ufalme wa yesu kikristo kuja kukomboa dunia na kuna ufalme wa yesu kristo kuja kuhukumu dunia hapo ufalme ambao ana uzungumzia yesu ni ule wa kuja kuikomboa dunia ndiyo huo ambao herode aliua mamia ya watoto ili kumuua yesu ...hivyo yesu anapo sema upo ndani yenu maana yake ni kumpokea yeye moyoni awe bwana na mwokozi ...ni kitu cha moyoni ...hata Yesu mwenyewe anasema nitakuja nikae ndani yenu ....ila kuhusu ufalme wa kuja yesu mara ya pili huo ndiyo ule wa kihama kila jicho litaona na kila goti litapigwa

TATIZO UMESHINDWA KUJUA TOFAUTI YA UFALME WA YESU KUJA MARA YA KWANZA NA UFALME WA YESU KUJA MARA YA PILI
 
Kama ungesoma nilicho kiandika usingeandika huu ujinga hili la kwanza. Nilikuonyesha ya kuwa uumbaji uko wa namba kadhaa. Kisha nikashindwa timisha ya kuwa kila chenye uhai kimeumbwa. Hili soma tena.

Kitu Cha pili ni kuhusu dini, hizo dini ulizo zitaja asili yake ni wanadamu na hakuna dini kongwe katika hizo kuzidi dini ya Uislamu, hili halipo. Sasa mkiwa mnaandika mambo kama hakikisheni mmeyasoma na kuyahakiki, eti unaandika kabisa kwamba Ubudha, Uhindi ni dini kabla ya Uislamu ? Hivi mnajua kwanini tupo hapa duniani ?

Ama tukirudi katika Sayansi haiwezi kukupa ukweli na uhalisia kuhusu uumbaji zaidi ya kile kinachodirikiwa na akili yako na ule mfumo ulio wekwa na mwanadamu.
 
Uhai wa mtoto tumboni mwa mama yake unapatikana vipi na wakati gani ?
 
Hahah sasa Kama unaweza me nakuomba thibitisha Beyond Reasonable doubt kuwa kuna Uumbaji?
Mbona ni simple tu maana naona unaleta siasa zile tulizokuwa tunaongea kule kwenye Faith..
Huku tumekuja kwenye sayansi fanya hivyo
Kuwepo kwako wewe tayari ni ithibati tosha ya kuwa uumbaji upo.
 
-ndio maana nawakubali sana watu wanaopenda kukaa kimya, kama kichwani huna kitu kaa kimya,
-anajitokeza dogo mmoja nyuma ya button na kusema vizazi na vizazi huko miaka 3000 ilopita yaani wafuasi wa dini mbali mbali ni lowminded pipo,
-sababu tu huyo dogo ameingia google na kupata maandishi kutoka kwa wahuni wa dunia hii
-dogo dini ni kwa watu wenye akili timamu wanaojua kuna mwanzo na mwisho kuna mwanga na giza,
-dogo hata kizazi ulichotoka wewe wapo mababu zako wanaishi kwenye ulimwengu ambao wewe huwezi kuona sababu kwanza hata hujui kua dini kupitia imani ndio kuna milango ya kwenda huko.
-dogo dini ni kitu kipo na kwa watu wote chagua unayotaka,
-hata usipochagua dini matendo yako na mambo yako yatakuchagulia dini kwenye ulimwengu usioona wewe
-mwisho uwe unakaa kimya usiniambie mimi mababu zangu wa miaka 5000 ilopita walokua wafuasi wa dini zao ni lowminded.
 
Wewe ni stupid IQ....hata unachoongea ujui ...wanasayansi wote wanakubali kuwa vitu vyote vimeumbwa ila awakubali kuwa nguvu ya uumbaji inajitambua wao wanasema ni bahati tu... hivyo awakubali kuwa big bang ndiyo uumbaji wa mungu alio ufanya
Wanasayansi wote wanakubali uumbaji????

Haya, huyu unayemjibu ni mwanasayansi, huoni ka unajichanganya?

Mwanasayansi A akiamini uumbaji haimaanini na B anaamini.

Mwanasayansi anayeamini uumbaji naye kapotoka...ameacha vile alivyosoma na kupractise na kuukabidhi ubongo kwa matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…