DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nipe Evidence ya Uumbaji vinginevyo utakuwa unaongea Porojo tu..Nani alikwambia kuumbwa sio mchakato ? Au kwako wewe kuumbwa ni mpaka ufinyangwe udongo ?
Shida niliyo Iona kwako ni kuwa hujui maana ya tamko kuumbwa. Kilicho kilicho hai kimeumbwa.
Allah ana namna tofauti za uumbaji, wapo alio waumba Mikono yake ambao ni Adamu na Hawa, na wapo alio waumba kwa kauli tu, kuwa kitu kikawa, na tupo sisi alio tuumba kutokana na mbegu za baba zetu tukaishi tumboni kwe mama zetu tukapuliziwa pumzi na kuzaliwa angalia tuko hai, bali wapo walio fia tumboni wapi Ile amezaliwa tu akafa.
Huu ndio uumbaji, hasemi yoyote kwamba hajaumbwa ila ni mtu mjinga na kipofu wa moyo na akili.
Mpaka sasa Evidence zilizipo za kiumbe ni Proriferation of cells through cell division.. na Hapo ndo kuna maswala ya Meosis n Mitosis...
Sasa nataka nawewe uniambia nani anaweka mikono tumboni na kuunda..
Vitu vingine mviache kwenye Faith tu na sio mviingize kwenye uhalisia...
Story ya creation ipo kwenye Hizi dini zenu Tatu (Ibrahimic) tu kuwa kuna Mungu mmoja aliyeumba...
Ukienda kwenye Dini zingine kma samarian,Hindu ,Shinto,Buddha zenye umri mkubwa kuliko hata Dini zenu zote hawana Hizi mambo mlizoleta...
Sometime use even a single common sense uliyonayo ukiondoa hiyo faith