SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
😓So unajuaje umeumbwa?Nani alikwambia kuumbwa sio mchakato ? Au kwako wewe kuumbwa ni mpaka ufinyangwe udongo ?
Shida niliyo Iona kwako ni kuwa hujui maana ya tamko kuumbwa. Kilicho kilicho hai kimeumbwa.
Allah ana namna tofauti za uumbaji, wapo alio waumba Mikono yake ambao ni Adamu na Hawa, na wapo alio waumba kwa kauli tu, kuwa kitu kikawa, na tupo sisi alio tuumba kutokana na mbegu za baba zetu tukaishi tumboni kwe mama zetu tukapuliziwa pumzi na kuzaliwa angalia tuko hai, bali wapo walio fia tumboni wapi Ile amezaliwa tu akafa.
Huu ndio uumbaji, hasemi yoyote kwamba hajaumbwa ila ni mtu mjinga na kipofu wa moyo na akili.
😓Niambie bac dunia nzima itamuonajeKakudanganya nani ?
😅Mkuu hamna mtu kasema Mungu hayupo...ni kwamba hoja zenu hazina mashikoWapumbavu kama nyinyi ndiyo mnasema hakuna mungu ila mmechanja chale za waganga wa kienyeji hadi matakoni ...unakuta mtu mshirikina wa waganga wa kienyeji(witchdoctor) ila anasema mungu hakuna
😴Siku hizi kila mkanganyiko au makosa ya biblia watu wanakimbilia kusema fumbo..😂afu wanatafsiri kivyao tafkiri mmeandika nyie au aliyeandika alikwambia ni nahau cjui kitendawili?Mimi najua mafumbo yote ya biblia hayo maandiko ni fumbo tena yapo sahihi ...kuna jamaa aliuliza kitu kama chako hapa nikamjibu na hakuwa na hoja tena ...aliuliza je watu waliokufa kabla ya kufikiwa na dini watahukumiwa vipi nikampa jibu kamili
Umeulizwa kuhusu contradictions za uzao..😂Sawa wewe umechanganya ufalme aliouleta yesu kristo na ufalme wa siku ya kiama ...kumbuka yesu aliulizwa wewe ni mfalme yeye akajibu...alizaliwa kwa ajili hiyo ila ufalme wake siyo wa dunia hii ...ndipo pilato akamwambia basi wewe ni mfalme ? Kitu usicho kijua wewe ni kwamba kuna ufalme wa yesu kikristo kuja kukomboa dunia na kuna ufalme wa yesu kristo kuja kuhukumu dunia hapo ufalme ambao ana uzungumzia yesu ni ule wawa kuja kuikomboa dunia ndiyo huo ambao herode aliua mamia ya watoto ili kumuua yesu ...hivyo yesu anapo sema upo ndani yenu maana yake ni kumpokea yeye moyoni awe bwana na mwokozi ...ni kitu cha moyoni ...hata Yesu mwenyewe anasema nitakuja nikae ndani yenu ....ila kuhusu ufalme wa kuja yesu mara ya pili huo ndiyo ule wa kihama kila jicho litaona na kila goti litapigwa
TATIZO UMESHINDWA KUJUA TOFAUTI YA UFALME WA YESU KUJA MARA YA KWANZA NA UFALME WA YESU KUJA MARA YA PILI
😴uislamu ni dini kongwe kwa sababu wameiba story ya wayahudi wakamwiba mtu wao wa kwanza afu wakamwita muislam..😂ni sawa marvel waibe superhero wa DC afu waseme ni waoKama ungesoma nilicho kiandika usingeandika huu ujinga hili la kwanza. Nilikuonyesha ya kuwa uumbaji uko wa namba kadhaa. Kisha nikashindwa timisha ya kuwa kila chenye uhai kimeumbwa. Hili soma tena.
Kitu Cha pili ni kuhusu dini, hizo dini ulizo zitaja asili yake ni wanadamu na hakuna dini kongwe katika hizo kuzidi dini ya Uislamu, hili halipo. Sasa mkiwa mnaandika mambo kama hakikisheni mmeyasoma na kuyahakiki, eti unaandika kabisa kwamba Ubudha, Uhindi ni dini kabla ya Uislamu ? Hivi mnajua kwanini tupo hapa duniani ?
Ama tukirudi katika Sayansi haiwezi kukupa ukweli na uhalisia kuhusu uumbaji zaidi ya kile kinachodirikiwa na akili yako na ule mfumo ulio wekwa na mwanadamu.
😂We chill usiogope najua mengiNgoja nikutajie makosa ya kiufundi mengine..Nikipaki hapa 🤣🤣
Uhai ni Nini kwanza? Tuelezee.. sperms ni hai? Yai ni hai? Je sperms na yai zimeumbwa na Mungu? Zina roho?Uhai wa mtoto tumboni mwa mama yake unapatikana vipi na wakati gani ?
Mababu zako waliamini jua linazama kwenye tope usiku na dunia ni flat na nyota ni ndogo kuliko mwezi, jua kuzunguka dunia...mvua kusababishwa na miujiza kutoka mbinguni etc... Kama unataka kufanana level za elimu na hao..sawa-ndio maana nawakubali sana watu wanaopenda kukaa kimya, kama kichwani huna kitu kaa kimya,
-anajitokeza dogo mmoja nyuma ya button na kusema vizazi na vizazi huko miaka 3000 ilopita yaani wafuasi wa dini mbali mbali ni lowminded pipo,
-sababu tu huyo dogo ameingia google na kupata maandishi kutoka kwa wahuni wa dunia hii
-dogo dini ni kwa watu wenye akili timamu wanaojua kuna mwanzo na mwisho kuna mwanga na giza,
-dogo hata kizazi ulichotoka wewe wapo mababu zako wanaishi kwenye ulimwengu ambao wewe huwezi kuona sababu kwanza hata hujui kua dini kupitia imani ndio kuna milango ya kwenda huko.
-dogo dini ni kitu kipo na kwa watu wote chagua unayotaka,
-hata usipochagua dini matendo yako na mambo yako yatakuchagulia dini kwenye ulimwengu usioona wewe
-mwisho uwe unakaa kimya usiniambie mimi mababu zangu wa miaka 5000 ilopita walokua wafuasi wa dini zao ni lowminded.
We unajua niniHizi elimu zenu za shule za kata zina wajaza ujinga sana kama mambo huyajui ni bora kuyaacha yalivyo ndugu.
😂Nasema ukweli tuWe jamaa Una matatizo Gani Lakin
1. Unajuaje Mungu ndo kakileta na sio tu watu wenye agenda zaoKwanini Bible ikosee, wakati ni kitabu kilochotoka Kwa mungu,?
Je mungu anakosea,? Je ni mitume wake ndio wanao kosea? ,na ni kwanini mitume wa mungu wakosee maagizo walio pewa na mungu.?
Je mungu anajua Haya makosa ,yaliotokea ?, Je mungu amechukua HATUA Gani kuthibiti Haya makosa.?
Je mungu anatambua Athari zitokanazo na makosa yaliyopo kwenye kitabu chake cha Bible?
Au tusema mungu kaacha Bora liende,je nani atakaye laumiwa baadae?
Okay sawa wewe uko upande Gani Sasa1. Unajuaje Mungu ndo kakileta na sio tu watu wenye agenda zao
2. Biblia Ina makosa kibao ndo maana Kuna madhehebu zaidi ya laki kila moja ikijaribu kuelewa kinamna vyake.
3. Why Mungu atumie watu kuandika kitabu Cha uzima, watu ambao wanaweza kukikosea
4. Unasema bible ni Cha Mungu ..wahindi wanasema kitabu chao waislamu wanasema Quran...so kipi ni Cha Mungu na kipi fake na why
5. Unasema bible ni Cha Mungu lakini hakina any useful information ambayo binadamu hawakuwa nayo back then... knowledge ya kizamani ndo Ile Ile...hawajaongelea germ theory, rain formation, tectonic plates, solar system, etc wanachosema ni dunia kuwa flat, anga kuwa ceiling, dunia kuwa na milingoti, jua kuzunguka dunia na nyota kuweza kuanguka(coz walijua ni vidogo)..
Bible ni kama vitabu vingine tu...manmadeOkay sawa wewe uko upande Gani Sasa
Una Imini Bible AU laa
Hoja zipo kama mtu ajui kuwa dhahabu pia ni energy utawezaje kumuelimisha kuhusu mungu[emoji28]Mkuu hamna mtu kasema Mungu hayupo...ni kwamba hoja zenu hazina mashiko
Soma tafsiri zangu ...hata wenye kuuliza maswali awarudi tena baada ya kukutana na tafsiri sahihi .....mimi siyo mkristo wala muislamu ila dini ya kweli ni ukristo sema siyo huu uliopo leo duniani ...huu uliopo ni uhuni wa ukristo[emoji42]Siku hizi kila mkanganyiko au makosa ya biblia watu wanakimbilia kusema fumbo..[emoji23]afu wanatafsiri kivyao tafkiri mmeandika nyie au aliyeandika alikwambia ni nahau cjui kitendawili?
Wewevumedanganywa makanisani ndiyo maana unaona makosa ila injili ya kweli mimi naijua na logic yake naijuaNgoja nikutajie makosa ya kiufundi mengine..Nikipaki hapa [emoji1787][emoji1787]
Bila shaka kabisa😅Yuko juu ya mbingu Saba na kiti chake au sio
Amesema hivyo aliye tuumba.😓So unajuaje umeumbwa?
Shida huwa inaanzia hapa, unaandika mambo ambayo hata nikikuuliza swali huwezi kunijibu kama ulivyo shindwa huko mwanzo, sababu unachokiandika huna unuzi nacho.😴uislamu ni dini kongwe kwa sababu wameiba story ya wayahudi wakamwiba mtu wao wa kwanza afu wakamwita muislam..😂ni sawa marvel waibe superhero wa DC afu waseme ni wao