1. Unajuaje Mungu ndo kakileta na sio tu watu wenye agenda zao
2. Biblia Ina makosa kibao ndo maana Kuna madhehebu zaidi ya laki kila moja ikijaribu kuelewa kinamna vyake.
3. Why Mungu atumie watu kuandika kitabu Cha uzima, watu ambao wanaweza kukikosea
4. Unasema bible ni Cha Mungu ..wahindi wanasema kitabu chao waislamu wanasema Quran...so kipi ni Cha Mungu na kipi fake na why
5. Unasema bible ni Cha Mungu lakini hakina any useful information ambayo binadamu hawakuwa nayo back then... knowledge ya kizamani ndo Ile Ile...hawajaongelea germ theory, rain formation, tectonic plates, solar system, etc wanachosema ni dunia kuwa flat, anga kuwa ceiling, dunia kuwa na milingoti, jua kuzunguka dunia na nyota kuweza kuanguka(coz walijua ni vidogo)..