Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Hoja zipo kama mtu ajui kuwa dhahabu pia ni energy utawezaje kumuelimisha kuhusu mungu
So dhahabu ni Mungu? Siku zote kitu ambacho hakipo au watu hawana uhakika matokeo yake ni kila mtu kubuni buni ndo maana Kuna dini buku na madhehebu zaidi ya laki huko...Mara Mungu ni roho mara energy Mara yupo kote..Mara sisi ni Mungu...etc tukubali hatujui tuishi lyf
 
Soma tafsiri zangu ...hata wenye kuuliza maswali awarudi tena baada ya kukutana na tafsiri sahihi .....mimi siyo mkristo wala muislamu ila dini ya kweli ni ukristo sema siyo huu uliopo leo duniani ...huu uliopo ni uhuni wa ukristo
We una tafsiri zako na wengine wanatafsiri zao na watu wanajibiwa maswali hivyo hivyo...so wote wahuni tu
 
Shida huwa inaanzia hapa, unaandika mambo ambayo hata nikikuuliza swali huwezi kunijibu kama ulivyo shindwa huko mwanzo, sababu unachokiandika huna unuzi nacho.

Thibitisha ukweli wa hichi ulichokiandika.
Islam imekuja baada ya Muhammad in the 7th century...😂huyo mudi hata ajikoshe vipi cjui Adam cjui nani ukweli ni kwamba Islam imeanza 7th century before that there was no Quran no mosques no 5 prayers no nothing...so acheni kujikosha
 
Umeongea point Sana mkuu
 
Tatizo lako wewe ujui hivyo unadhani wote awajui kama wewe .....mimi nimesoma vitabu vyote vya dini 2 kubwa.....injili imepotoshwa maana makanisani tena maana zote za msingi zilizo nguzo zimepotoshwa ...ila injili ipo sahihi kwa mwenye akili nzuri haina migongano sema nyinyi ndiyo mmevurugwa ma mafundisho ya madhehebu ya dini ambayo ni upotovu kwa asilimia 100%
 
We una tafsiri zako na wengine wanatafsiri zao na watu wanajibiwa maswali hivyo hivyo...so wote wahuni tu
Tafsiri zangu ni sahihi asilimia mia ndiyo maana hata wale wakristo wakija na ujinga wao nawakarisha bila ubishi ...yupo shehe alisema mimi nimepotea kudhani ukristo ndiyo dini sahihi ...nilimkalisha mwenyewe alikubali hoja zangu wewe ujawai kuzisikia popote ...huu ukristo uliopo leo ni upumbavu wakristo na waislamu wa leo awajui hata maana ya mtume ...mfano wakristo wa leo wanasema mtume ni kutumwa na mungu ...maana hiyo ni potovu....wakristo wa leo wanadanganya kuwa mungu anazo nafsi 3 huo ni uputovu .....wakristo wa leo wanadanganyana kuwa kristo alisurubiwa kwa ajili ya dhambi ya asili huo nao ni uongo na upotofu ....wakristo wa leo wanadanganyana kuwa kuna dhambi ya asili huo ni uongo na upotofu hayo ni baadhi tu na nina hoja zisizo na shaka juu ya hayo ... wakristo wa leo hawajui hata amri kumi za mungu ...ukiwauliza mbona amri ya usiue ilipo kuja mitume na manabii waliua hadi vitoto vichanga hawana majibu ....wakristo wa leo wanapotosha amri ya .. waeshimu baba yako na mama yako ...wao wameipotosha maana wameifanya hiyo amri kana kwamba mungu kasema wazazi hawana wajibu wa kuwaeshimu watoto wao ...lakini ukisoma maandiko hata mungu mwenye anasema "ukinieshimu nitakueshimu" basi ikiwa mungu mwenyewe anawaheshimu wadogo ninani aliye wafundisha wakristo kuwa heshima ni swala la mtoto kumweshimu mkubwa au mzazi tu ....huu ni baadhi ya upotofu na udharimu uliopo kwa wakristo wapumbavu
 
Asa mwambie huyo aliyoandika kazingua...we ukiandika barua ya kuomba kazi utaandika kimafumbo...au ukitoa tangazo au tahadhari.. Ile ni Novel mkuu
 
😴Bac anzisha dhehebu
 
Asa mwambie huyo aliyoandika kazingua...we ukiandika barua ya kuomba kazi utaandika kimafumbo...au ukitoa tangazo au tahadhari.. Ile ni Novel mkuu
Kila kitu kina sababu kufanya kilivyo fanya tatizo lako ujui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…