kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Angalia Wachina wanavyopiga mzigo, wewe umejifungia unasali yeye anapiga mzigo.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali yako ni mengi ila hayana logic uzao hauna umuhimu hata kama usinge tajwa kuwa nani kamzaa nani...ni sawa sawa na mwalimu alimuuliza madenge swali je ukiwa na maembe 10 wanzako wakakunyang'anya 6 utabaki na mangapi yeye akajibu kuwa nitapigana nao hadi niyapate maembe yangu ....jibu la hilo swali ni kwamba hata kusinge tajwa mtililiko wa ukoo maandiko yasinge kosa chochote katika mambo ya msingi ....mimi hapo sijaona tatizo la msingi lenye kuvuluga misingi ya dini na mungu na injili ....yapo maswali yenye nguvu sana nilitegemea ungeyauliza hayo....ningekuwa tayari kupoteza muda wangu kuku jobu ...kama lile swali lako la kwanza lilikuwa la msingi sanaLwiva namuita na SimbaMpole123 apitie pia hapa
Na kama utahisi kuna Mtu anauwezo wa kujibu Pia unaweza kumualika
Mkuu hizi contradiction kama ukiweza kuzijibu na kuonyesha Logic yake kama ulivyosema bhasi utakuwa Mkristo wa Kwanza Duniani kuzijibu...
na kama utajibu au yeyote atakayejibu nakaribisha hoja zake ziwe yakinifu zisizo na mihemko na matusi na kama ana swali anaweza kueleza pia...
haya nifatilie
Ntadeal na ukoo wa Yesu zipo Contradiction kibao sana naweza kutumia Siku hata Tatu naandika tu...
Sasa tuanze na Ukoo wa Yesu na hapa zipo nyingi ila ntadeal na chache
Ukoo wa Yesu umeandikwa katika Vitabu viwili vikubwa vya Injili cha kwanza Mathayo 1:1-16 na luka 3:23-38
sasa hapo nitakuomba ukavisome Maana hapa nitaelezea contradiction zake tu..
Sitaki kuingia kwenye zile contra mnazojibu jibu moja kuhusu Father lineage na Mother lineage leo niko Tofauti sana
Ok nitafanya kwa mtindo huu ntakuwa nauliza kwa mtindo wa swali halafu nakuonyesha Agano jipya lilivyosema halfu nakuonyesha uhalisia wake...
- Nani ni alikuwa Baba wa Sheatieli?
- ukisoma kwenye Mathayo inamtaja (Yekonia)(mathayo 1:12)
"Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;"
- Ukisoma katika Luka Baba wa Sheatieli wanataja ni Neri badala ya Yekonia (Luka 3:27)
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,
Which was the son of Joanna, which was the son of Rhesa, which was the son of Zorobabel, which was the son of Salathiel, which was the son of Neri,
Sasa hapo ndo utagundua kwamba Luka Alisema uongo na kama Luka kaweza kusema uongo katka mambo kadhaa je unaamini katika Injili yake yote ,Je ile dhana ya kuongozwa na Roho, Je roho alimdanganya Luka...?
Sasa Nani alikuwa Baba wa Sheatieli (Halisi)..
1 Mambo ya Nyakati 3:17-18
"Na wana wa Yekonia, huyo aliyechukuliwa mateka; wanawe Shealtieli, na Malkiramu, na Pedaya, na Shenazari, na Yekamia, na Hoshama, na Nedabia. "
Nafikiri umeona Hapo....
- Mtoto Yupi wa zerubabel Ambaye Ukoo wa Yesu unafuata Kutoka kwake?
- Mathayo (Kwenye mathayo 1:13) alimtaja Abihudi
"Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori"
- ila luka akasema hata sio yeye akatutajia Resa.. (Luka 3:27)
wa Yoana, wa Resa, wa Zerubabeli, wa Shealtieli, wa Neri,
Which was the son of Joanna, which was the son of Rhesa, which was the son of Zorobabel, which was the son of Salathiel, which was the son of Neri,
Sasa Hapa Ndo kuna kituko mkuu Kwani si Abihudi wala Resa wanaotambulika katika Historia ya Uyahudi wala historia ya Israel kuwepo! ni watu hewa hawa hawajulikani kokote na biblia haiwatambui kama Watoto wa Zerubabeli...
Soma
1 Mambo ya Nyakati 3:19-20
"Na wana wa Pedaya; Zerubabeli, na Shimei; na wana wa Zerubabeli; Meshulamu na Hanania; na Shelomithi alikuwa umbu lao na Hashuba, na Oheli, na Berekia, na Hasadia, na Yushab-Hesedi, watu watano.
And the sons of Pedaiah were, Zerubbabel, and Shimei: and the sons of Zerubbabel; Meshullam, and Hananiah, and Shelomith their sister:
And Hashubah, and Ohel, and Berechiah, and Hasadiah, Jushabhesed, five."
Sasa kama ulivyoona hapo Zerubabel ana watoto watano il si Abihudi wala Resa walio miongoni mwa watoto wake Je Roho mtakatifu aliwadanganya Luka na Mathayo?
- Nani alikuwa Baba wa Uzzia katika Ukoo wa Yesu?
- Mathayo alisema Yoram (Mathayo 1:8)
Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia;
Je ni kweli Yoram? kwenye ukoo original agana la kale linapinga kuwa baba wa uzia sio Yoram bali baba yake aliitwa Amaziah..
2 Mambo ya Nyakati 26:1
Na watu wote wa Yuda wakamtwaa Uzia, naye alikuwa mwenye miaka kumi na sita, wakamfanya awe mfalme mahali pa Amazia babaye.
Then all the people of Judah took Uzziah, who was sixteen years old, and made him king in the room of his father Amaziah.
- Nani alikuwa Baba wa Yekonia (Na hapa ndo kuna Siri kubwa sana mwenye masikio na Asikie)
- mathayo anasema kuwa alikuwa anaitwa Yosia /Josia
Mathayo 1:11
Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.
Sasa ukienda kwenye Ukoo Halisi Agano la kale huyo Josia/Yosia sio baba wa Yekonia ila baba wa Yekonia ni Yohoyakim...
1 Mambo ya Nyakati 3:16
Na wana wa Yehoyakimu ni hawa; mwanawe Yekonia, na mwanawe Sedekia.
And the sons of Jehoiakim: Jeconiah his son, Zedekiah his son.
unafikiri kwa nini walikwepa kuandika Baba halisi wa Yekonia Nitakupa Jibu na kama wangemuandika Basi ingemdisqualify Yesu kuwa Kiongozi wa wayahudi...(Tuendelee ili upate kunielewa zaidi)
Sasa kwanini hawakumuandika baba Halisi wa Yekonia na wakaweka baba Fake ambaye hayupo kabisa...
Kama wangeandika Baba wa Yekonia halisi Yehoyakim (Ambaye kiuhalisia Ndiye baba wa yesu halisi)
basi moja kwa hii Ingemdisqualify yesu Kuwa
Mfalme,Mwalimu wala mtawala ndani ya wayahudi wala Taifa lolote la Mungu!
kwanini
kwasababu Mungu alimlaani Yehoyakim Katika uzao (Ukoo) wa Daudi wote na kulaani kizazi chake kuwa hakuna kiongozi atakayetoka katika uzao wake...
Yeremia 36:30-31
Basi, BWANA aseme hivi, katika habari za Yehoyakimu, mfalme wa Yuda; Hatakuwa na mtu wa kukaa katika kiti cha enzi cha Daudi; na mzoga wake utatupwa nje wakati wa mchana upigwe kwa hari, na wakati wa usiku upigwe kwa baridi. Nami nitamwadhibu yeye, na wazao wake, na watumishi wake, kwa sababu ya uovu wao, nami nitaleta juu yao, na juu ya wenyeji wa Yerusalemu, na juu ya watu wa Yuda, mabaya yote niliyoyatamka juu yao, lakini hawakukubali kusikiliza.
Therefore thus saith the LORD of Jehoiakim king of Judah; He shall have none to sit upon the throne of David: and his dead body shall be cast out in the day to the heat, and in the night to the frost.
And I will punish him and his seed and his servants for their iniquity; and I will bring upon them, and upon the inhabitants of Jerusalem, and upon the men of Judah, all the evil that I have pronounced against them; but they hearkened not.
Sasa nakaribisha kama utawza zijibu hizi hoja chache kati ya nyingi...
Na kwa kufikiria kwa Haraka tu kwamba kitabu chebye Contradiction kama hizi hlafu utaje kwamba kina ngubu mnayoita Roho mtakatifu Its A joke Right ?
Neno ukristo alina tatizo lolote ni sawa na kusema wafuasi wa muhamadi yani wamuhamadi = wakristo ....muhamadi mwenyewe amesema kila mtume anao uma wake ...hivyo kusema wakristo au wayesu au wamuhamadi au wamusa au waisrael hayo ni majina tu ya wahusika wakuu na wafuasi waoHlafu ndo dini walioambiwa kwenye Biblia nashangaa wanataja Ukristo...
Yakobo 1:27
[27]Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
Pure religion and undefiled before God and the Father is this, To visit the fatherless and widows in their affliction, and to keep himself unspotted from the world.
Sayansi ipo wazi, hamna anaekukataza leo kanzisha teknolojia na uafrika wako isipokuwa waafrika ndio urasimu mwingi. Sayansi haijakataza Afrika kutengeneza Hata ndege mkitaka mradi tu ikidhi viwango. Sasa Jaribu kuanzisha dini mpya tofauti na uislamu na ukristo useme kulikuwa na nabii halafu uone kama wazungu watakubali.Wewe mwafrika umeibiwa na sayansi kuliko dini ila bado unaitetea na kuishobokea hapa. Watu wamaefikaje hapa africa kirahisi(sayansi) wamechimbaje vya kuchimba vyetu( sayansi) wameachaje neo colonialism ( sayansi) wamewezaje kukutamanisha wewe na kizazi chako fantasy world ikiwa na wao wanastruggle( sayansi) . Waliwatandikaje risasi babu zako( sayansi), wakatengenezaje mifumo ya kukutawala kwa misaada na malimbikizo makbwa ya madeni( sayansi). Je, vipi kuhusu kitendo cha kukuulia kizazi chako kwa magonjwa kama ukimwi na kuendelea kukupa madawa yanayoharibu kizazi chako( sayansi) na madudu kibao ni sayansi ila wewe kwako dini ndo inaiba sana.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Bhasi hapa nasadiki kuwa Kiranga na SimbaMpole123 wako sahihi kusema unatakiwa uachwe kwa sababu..Maswali yako ni mengi ila hayana logic uzao hauna umuhimu hata kama usinge tajwa kuwa nani kamzaa nani...ni sawa sawa na mwalimu alimuuliza madenge swali je ukiwa na maembe 10 wanzako wakakunyang'anya 6 utabaki na mangapi yeye akajibu kuwa nitapigana nao hadi niyapate maembe yangu ....jibu la hilo swali ni kwamba hata kusinge tajwa mtililiko wa ukoo maandiko yasinge kosa chochote katika mambo ya msingi ....mimi hapo sijaona tatizo la msingi lenye kuvuluga misingi ya dini na mungu na injili ....yapo maswali yenye nguvu sana nilitegemea ungeyauliza hayo....ningekuwa tayari kupoteza muda wangu kuku jobu ...kama lile swali lako la kwanza lilikuwa la msingi sana
Hao waislamu na wakristo Nyote mu UpotevuniNeno ukristo alina tatizo lolote ni sawa na kusema wafuasi wa muhamadi yani wamuhamadi = wakristo ....muhamadi mwenyewe amesema kila mtume anao uma wake ...hivyo kusema wakristo au wayesu au wamuhamadi au wamusa au waisrael hayo ni majina tu ya wahusika wakuu na wafuasi wao
Dini ni ujinga...I can believe in a god bila kuamini mudi alitokewa pangoni na malaika anayeongea kiarabu tuKILA MTU AENDELEE NA ANACHOAMINI
MIMI NAAMINI MUNGU YUPO NA ANAISHI
KAMA WEWE HUAMINI ENDELEA NA KUTOAMINI KWAKO MHIMU USISEME SISI TUNAOMWAMINI MUNGU NI WAJINGA
😂😂😂😂Mambo ya msingi, maisha ya Yesu yote Yana contradictions asa ukitoa contradictions unabaki na Nini...kuanzia kuzaliwa mpaka kufufuka Kuna contradictions kibaoMaswali yako ni mengi ila hayana logic uzao hauna umuhimu hata kama usinge tajwa kuwa nani kamzaa nani...ni sawa sawa na mwalimu alimuuliza madenge swali je ukiwa na maembe 10 wanzako wakakunyang'anya 6 utabaki na mangapi yeye akajibu kuwa nitapigana nao hadi niyapate maembe yangu ....jibu la hilo swali ni kwamba hata kusinge tajwa mtililiko wa ukoo maandiko yasinge kosa chochote katika mambo ya msingi ....mimi hapo sijaona tatizo la msingi lenye kuvuluga misingi ya dini na mungu na injili ....yapo maswali yenye nguvu sana nilitegemea ungeyauliza hayo....ningekuwa tayari kupoteza muda wangu kuku jobu ...kama lile swali lako la kwanza lilikuwa la msingi sana
Achana nae tu huyoBhasi hapa nasadiki kuwa Kiranga na SimbaMpole123 wako sahihi kusema unatakiwa uachwe kwa sababu..
Kwa mtu mwenye akili angeanza Kudoubt the existense ya Yesu kwa hizo logic arguemnts..
Mfano uliotoa hauendani logical arguements nilizokupa.
Ngoja nikupe mfano na pengine hii itakuwa the last argument kwa sababu naona weww sio mtu wa kuweka hoja ila kubishana...
Mfano: Juma alifahamika kutoka katika ukoo wa kifalme na alitakiwa arithi ufalme kwakuwa ni King's lineage aliyebaki sasa baada ya kuchunguza kwa makini tukagundua kuwa juma Hana shina lolote linalomuunganisha yeye na huo Ufalme na Amejaribu kuongeza uongo katika ukoo wake ili afanane na watoto wa kifalme lakini wazee wa ikulu wakapitia makabrasha wakasema kwamba hao watu anaowataka hawajasahi kuwepo kama Lineage ya kifalme....
Unafikiri Bado juma ataendelea kuwa mfalme?
Unafikiri Nani atamwamini Tema juma kwa kuwa ameweka uongo katika ukoo wake..
Sasa uislam na ukristo zote c dini zilizokuja na meli? wote ni wale wale tu, mie hapa ctetei dini, ninachotetea ni watu kuachana na upuuzi wa dini....Unaelewa historia ya Ireland? Kule wakatoliki na Anglikana walitoana macho. Si sawa na Shia na Suni? Kuna tofauti gani?
Hakuna toeni hoja kwenye mambo ya msingi siyo makosa ya kibinadamu ya kawaida[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya msingi, maisha ya Yesu yote Yana contradictions asa ukitoa contradictions unabaki na Nini...kuanzia kuzaliwa mpaka kufufuka Kuna contradictions kibao
Mpotevu ni mmoja tu ajuaye mema na mabaya kisha akatenda mabaya na kuacha memaHao waislamu na wakristo Nyote mu Upotevuni
Huu ni ujinga wa waafrikana,je mtu tu ndiye ameumbiwa kufufuka?Mimi najua mafumbo yote ya biblia hayo maandiko ni fumbo tena yapo sahihi ...kuna jamaa aliuliza kitu kama chako hapa nikamjibu na hakuwa na hoja tena ...aliuliza je watu waliokufa kabla ya kufikiwa na dini watahukumiwa vipi nikampa jibu kamili
Maandiko yana historia yake ndefu sana hadi kuna mikono ya wanadamu ndani yake ambao wameingiza mambo yao kwa tamaa zao za kidunia na kutafuta utukufu binafsi ndiyo maana leo kuna madhehebu pia ni upotovu ulio ingizwa na wanadamu kwa matamania yao binafsi hivyo unatakiwa kutumia akili kujua dini ni nini na mungu anataka nini kimsingiBhasi hapa nasadiki kuwa Kiranga na SimbaMpole123 wako sahihi kusema unatakiwa uachwe kwa sababu..
Kwa mtu mwenye akili angeanza Kudoubt the existense ya Yesu kwa hizo logic arguemnts..
Mfano uliotoa hauendani logical arguements nilizokupa.
Ngoja nikupe mfano na pengine hii itakuwa the last argument kwa sababu naona weww sio mtu wa kuweka hoja ila kubishana...
Mfano: Juma alifahamika kutoka katika ukoo wa kifalme na alitakiwa arithi ufalme kwakuwa ni King's lineage aliyebaki sasa baada ya kuchunguza kwa makini tukagundua kuwa juma Hana shina lolote linalomuunganisha yeye na huo Ufalme na Amejaribu kuongeza uongo katika ukoo wake ili afanane na watoto wa kifalme lakini wazee wa ikulu wakapitia makabrasha wakasema kwamba hao watu anaowataka hawajasahi kuwepo kama Lineage ya kifalme....
Unafikiri Bado juma ataendelea kuwa mfalme?
Unafikiri Nani atamwamini Tema juma kwa kuwa ameweka uongo katika ukoo wake..
Hivi unajua ufalme wa yesu au umelishwa na kukalilishwa habari za ufalme wa yesu?Sawa wewe umechanganya ufalme aliouleta yesu kristo na ufalme wa siku ya kiama ...kumbuka yesu aliulizwa wewe ni mfalme yeye akajibu...alizaliwa kwa ajili hiyo ila ufalme wake siyo wa dunia hii ...ndipo pilato akamwambia basi wewe ni mfalme ? Kitu usicho kijua wewe ni kwamba kuna ufalme wa yesu kikristo kuja kukomboa dunia na kuna ufalme wa yesu kristo kuja kuhukumu dunia hapo ufalme ambao ana uzungumzia yesu ni ule wa kuja kuikomboa dunia ndiyo huo ambao herode aliua mamia ya watoto ili kumuua yesu ...hivyo yesu anapo sema upo ndani yenu maana yake ni kumpokea yeye moyoni awe bwana na mwokozi ...ni kitu cha moyoni ...hata Yesu mwenyewe anasema nitakuja nikae ndani yenu ....ila kuhusu ufalme wa kuja yesu mara ya pili huo ndiyo ule wa kihama kila jicho litaona na kila goti litapigwa
TATIZO UMESHINDWA KUJUA TOFAUTI YA UFALME WA YESU KUJA MARA YA KWANZA NA UFALME WA YESU KUJA MARA YA PILI
Hata kati ya binadamu siyo wote wanahesabiwa dhambi wapo wagonjwa awa akili baadhi awahesabiwi dhambi watoto wadogo nk ....dhambi inahesabiwa kwa wenye akili timamu yenye kuweza kujua mema na mabayaHuu ni ujinga wa waafrikana,je mtu tu ndiye ameumbiwa kufufuka?
Je viumbe vingine hawana dhambi iwapo nao wanafanya sex na je wanavunja amri ya ngapi?
Amri 10 aliwekewa binadamu tu na ni kwa Waafrika tu?
Acha kukurupikia majibu usiyo yajua chanzo chakeHivi unajua ufalme wa yesu au umelishwa na kukalilishwa habari za ufalme wa yesu?
Hiyo ni historia uliyorithi kwa wazazi wako na kukaririshwa,tafuta ukweli wake kwa gharama siyo kupewa bure
Uislam upi unaousema kuwa ni dini ya kwanza?Kama ungesoma nilicho kiandika usingeandika huu ujinga hili la kwanza. Nilikuonyesha ya kuwa uumbaji uko wa namba kadhaa. Kisha nikashindwa timisha ya kuwa kila chenye uhai kimeumbwa. Hili soma tena.
Kitu Cha pili ni kuhusu dini, hizo dini ulizo zitaja asili yake ni wanadamu na hakuna dini kongwe katika hizo kuzidi dini ya Uislamu, hili halipo. Sasa mkiwa mnaandika mambo kama hakikisheni mmeyasoma na kuyahakiki, eti unaandika kabisa kwamba Ubudha, Uhindi ni dini kabla ya Uislamu ? Hivi mnajua kwanini tupo hapa duniani ?
Ama tukirudi katika Sayansi haiwezi kukupa ukweli na uhalisia kuhusu uumbaji zaidi ya kile kinachodirikiwa na akili yako na ule mfumo ulio wekwa na mwanadamu.
Ongelea na kushuhudia uzao ulio na historia nao acha uchawa wa dini,hakuna mwafrikana anayejua ukweli juu ya yesu wote mlidanganywa na mkadanganyika juu ya dini za kuja.Uzao wa yesu hauna contradiction yoyote ...eleza hiyo contr ?