Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Safi kabisa hapa wote tuko sawa kabisa!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu anitokee ndo aniambie Sio nisome vitabu uchwara...bible imeundwa na watu ili itumike kutawala na kutumikisha watu
Ndiyo.maana kasema yeye yupo pamoja na watenda haki hivyo unatakiwa kutenda haki na mema kama alivyo sema naye atakuonyesha na kukueleza mambo makuu yasiyo semeka
 
Dada yangu liva,, Topic ilio mezani inasema >>>Dini ni kwa ajili ya ""low minded people""Genius can't be trapped>>>>
Mbona hujikiti kwenye mada unaandika vitu visivyokuhusu na usivyovijua?? Mbona nikitizama majibu yako yote hayajibu maada ilio jukwaani,,wewe ni Muislam fundisha watu uislam wako,,,ukristo usioupenda,,unaoudharau na usiouelewa unakuhusu nini??? Fundisha hao unaoandikiana nao uislam unaoujua na simamia misingi yako wakuelewe,,,huyo uliemueleza dharau yako juu ya ukristo unadhani anamuamini Mungu??
Ushauri wangu kwako....
...Kafanye checkup ya afya yako kwa ujumla,,ikiwezekana hadi afya ya akili yako.
...Jitahidi kila baada ya wiki tatu ule dawa nzuri ya minyoo,,kutokana na kwamba minyoo imekuwa na usugu na pia
imebainika kwamba minyoo imekuwa na tabia ya kula hadi ubongo wa binadamu pale inapokosa chakula
tumboni huwa inakimbilia kichwani.
...Pia kunywa zaidi chai ya tangawizi kali maana nayo huwa inasaidia kuuwa minyoo.
....Kuna kitu wazungu wanaita vacation,,pata mda mzuri upumzishe mwili wako ule vyakula vizuri {balanced diet}
na hapa jamii forum kuna jukwaa la Jf Doctors,,Kuna watu makini wakupe mwongozo mzuri kwenye lishe hasa inayoimarisha mfumo wa fahamu kwa ujumla.
Kindly Regards
Yevgeny.
 
achana na mambo ya squreroot jibu swal nipe ukwel.wa alikotokea Kiranga alitokeqje tokeaje nipe factvna siyo kuzunguqqka swalnna bra bra
Kiranga ametokea kwa wazazi wake.

Huko kwingine kwenye mwanzo wa dunia, watu na viumbe, kwani wapi niliwahi kukuambia kwamba nina majibu ya maswali hayo?

Nimekwambia kwamba najua chanzo si Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote, na ninaweza kujua hilo bila hata kujua chanzo ni nini, kwa kutumia logical elimination.

Usichoelewa ni nini?
 
Kiranga haujaacha maneno mengi.
point ni kwamba Science imeshindwa kuelezea mambo mengi sana wakati huo huo inachukuliwa kama ndio utaratibu unaoweza kuelezea kila kitu.

Mfano, kifo.
 
Nani muisiharamu?...pia nani dada ? hapo tu umeonyesha hauna akili walio leta uzi wenyewe wanaelewa ninajibu nini tena nipo kwenye mada labda wewe kichwa ng'ombe ndiyo umeshindwa kujua.
 
Hayo makosa ukiwa na akili yanajulikana biblia inasema wacha magugu yakuwe pamoja na nafaka ....magugu yanajulikana mfano madhehebu ni gugu ....mungu kuwa na nafsi 3 ni gugu ....watu wenye uchu na pesa kujiitamitume ni gugu nk
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sawa mwamposa mwenye akili profesa wa biblia
 
Hao watoto wadogo wenye matatizo ni nehema kwao na wanaokufa utotoni maana awata hesabiwa dhambi ...wewe utawaonea wivu siku ya hukumu ..ukitamani na wewe ungekuwa kama wao duniani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Bac kwa Nini na Mimi nihukumiwe sawa na mtoto mdogo aliyeishi miaka miwili hata kudinda hajui...,πŸ˜‚ how is ur god fair...
 
Hapo umerudi kwenye dhana potovu ya madhehebu maana ndiyo watu wanatumikishwa na wanadamu wenzao ...ila ukristo wa kweli ni kumtumikia bwana tu yesu mwenyewe kasema usiwepo mtu yoyote wa kuwa bwana isipokuwa mungu
Ukristo ni dini...why Mungu mmoja dini buku...kwa nini uislamu au uhindu usiwe ukweli
 
Kiranga haujaacha maneno mengi.
point ni kwamba Science imeshindwa kuelezea mambo mengi sana wakati huo huo inachukuliwa kama ndio utaratibu unaoweza kuelezea kila kitu.

Mfano, kifo.
Science ni nini kwanza? Tuanzie hapo.

Pia, kwa nini unafikiri sayansi inatakiwa kuweza kuelezea kila kitu leo?

Na sayansi umeisoma wapi iliposhindwa kuelezea kifo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Bac kwa Nini na Mimi nihukumiwe sawa na mtoto mdogo aliyeishi miaka miwili hata kudinda hajui...,[emoji23] how is ur god fair...
Wewe uwezi kuhukumiwa sawa na watoto wadogo ....nani kasema wewe utahukumiwa sawa na watoto wadogo ....ukisoma hoja soma kwa kutumia na akili siyo macho tu
 
Ukristo ni dini...why Mungu mmoja dini buku...kwa nini uislamu au uhindu usiwe ukweli
Dini maana yake ni njia ya haki impendezayo mungu..... dini ni moja tu ukristo ni ufuasi nilishaeleza neno wakristo ni sawa na neno waisrael ni sawa na neno wamuhamadi ni majina ya wafuasi wa mungu ....hivyo dini ya kweli ni moja tu ila ina mitume mbalimbali na wafuasi wao
 
Kuchuja mbu na kumeza ngamia ni zao la unafiki moyoni mcha mungu wa kweli awezi kuwa mnafiki
 
Kuchuja mbu na kumeza ngamia ni zao la unafiki moyoni mcha mungu wa kweli awezi kuwa mnafiki
Lakini unakumbuka yesu alivyosema kuwa.."Haki yenu isipozidi haki ya mafarisayo hamtauona ufalme wa mbinguni" ....na hao walioambiwa wanachuja mbu ni mafarisayo....usisahau..

Mt 5:20

"Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni."
 
Huyo muhuni ...mtu yoyote akikuambia kuwa yesu alikufa kwa sababu ya dhambi ya asili huyo ni mpumbavu
We utamwita upumbavu na wewe utaongea upumbavu pia...nobody knows haya ni mastory tu yamewekwa wekwa... so kila mtu anajikuta ana roho mtakatifu sijui wa kuelewa
 
Wewe uwezi kuhukumiwa sawa na watoto wadogo ....nani kasema wewe utahukumiwa sawa na watoto wadogo ....ukisoma hoja soma kwa kutumia na akili siyo macho tu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Si ndo kuhukumiwa sawa...yaani not by matokeo...by criteria...yaani kwa Nini maisha ya mtoto mwenye miaka 2 ambayo Accord to u unasema Hana dhambi yawekwe pamoja na Mimi mwenye 70 plus ambayo nimepitia maisha afu mi niende motoni afu ye peponi wakati labda angekua angekuwa ka Mimi tu...na ukisema Mungu tayari anajua, why aniumbe asa Kama atanichoma...so aumbe watu wake wema sisi wabaya tusizaliwe..no matter how yu twist it...it's still bullshit justice system...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…