Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Tunaweza kufanya art of energy kwa kadri ya aliye umba alivyo kusudia na mipaka aliyo weka na hiyo art yetu sisi wanadamu ndiyo tunaita sayansi and technology
 
Science inasema kuna chanzo cha binadamu, Watu wa imani pamoja na Dini zote wanasema binadamu ana chanzo
Vyanzo hivyo ni nadharia tu wala havina ukweli wowote ule.

Ni makisio tu.


Wewe unasema hakuna chanzo.....
Ndio chanzo hakipo.
Unasimamia nini kuleta hii hoja ya binadamu hana chanzo ( Science ? Dinii ? Au ? )
Sisimami kwenye Sayansi wala dini maana vyote vimeshindwa kuthibitisha "Nadharia" zao kuhusu chanzo halisi cha ulimwengu.

Hivyo mpaka sasa hakuna sayansi wala dini yoyote yenye ukweli wa chanzo cha ulimwengu.

Hivyo dunia Haina chanzo mpaka pale sayansi ije na uthibitisho rasmi unao onyesha chanzo cha dunia na ueleze chanzo hicho kimewezaje kuwepo from Nothing.
Na ukisema binadamu hana chanzo ina maana ilitokea tu gafla tukawa wengi ?
Binadamu hajatokea popote pale.

Binadamu yupo tu, Hakuna muda ambao binadamu hakuwepo halafu ghafla akawepo.

Ukisema binadamu alitokea mahali fulani, Je huko alikotoka kulitoka wapi?
Jibu hayo maswali hayo mawili.
 
Tunaweza kufanya art of energy kwa kadri ya aliye umba alivyo kusudia na mipaka aliyo weka na hiyo art yetu sisi wanadamu ndiyo tunaita sayansi and technology
Acha kuzunguka zunguka.

Naku uliza hivi 👇

Kama Mungu ni energy na Dunia ni energy, Utasemaje kwamba Mungu ndio muumbaji wa dunia?

Kwa nini Dunia isiwe muumbaji wa Mungu maana na yenyewe ni energy?
 
Mungu aliumbwa na nani?

Kabla ya Mungu kuumba Dunia alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?
 
duuu hawa wasomi wetu hawa na jamiiforum.haina chanzo
 
duuu hawa wasomi wetu hawa na jamiiforum.haina chanzo
Iko hivi, 👇

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Hata Mungu lazima awe na chanzo chake.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo.

Huwezi kusema Mungu hana chanzo halafu unataka kulazimisha Binadamu na viumbe vyote wawe na chanzo.

Kama ulazima huo upo, Hata Mungu huyo lazima awe na chanzo, Na chanzo cha Mungu kiwe na chanzo chake to endless.
 
Dini sio Haki Jaribu kusoma uelew
 
Na huyo Mungu hana chanzo?
Mkuu Infropreneur wabane kwenye kanuni ya energy ya classical physics au first law of thermodynamics.

Kama kila kitu ni Energy
Basi Energy can neither created nor destroyed.

Na itakuwa rahisi zaidi kuelezea chanzo Cha ulimwengu na kimetokea wapi?

Kama kila kitu ni energy basi hakuna Mungu na hapa watakuwa wamethibitisha kwa maneno yao.
 
Kuna jamaa hapo juu Lwiva anasema Mungu naye ni Energy.

Halafu anasema Mungu ndiye kaumba Dunia.

Na dunia ni energy pia.

Sasa kama "Mungu na Dunia" ni Energy, Na Energy cannot be created or destroyed but can be transformed from one form to another.

Iweje aseme Mungu(energy) ndiye Muumbaji wa Dunia ambayo pia ni Energy?

Tayari ana ji Contradict mwenyewe.😅

Hoja zao za uwepo wa Mungu niza kuunga unga kwa vile Mungu huyo hayupo.
 
Mungu aliumbwa na nani?

Kabla ya Mungu kuumba Dunia alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?
Usiseme mungu sema energy ilitoka wapi maana pasipo energy hakuna mungu wala chochote kwa sababu hata mungu ni energy (roho)
 
Endelea kusoma nilicho sema tena niliwai kusema miaka ya nyuma mungu anacho umba ni art of energy tu mungu aumbi energy hivyo dunia ni energy kweli ila ni art of energy...yaani energy imegeuzwa kuwa dunia na vyote hata mwanadamu ni energy
 
Hiyo energy kuu inajitambua ndiyo energy tawala hivyo ufahamu wa hiyo energy ndiyo mungu mwenyewe sisi ni sehemu tu ya huyo mungu
 
Sources zangu zinaonyesha hawa ni miongoni mwa great scientists and thinkers na believed in God. Sasa sijui kati yao na wewe ambaye hata hujagundua kitu nani ana akili zaidi: wao au wewe?
Dissertation Template in APA7
Arthur Compton (1892 – 1962)

Blaise Pascal (1623-1662)

Ernst Haeckel (1834 –1919)

Erwin Schrödinger (1887 –1961)

Francis Bacon (1561-1627)

Francis Collins (Born 1950)

Galileo Galilei (1564-1642)

Gottfried Leibniz (1646 –1716)

Gregor Mendel (1822-1884)

Guglielmo Marconi (1874 –1937)

Isaac Newton (1642-1727)

James Clerk Maxwell (1831 –1879)

Johannes Kepler (1571-1630)

John Eccles (1903 – 1997)

Louis Pasteur (1822-1895)

Max Planck (1858-1947)

Michael Faraday (1791-1867)

Nicholas Copernicus (1473-1543)

Rene Descartes (1596-1650)

Robert Boyle (1791-1867)

Robert A. Millikan (1868 – 1953)

Werner Heisenberg (1901 – 1976)

William Harvey (1578 –1657)

William Thomson Kelvin (1824-1907)
 
Tumia akili kama mungu siyo energy basi hakuna mungu ila mungu ni ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla wake huo ufahamu wa energy yote ndiyo mungu sisi ni part of him
 
Endelea kusoma nilicho sema tena niliwai kusema miaka ya nyuma mungu anacho umba ni art of energy tu mungu aumbi energy hivyo dunia ni energy kweli ila ni art of energy...yaani energy imegeuzwa kuwa dunia na vyote hata mwanadamu ni energy
Mungu Energy ataumbaje Dunia Energy?

Kwamba energy inaumba energy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…