moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,904
- 4,902
"Everything denotes that there's GOD"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaweza kufanya art of energy kwa kadri ya aliye umba alivyo kusudia na mipaka aliyo weka na hiyo art yetu sisi wanadamu ndiyo tunaita sayansi and technologyUlisema hivi naku nukuu hapa
"Dunia na vyote ni energy"
Sasa kama Dunia na vyote ni energy, Utasemaje kwamba Dunia iliumbwa na Mungu?
Kama Mungu mwenyewe ni energy pia, Na dunia pia ni energy.
Sasa utasemaje Mungu ndio kaumba Dunia?
Kwa nini Dunia isiumbe Mungu maana na yenyewe ni energy?
Kwani dunia haiwezi kufanya art of energy?
Mbona hata sisi binadamu tunaweza kufanya art of energy.
Huyo Mungu hayupo, unachofanya ni unajaribu kumpachika chika sifa ambazo hata sisi tunaweza kufanya.
Vyanzo hivyo ni nadharia tu wala havina ukweli wowote ule.Science inasema kuna chanzo cha binadamu, Watu wa imani pamoja na Dini zote wanasema binadamu ana chanzo
Ndio chanzo hakipo.Wewe unasema hakuna chanzo.....
Sisimami kwenye Sayansi wala dini maana vyote vimeshindwa kuthibitisha "Nadharia" zao kuhusu chanzo halisi cha ulimwengu.Unasimamia nini kuleta hii hoja ya binadamu hana chanzo ( Science ? Dinii ? Au ? )
Binadamu hajatokea popote pale.Na ukisema binadamu hana chanzo ina maana ilitokea tu gafla tukawa wengi ?
Jibu hayo maswali hayo mawili.
Acha kuzunguka zunguka.Tunaweza kufanya art of energy kwa kadri ya aliye umba alivyo kusudia na mipaka aliyo weka na hiyo art yetu sisi wanadamu ndiyo tunaita sayansi and technology
Mungu aliumbwa na nani?E =MC² ila hiyo ni ART OF ENERGY =MC² ambayo kwa kifupi ni AE=MC² mungu ameumba dunia kwa kutumia energy siyo kwamba kaumba energy.....ndiyo maana nikasema energy inabadilika from one form to another.....VITU VYOTE ANAVYO UMBA MUNGU NI (ART OF ENERGY ) hivyo mungu akisema ataiangamiza dunia ujue maana yake ataiangamiza art dunia
duuu hawa wasomi wetu hawa na jamiiforum.haina chanzoKwa nini unadhani binadamu na viumbe vilitokea?
Binadamu na viumbe havina mwanzo wala mwisho.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na mwanzo, Hata "mwanzo" lazima uwe na mwanzo wake na "mwanzo wake" uwe na mwanzo wake to endless huko
Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima wa kuwepo mwanzo.
Hata huyo Mungu lazima awe na mwanzo wake.
Huwezi kusema Mungu hana mwanzo halafu anataka kulazimisha Binadamu na viumbe viwe na mwanzo.
Iko hivi, 👇duuu hawa wasomi wetu hawa na jamiiforum.haina chanzo
Na huyo Mungu hana chanzo?duuu hawa wasomi wetu hawa na jamiiforum.haina chanzo
Dini sio Haki Jaribu kusoma uelewHivi wewe logic yako ya uelewa ipo sawa kweli sasa hapo kilogic yesu yupo sahihi yani maana yake wasifanane na mafarisayo ...pia hapo umeona maana halisi ya NENO DINI KUWA NI HAKI HIVYO MTU AKISEMA DINI NI UPUMBAVU HATA KAMA INAELEKEZA HAKI BASI UJUE HUYO NI MTU MWENYE AKILI DUNI SANA ...DINI YA KWELI LAZIMA IWE YENYE KUSIMAMA PAMOJA NA HAKI
Hiki ni kweli kwa 100%Huyu Kisai hanaga hoja yeyote zaidi ya Quran aliyo aminishwa.
Nilisha acha hata kujibu hoja zake maana ni pumba tu.
Everything denotes that, there is no God"Everything denotes that there's GOD"
Mkuu Infropreneur wabane kwenye kanuni ya energy ya classical physics au first law of thermodynamics.Na huyo Mungu hana chanzo?
Kuna jamaa hapo juu Lwiva anasema Mungu naye ni Energy.Mkuu Infropreneur wabane kwenye kanuni ya energy ya classical physics au first law of thermodynamics.
Kama kila kitu ni Energy
Basi Energy can neither created nor destroyed.
Na itakuwa rahisi zaidi kuelezea chanzo Cha ulimwengu na kimetokea wapi?
Kama kila kitu ni energy basi hakuna Mungu na hapa watakuwa wamethibitisha kwa maneno yao.
Usiseme mungu sema energy ilitoka wapi maana pasipo energy hakuna mungu wala chochote kwa sababu hata mungu ni energy (roho)Mungu aliumbwa na nani?
Kabla ya Mungu kuumba Dunia alikuwa wapi?
Huko alikokuwa kulitoka wapi?
Endelea kusoma nilicho sema tena niliwai kusema miaka ya nyuma mungu anacho umba ni art of energy tu mungu aumbi energy hivyo dunia ni energy kweli ila ni art of energy...yaani energy imegeuzwa kuwa dunia na vyote hata mwanadamu ni energyKuna jamaa hapo juu Lwiva anasema Mungu naye ni Energy.
Halafu anasema Mungu ndiye kaumba Dunia.
Na dunia ni energy pia.
Sasa kama "Mungu na Dunia" ni Energy, Na Energy cannot be created or destroyed but can be transformed from one form to another.
Iweje aseme Mungu(energy) ndiye Muumbaji wa Dunia ambayo pia ni Energy?
Tayari ana ji Contradict mwenyewe.[emoji28]
Hoja zao za uwepo wa Mungu niza kuunga unga kwa vile Mungu huyo hayupo.
Hiyo energy kuu inajitambua ndiyo energy tawala hivyo ufahamu wa hiyo energy ndiyo mungu mwenyewe sisi ni sehemu tu ya huyo munguMkuu Infropreneur wabane kwenye kanuni ya energy ya classical physics au first law of thermodynamics.
Kama kila kitu ni Energy
Basi Energy can neither created nor destroyed.
Na itakuwa rahisi zaidi kuelezea chanzo Cha ulimwengu na kimetokea wapi?
Kama kila kitu ni energy basi hakuna Mungu na hapa watakuwa wamethibitisha kwa maneno yao.
Sources zangu zinaonyesha hawa ni miongoni mwa great scientists and thinkers na believed in God. Sasa sijui kati yao na wewe ambaye hata hujagundua kitu nani ana akili zaidi: wao au wewe?Yes, dini ni kwa ajili ya watu wasio na ufikiri sahihi. Dini ina vitu ambavyo ni vya watu wa akili za chini sana.
Vitabu vyote vya dini vina michanganyo isiyohitaji hata kutumia nguvu kujua kuwa "hapa tumepigwa na tunaendelea kupigwa"
Sayansi imejibu maswali mengi sana ambayo dini ilishindwa kuyajibu na kuishia kuwaambia wafuasi waamini tu bila kuona!
Sayansi imetibu magonjwa complex ambayo dini haijawahi hata kuyagusa, inaishia kujipenyeza kitapeli tu.
Mf katika mgogoro wa leo wa Gaza, dunia imegawanyika. Watu wasio na uelewa wanaishia kuchagua upande wa dini A na dini B. Wale wanaoiunga mkono Israel kwa kisa cha dini ya ukristo wajue kuwa % kubwa ya waisrael hawaamini ktk dini na Marekani 86% hawana dini. Pale kinachogombewa ni Maslahi tu!
Dini zetu tungeachana nazo tungekuwa na maendeleo makubwa. Mf China na Nchi za Ulimwengu wa kwanza, nyingi zimeachana na mambo ya dini na zinaendelea sana.
Watu wanavumbua issues za drones, AI na mirobotic machines kibao we unakesha kanisani eti uwe millionea, sijui upate mtoto real?
Unalala na vichupa vya maji sijui chumvi na mafuta ya upako upate gari, are u serious?
Nilikua namsikiliza Shehe/Maalim mmoja anasema wale kunguni wa Ufaransa ni jeshi la Allah limekuja kuwaangamiza kisa wana madhambi...are we real serious?
Dini zina mfumo ambao Unatufanya "tuwe limited" kwenye ufikiri na uvumbuzi.
Live your live, Death is the Ending game! Dini ni ulaji wao!
Atheists make sense than who are not
Tumia akili kama mungu siyo energy basi hakuna mungu ila mungu ni ufahamu wa hiyo energy yote kwa ujumla wake huo ufahamu wa energy yote ndiyo mungu sisi ni part of himMkuu Infropreneur wabane kwenye kanuni ya energy ya classical physics au first law of thermodynamics.
Kama kila kitu ni Energy
Basi Energy can neither created nor destroyed.
Na itakuwa rahisi zaidi kuelezea chanzo Cha ulimwengu na kimetokea wapi?
Kama kila kitu ni energy basi hakuna Mungu na hapa watakuwa wamethibitisha kwa maneno yao.
Mungu Energy ataumbaje Dunia Energy?Endelea kusoma nilicho sema tena niliwai kusema miaka ya nyuma mungu anacho umba ni art of energy tu mungu aumbi energy hivyo dunia ni energy kweli ila ni art of energy...yaani energy imegeuzwa kuwa dunia na vyote hata mwanadamu ni energy