Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Mimi niko kinyume na ulivyoweka: Binadamu ukianza kujiona you know it all - umeisha. Bado akili zetu ziko limited - wanasayansi wanejibu baadhi ya maswali, lkn sio maswali yote, usishangae ni 0.00000000000000......0001% ya mambo ambayo bado hatuyajui. Thus wenye akili na ma-genius - ni watu wenye hamu ya kujua vitu zaidi na ambao wanaamini kuna issues bado ni msystery..ndo maana tafiti hazijawahi kukoma. Dini bado inaencorprate hayo mambo ambayo bado hayaeleweki - imani.
 
Tena malofa, angalia mitume wa Yesu, wote walikuwa malofa isipokuwa Petro ambae alikuwa na elimu kiduchu.
 
Kanisa lilojengwa juu ya Mwamba imara litaanguka, Page sa msaafu zitachanika na kupeperuka lakini daima huu Uzi utasimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…