Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

Why Mungu muweza yoooote, Allah aliyeumba kila kitu ashindwe kuwafanya watu tu waamini in Shia au Sunni na sio kuvurugana mpk kutoana macho? Je, hawa wote c wanakumia Kuran mnayoamini ni kitabu bora na kikishushwa na Allah?

Huko ndani ndani ndo hakufai kbs
 
Unajua nini mkuu,..Dunia hii ni kubwa mno vivyo hivyo elimu ni pana mno..
Unaposema kilichotokea ni illusion hayo ni mawazo yako na sio 100% fact.


Uchawi na miujiza mingine ipo ukubali au ukatae Kwa maana kama haijakutokea wewe kuna watu ishawatokea.

Sasa huoni kama kila kitu ukikiita illusion unakua unakosea?
Kwenye kisa chako kuna uongo wa mganga tu hapo....hakuna muujiza rafiki. Hata haihitaji sayansi ya maabala kuwa mganga alikoleza tukio ili kukuaminisha uongo wake!
 
Una uhakika gani kama ni tricks?
atleast ungefanya research na sio kufanya assumptions na kudhani unajua kila kitu kwenye hii Dunia....huo ni ujinga wa kiwango cha standard gauge

Tena Kwa kukurupuka unasema eti nimejazwa utu uzimani na story inasema ATM nilikua kwenye miaka 10 hivi...huoni kama haupo makini[emoji114]

This world is so wide and vast.... Knowledge is so wide we only know a few percentage 0.0001% of what we have to know,.usichokijua wewe wengine wanakijua au kupitia kabisa...kitu gani kinakupa ujasiri wa kuona kila kitu ni tricks?Inachekesha[emoji1787]
Dawa ilikua kwenye mvuke, just like kujifukiza, hilo la chura ulipigwa mkuu!
 
Something outside the laws of nature...
Unajuaje kwamba iko outside na laws of nature ?

Je kama hiyo nayo iko inside na laws of nature lakini tu haujaijua kama iko miongoni mwa laws of nature ?

Kwa sababu kitu ambacho kinaleta matokeo chanya maana yake kinaenda sambamba na laws of nature.

Na hata hizo lawas of nature zimeitwa laws of nature kwa sababu zinalwta matokeo chanya.
 
Mkuu,tembea uone una elimu ndogo niamini Mimi hata kama umefika level ya PhD lakini kwenye jamii na mazingira tunayoishi kuna elimu kubwa zaidi ya Ile ambayo unaamini unayo.

Ili ujifunze vitu inabidi uwe open minded kuwa free kujifunza ukishasoma elimu rasmi ya mashuleni na vyuoni kuna elimu hii ya kwenye mazingira yenyewe pia ni kubwa mno,..sio kama hivyo umekaa unaamini eti miujiza haipo.


Mfano,.Ushawahi kumuona mtu ambae amekua Demon possessed?!


Ila naamini hii arguments hatuwezi kufikia hitimisho,..siku likikufika jambo ndiyo utajua Dunia ina mengi ya ku offer mkuu.
Demon possesed???[emoji38][emoji38]

Ile kitu ni brain issue tu, hakuna cha demon. Ubongo ukiguswa na kupata hitilafu center husika basi ndo tunapata machizi, vilaza, wehu n.k
 
Hawa matapeli wanasaidiwa na serikali ya CCM. Serikali siku zote imekuwa ikifyatua wajinga ambao kimbilio lao ni kwa hawo manabii wa unongo huku kizazi kizima kikizidi kutumbukia kwenye mazingaombwe ya mitume na manabii feki huku wakikamuliwa fedha za sadaka ya kujimaliza kila kukicha.
halafu wakishawapuna pesa wajinga wanaichangia CCM....[emoji38]
 
Hii conversation ipo moto..[emoji1787]Mbona jamii forums kila kukicha threads za kupinga dini afu mtaani kila mtu anaenda msikitini na kanisani..[emoji16]Hawa ma atheists mbona mtaani hawaonekani..au tunanafkiana
Umewahi kuona mitaa inakauka siku za kuabudu? Kila mtu anaishi maisha yake bana
 
Tuambie Sayansi inasemaje kuhusu asili ya wema na ubaya? Na nani anaamua lipi jema na lipi baya? Je unaonaje kama hakuna Mungu binadamu tusiishi kwa sheria basi maan hakuna muamuzi wa lipi jema lipi baya. So let's murder, rape , have sex randomly with each other. Tuwaachie huru wafungwa wote basi maana hakuna utaratibu wa kuishi.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kuwa demon possessed na Tatizo la afya ya akili ni vitu viwili tofauti...

Au wewe ukiwaona wale walemavu wa afya ya akili ndiyo unawachukulia kama demon possessed?
Bro jipe nafasi ya walau kusoma elimu ya Ubongo vzr, utaelewa kila kitu. Soma anatomy of the brain! kuna majibu yote
 
Kila unachokiona ni muujiza

Hata wewe mwenyewe ni muujiza

Ila kama umeshiba maharage pita hivi
Mkuu wacha makasiriko...tujadili kwa upendo. Weka hoja kutetea kile uaminicho! kuwa huru
 
Simply,..matatizo ya afya ya akili huwa yanatokana na environmental, biological na psychological factors ambazo zinapelekea shida kwenye afya ya akili ya muhusika.

Tofauti na mtu kuwa Demon possessed, ambapo utakuta vitendo vya mtu husika vinakua controlled au influenced na kiumbe mwingine....

So, hivyo vitu viwili haviendani kabisa.
how do u know kuna kiumbe kingine kinamcontrol? unaweza kuthibitisha pasi na shaka uwepo wa kiumbe hicho?
 
kwa mwenye imani hawezi kuwaona wamisionari kama ni maajenti wa ukoloni. Wale walileta injili, inatosha kuamini hivyo. Nje na mtazamo huo ni ukengeufu wa kiimani. Ukoloni uliondoka tukapata uhuru, why missioneries wabaki hadi sasa na wapelelezi hawapo?
unaifahamu dhana ya ukoloni mamboleo? Ukoloni kupitia dini unaendelea. Wkt mzungu anaendelea kuvuna mali kwa ujinga wetu wa dini, sie tunaendelea kuwa masikini wa fikra na mali! wao dini washatupilia mbali, imebaki kimkakati tu!
 
vumbuzi nyingi tu zinapingana na vitabu vya dini ,smartphone tu zilipokuja Tz kuna mpka walokole walikesha kukemea freemason.
halafu leo hao hao wafia dini walozipinga smartphones ndo wanazo tatu tatu...na hawastuki kuwa wanapigwa[emoji12]
 
There is nothing about life after death...once dead it is over!
Je justice kwa watu walioget away with it haiji kupatikana? Mfano there is a say with facts in Us kwamba Oj Simpson(Juicy) aliua kweli lakini kutokana na uchumi akaweza kuhire best lawyers akina Robi Kardashian akashinda case ikiwa mtaani vigezo vinaonesha kaua kweli.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Unajuaje kwamba iko outside na laws of nature ?

Je kama hiyo nayo iko inside na laws of nature lakini tu haujaijua kama iko miongoni mwa laws of nature ?

Kwa sababu kitu ambacho kinaleta matokeo chanya maana yake kinaenda sambamba na laws of nature.

Na hata hizo lawas of nature zimeitwa laws of nature kwa sababu zinalwta matokeo chanya.
Okay define a miracle...na mfano wake..na inatofauti gani na a natural occurrence?
Twende kazi
 
Back
Top Bottom